DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Februari 03, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Ramaphosa aapa kutoitupa mkono Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
    #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast
    Ukitaka kukupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.

Комментарии • 14

  • @jumadogani-zi8zk
    @jumadogani-zi8zk 5 дней назад +1

    Waoooh hongereni sana kwa maendeleo ya teknolojia ya mubashara!!!

  • @BarakaMbise-n1h
    @BarakaMbise-n1h 5 дней назад +1

    Mimi pia ni mlevi wa matangazo ya dw

  • @AlexNswila-g1q
    @AlexNswila-g1q 5 дней назад +1

    Uyu jamaa anasoma habari vzulii sana

  • @GetrudaJorojick
    @GetrudaJorojick 5 дней назад

    Hatimaye nimemwona Saumu Mwasimba nampenda mnooooo❤❤❤ I can't wait for Zai, Tatu, Amina, Sudi, etc

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 5 дней назад

    Hatimae nimewaona live kumbe mna sura nzuri wote jamani❤❤❤❤ nawapenda sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @AthumaniKigomba-j4h
    @AthumaniKigomba-j4h 5 дней назад +1

    Rachid chilumba sijawai kukuona live daah!! Huwa naiskia tu sauti yako ya Dhahabu kwenye habari umebobea aisee sautu tulivu , iko siku ntakuja hapo DW kuwatembelea

  • @jameslekirimpoto
    @jameslekirimpoto 5 дней назад

    tuko pamoja dw

  • @GetrudaJorojick
    @GetrudaJorojick 5 дней назад

    Cheers to Saumu 🎉🎉🎉

  • @JosephChacha-o9d
    @JosephChacha-o9d 5 дней назад

    Jaman mnasikika kwa mbali sana sauti ipo chini muno

  • @lukeze8432
    @lukeze8432 5 дней назад

    Ni Ezechiel nikiwa marekani, nifatilia sana matangazo ya DW kiswahili saana tu. Kwakweli iyi mume fikia kukamilisha mubashara saana mume Tisha yaani. Na wapongeza sana kwa mabadiliko haya ya ku pendeza sana.

  • @YotamKajula
    @YotamKajula 5 дней назад

    Sauti ikochini sana jamani

  • @OdilKennedy
    @OdilKennedy 5 дней назад

    Mbona mnasikika kwa mbali?

  • @alexanderhassan3033
    @alexanderhassan3033 5 дней назад

    Sauti iko chini xana