siku zinakimbia sana aisee, Baby J kichwa sana long time na alitakiwa kuwa mbali sana, ila Sanaa ngumu, natural beauty toka enzi zile alikuwa hatariiii usikilizi anaimba nin unamtazama yeye tu
Mimi ni mzazibar halisi na pia najuwa maadili yetu kama huto jionea aibu wewe mwenye kuna mtu utakae muonea aibu je wazazibar asilimia 97 ni waislamu na wenye kujistiri nani atakae muacha mwanawe atembee kama mwehu au kufanya mambo ya kimaajabu kwetu huyu tunamwita muhuni this is point asitudanganye hata uwe unataka kufanya nini basi utatizama wazazi na dini yako inaruhusu piteni ukooo ...
My good tv Wasaf tv...ipo nicee bigup Mond simbaaa..people needs ur support to support our new artist Shozzydear go to her channel au subscribe to my channel to see her song
Kiswahili kitamu kimetulia tuliiii hakuna you know know! ofcourse. Safi sana
😀😀😀😀
Nimeishi Zanzibar miaka saba.huwa hawanaga hiyo kitu kabisa. Sisi Wabongo ndio tunapenda sana kujifanya kiswanglishi kiingi. Wanaboa sana.
Hahaha kama nani vile
😂
siku zinakimbia sana aisee, Baby J kichwa sana long time na alitakiwa kuwa mbali sana, ila Sanaa ngumu, natural beauty toka enzi zile alikuwa hatariiii usikilizi anaimba nin unamtazama yeye tu
Ni mrembo sana mpaka wa leo bro
Mbona jibu rahisi tu "Wasanii wanawake wapo kidogo Zanzibar kwa sababu aidha wao wenyewe wako na adabu au wazazi wao wapo na adabu"
Uhakika maadili ndio sababu
Point less kabisa.
@@herykauli1004 na ipo iliyo point sahihi?
Sijakuelewa adabu ki vipi
Unaishi wap..? Hebu nioneshe hiyo adabu yao
hahahhaha😂 sema ukweli Zanzibar watoto wakike wengi wana adabu zao huwezi kukaa ukaonesha maumbile yako ndio jibu usizunguke
Kwan mziki mpaka uoneshe maumbile acha u.......
Kama wangekuwa na adabu wangeliwa samaki kuanzia mkiani!?
Loo labda asowajua tuongopeanee
Mimi ni mzazibar halisi na pia najuwa maadili yetu kama huto jionea aibu wewe mwenye kuna mtu utakae muonea aibu je wazazibar asilimia 97 ni waislamu na wenye kujistiri nani atakae muacha mwanawe atembee kama mwehu au kufanya mambo ya kimaajabu kwetu huyu tunamwita muhuni this is point asitudanganye hata uwe unataka kufanya nini basi utatizama wazazi na dini yako inaruhusu piteni ukooo ...
Baby J.... we still miss you, rudi kwenye game dada bado tunakupenda.. NIACHE NITEMBEE Baby J ft Chid Benz, ilikua bonge la Ngoma.....
Mzanzibar hakutaka kutoa K Apewe Promoo
Hongera sana ila umebadilika sana yaani umenenepa sana ila upo lugha mzri sana
Kweli makeup inafanya kazi daah altho I love yua music
Huhuhuhuhuuuu
amenenepa kwa sababu amejifungua c zamani ata mwez haujafika
Yaani uyu Dada alivyo hodari anaimba vizuri nashangaa mpaka Leo hajaimba nyimbo uko aliko mhhhm....
Sababu ni maadili ya zanzibar... mbn bara wapo wadada wengi...
kweli tu ilove uu
Hivi anataka kulia au me ndio sioni vizuri
Hahaahaaaa kam me naon hivy
kajipaka makeup ilio changanywa napilipili makeup zile zinazo tengenezwa nawahind siunajua wahind wanapenda sana pilipili wanaweka had kwenye vipodozi
😂😂😂😂yu gays mnaniua JAMANI
Baby j kitambo Sana tunakupenda BDO.
mmmmm sura imenipotea
baby j ni mgumu kukubal wimbo mzur wa kuwandikiwa thats your problem
Uko my nakupenda
Mashaa Allah amenenepa
Ww sema tu uislamu unakukataza usibabaike
Uyu Dada anajua Sana kuimba yani atali
mwili bby j umeshauachia huo hpa tena
Fatma Ali kajifungua ndio maana
Baby J
we miss you
umekuwa sasa umepunguza hata zile poz zsko hatuzion
Behind every fall there is a woman 😂😂😂
😂😂😂
Nahisi anatatizo na make up
Yaan kabadilika utadhan amber lulu kafumuka kawa mbya utadhan si yeye
Ww baby J unajidhalilisha na we umesoma Quran
muuroa kusini acha ushamba iyo ni Moja ya kazi
Hivi hawa walio disliked hii video wanaelewa maana ya dislike kweli??? au ndo tunabonyeza bonyeza popote tuu??? bongo bhana maajabu kwel kwel
Kebu Mtanza hahahahahahahaha hawajui maana
itakuwa hajui kwel
Pamoja
Jmn ukikonda unaumwa ukinenepa umezid dah
My good tv Wasaf tv...ipo nicee bigup Mond simbaaa..people needs ur support to support our new artist Shozzydear go to her channel au subscribe to my channel to see her song
uyu ni baby j kwl au mmebeba kachina tu ndio mnakaoji maake mmh
shizo be classic ndie kweli mwenyewe huyu ni binadam c jiwe km hatobadilika.
mbona kama sie amebadilika
Nakwel kama sie
maisha
dini bhana
Mi napenda kukuona kwenye video ya offside trick. "USINIPE"
Yahhh wazenji wanajielewa kwa kila sekta
Kanene pasana
Piga kazi ndg yote ni changamoto
Sasa hizi face expression za ajabu za nini?....Boss kakutaka kakujua malaya na mwiziiii,mtu wa tamaa tu..Yaani demu feki kinomaaaa
Kwani rabda iko mpk Zanzibar me nikajua ziko bara tu.hupendezi na Rabda zko
Hahahahahahahahahahahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sada Kilona 😂
true wanawake wako na chuki
Jaman huyu hata sio BABY J hata sura haiji kabsaa hata sauti
bint wa kitanga ndie uyo nenda kwa page yake insta mm mwenyewe ckuamini ametoka kwenye uzazi ndo mana kabadilika
@@fatmakhamis4006 he bc mashallah jaman kapendeza
ukubwa ushafik lazim abadilike
nilikuwa nadhani vile ww n mzuri kumbe wapitiwa na diamond .ss si ww ni Malaya sana nahadi sahi umepitiwa nawangapi?shonga yangu.
Kama umeskia neno rabda gonga like twende sawa
makope punguza myyyyyyy