@@malifedhaanyasio811 hizi simu kwa dar uhakika sana lkn kwa mikoani nadhani upatikaje wake ni adimu na ndo maana zinauzwa ghali unaweza kuagiza moja kwa moja toka kama bei za mkoani kwenu huziwezi
It's battery is very good so much good if not badly missused heat is normal but I never experienced over heating to that extent so to my opinion no it doesn't
@@malifedhaanyasio811 Ukubwa wa mega pixel haimaanishi ndio kamera nikali quality ya kamera inasababishwa na vitu vingi mno R6 Ina sensor kubwa kwny kamera yake ambayo unaongeza sharpness kwny picha nakuweka portrait pamoja kung'arisha picha unazipiga usiku hii inaifanya R6 kutoka picha nzuri zaidi kulilo Zero 6 hilo no moja tu kama utahitaji zaidi utanitafuta kwa muda wako binafsi
@@HarunaHincha Hakika. Hapa kuna muhtasari wa kile nilichokisema hapo awali: Kurestart simu yako kunaweza kutatua matatizo mengi madogo ambayo simu yako inaweza kuwa nayo. Hii inaweza kufanya simu yako ifanye kazi vizuri zaidi na kwa kasi zaidi. Kwa maneno mengine, kuzima na kuwasha upya simu yako ni kama kuipa "pumziko fupi" ili iweze kuanza upya na kufanya kazi vizuri zaidi.
@@piusmahena8489 moja kati ya changamoto ya Simu Used & Refurbished ni hiyo na hii inatokana na simu hizi kuwa tayari zimeshapitia matengenezo kabla ya kurudishwa sokoni kwa mara ya pili sana sana upande wa betri ya kioo simu yeyote kupata moto nikawaida ila kwa simu used joto lake huwalinakuwavkali zaidi na hiyo nikawaida kbs
Umeongea ukweli nimekupa like
Asante mkuu
Hii cm nzuri rakini r5 ni noma kwa camera
Nikitaka kulipia taratibu taratibu inawezekana ?
hpn bado sina utaratibu huo
Kazi nzuri nilikua nahitaji review ya hii sim kitambo
vp inatosha au Kuna vitu vina-miss
Kaka mim nahitaji hii cm je vip naweza kupata kwa wapi kwasasa coz me nipo mkoani moro huku zipo gali kido vp kwa kuko dar kwa sasa zina simamaje?
@@malifedhaanyasio811 hizi simu kwa dar uhakika sana lkn kwa mikoani nadhani upatikaje wake ni adimu na ndo maana zinauzwa ghali unaweza kuagiza moja kwa moja toka kama bei za mkoani kwenu huziwezi
Gud work wajanja 🫶
Nice review bro Masanja, tunaomba uendelee kutupa madini°
Asante sana madinj yanakuja
Kama nikihitaji mpya kabisa ambayo siyo used zinapatikana
Hapana hupati hizi zinapatikana mitumba tu
oya nnayo aquos r6 , ina 5g ila.nikiweka line haisom 5g vp una suluhisho?
@@BANANA_GUYwzm je laini yako ni 5G? Kama ndio kwny setting ya simu yako umeruhusu isome 5G kwny setting?
@@wajanjatronics nimeruhusu 5g na line ni 5g ila haisomi
Huwa inasoma LTE
@@BANANA_GUYwzm hpn nmegudua hilo juzi ndo nafatilia
@@BANANA_GUYwzm nadhani hili ni tatizo ila sijui ni kwnn ?
is 5g sim work in your country
@@getachewmitiku7720 yes it work but for this phone no it does not support 5G I don't know whether it because of my country or something is missing
Hivi na hizi docomo zina tofauti gani na hizi
Vp kuhsu gadgets zake kama screen protector,na case zake,zinapatikana?
@@videozaaj1069 zipo Kwa wingi sana kariakoo ila kama upo mkoani pole sana
Good one champ
I just wanna ask some questions
How's the battery usage( im not a gamer so, but im a hard user)
I heard it heats a lot, is it true?
It's battery is very good so much good if not badly missused heat is normal but I never experienced over heating to that extent so to my opinion no it doesn't
@@wajanjatronics thank you champ I really appreciate your reply
i use it its really good, i play warzone mobile on it
Kak mie nmebahatika kuwa nayo ni nzur,,,mie nashida ya settings ya ringtone tofauti na zilizopo
@@abassyamiry2019 umeshindwa kbs kuchange ringtone
@@wajanjatronics ndio natak niweke wimbo niupendao lakn naona nikiingia naona sioni chochote
mim natumia zero 6 lkn nkituma masage moja tu zinaenda tatu naomba suluhisho au nitupe tu
@@LightnessBoay hpn usitupe inaweza ikawa nishida ya kawaida sana kwasasa sinajibu ila ntakapo pata jibu ntakurudia
❤ it
Vp ina support game la pubg
Duuh mm niliogerea nayo vp inawezaa kutengenezwa au nikatupe
@@OmarMembe 😂😂 kama umezima katupe water damage ni ngumu kufix
Mbn yangu ikiwaia aianzi na sharp yenyew inaanz na docomo
Hiyo haijaandikwa Docomo nyuma, ila Yako itakuwa imeandikwa Docomo, hata Aquos Sense 5G Kuna zilizoandikwa Docomo na zingine hazijaandikwa
Aquos r6 na zero 6ipi inatoa picha vzr?
R6 mkuu
Ila kk mbona R6 camera yake Ina Mp20 na zero 6 Ina Mp47 vp hapo niipi kubwa Sasa
@@malifedhaanyasio811 Ukubwa wa mega pixel haimaanishi ndio kamera nikali quality ya kamera inasababishwa na vitu vingi mno R6 Ina sensor kubwa kwny kamera yake ambayo unaongeza sharpness kwny picha nakuweka portrait pamoja kung'arisha picha unazipiga usiku hii inaifanya R6 kutoka picha nzuri zaidi kulilo Zero 6 hilo no moja tu kama utahitaji zaidi utanitafuta kwa muda wako binafsi
Nini faida ya kuristati simu
@@HarunaHincha Hakika. Hapa kuna muhtasari wa kile nilichokisema hapo awali:
Kurestart simu yako kunaweza kutatua matatizo mengi madogo ambayo simu yako inaweza kuwa nayo. Hii inaweza kufanya simu yako ifanye kazi vizuri zaidi na kwa kasi zaidi.
Kwa maneno mengine, kuzima na kuwasha upya simu yako ni kama kuipa "pumziko fupi" ili iweze kuanza upya na kufanya kazi vizuri zaidi.
Mbona yangu in nikiwasha data Inapata moto
@@piusmahena8489 moja kati ya changamoto ya Simu Used & Refurbished ni hiyo na hii inatokana na simu hizi kuwa tayari zimeshapitia matengenezo kabla ya kurudishwa sokoni kwa mara ya pili sana sana upande wa betri ya kioo simu yeyote kupata moto nikawaida ila kwa simu used joto lake huwalinakuwavkali zaidi na hiyo nikawaida kbs
Unanishauri kipi bro Yani nimenunua hata wok haijaisha
Kaka kioo chake hicho shingapi
Vioo vyake Bado havijaanza kuingia bongo tuendelee kusubili kdg
Mimi natumia aquos sense 5g ila wananiambia zinauaga mashine kuna ukweli woote kaka
@@HarunaHincha hpn sio kwl simu kuzingua mashine ni simu tu yenye ila sio kwl kwamba simu zote zinasumbua mashine
Mm naweza kusema nikweli maana hata mm yakwangu ilikufa mashine mpaka leo imepotelea kwa fundi sina ham nazo kiukweli
upatikanaji wake vp
@@ElizabethGadau zinapatikana sana hizi
@@ElizabethGadau Message Wajanja_Tronics on WhatsApp. wa.me/255746630583