@@mwinjilistiwakitaa Karibu sana, Hakuna ulazima wa kuichapa. Lakini kutokana na Mapinduzi ya Sayansi na Teknolojia waajiri wengi hupendelea barua ichapwe...na pia inaongeza unadhifu wa barua yako.
Karibu sana Caroli na Tunajivunia wewe, Zingatia kuwa Huu ni MFANO ulioandaliwa na kuandikwa kwa kutumia software ya computer (Word Program). Hivyo spacing ktk aya unaweza ku adjust wewe unavyoona italeta mpangilio mzuri hivo hivo hata ukitumia muandiko wa mkono. Cha Muhimu Maeneo ya Msingi katika Uandishi Yameelezwa vyema na Mtu yeyote anaweza kuongeza, kupunguza ama kuboresha katika uandishi wake bila kuvunja kanuni za Msingi. NB: Kwa msaada wa tafiti na Teknolojia unaweza pia kubaini zipo zaidi ya aina 100 za uandishi wa barua Duniani, kwaiyo ni Muhimu kufahamu aina sahihi ya kuitumia katika mazingira husika.
Karibu sana Mirriam Wanjiku, Uandishi wa barua una uwanja mpana sana. Kwahiyo itategemea uwingi au kiasi cha maudhui unayokusudia kuyaandika ndiyo yataonesha uandike aya ngapi. Kikubwa ni kujua kuwa sifa kuu ya aya ni KUBEBA HOJA au WAZO MOJA LENYE KUELEWEKA. Sasa hapo unaweza pima hoja ulizonazo zitaunda aya ngapi.
@@solomondanny-1507 Karibu sana Ndugu yetu. Tunajivunia wewe. Tafadhali, elewa kuwa huo ni mfano tu! Unaweza kuboresha kwa kuongeza vitu ambavyo unadhani vitaleta mvuto kwa msomaji na vina umuhimu katika barua yako.
Dah nimeipenda sana kaka asante ubarikiwe sana
Karibu sana David, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali hasa kipindi hiki cha maombi ya ajira ili Tubarikiwe sote.
Nimeajiriwa Asanten jmn
Hongera sana, Mungu akufungulie milango ya Neema zaidi katika Utumishi wako.
Thanks for letting me
You're warmly welcome Saimon, we are proud of you. Do not hesitate to share this tutorial to the ones you care.
kazi nzuri sana,nitafanya hivyo.🙏
Karibu sana John, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
Ni lazima ichapwe kwa komputa au hata ya mkono(kalamu) inafaa? Ipi inayotakiwa zaidi?
@@mwinjilistiwakitaa Karibu sana, Hakuna ulazima wa kuichapa. Lakini kutokana na Mapinduzi ya Sayansi na Teknolojia waajiri wengi hupendelea barua ichapwe...na pia inaongeza unadhifu wa barua yako.
Asante sana kk tukitaka kukufatilia kupitia social media tunakupata je hpo
Karibu sana Samwel, Tunajivunia wewe. Soon nitaweka link ya Social media ambako napatikana kwa uharaka na urahisi. Usisite kushare na wale unaowajali.
Asante sana umenisidia kwa insga huu
Karibu sana, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
Iko sawa ila aya zimezidi na alama za uandishi hujaonesha katika kiini cha barua
Karibu sana Caroli na Tunajivunia wewe, Zingatia kuwa Huu ni MFANO ulioandaliwa na kuandikwa kwa kutumia software ya computer (Word Program). Hivyo spacing ktk aya unaweza ku adjust wewe unavyoona italeta mpangilio mzuri hivo hivo hata ukitumia muandiko wa mkono. Cha Muhimu Maeneo ya Msingi katika Uandishi Yameelezwa vyema na Mtu yeyote anaweza kuongeza, kupunguza ama kuboresha katika uandishi wake bila kuvunja kanuni za Msingi. NB: Kwa msaada wa tafiti na Teknolojia unaweza pia kubaini zipo zaidi ya aina 100 za uandishi wa barua Duniani, kwaiyo ni Muhimu kufahamu aina sahihi ya kuitumia katika mazingira husika.
Inshallah ALLAH barik
Karibu sana Paulina.
Ipo vizuri sana
Karibu sana Abel.
Ningetaka kujua unapofunza wanafunzi uandishi wa barua yafaa iwe Aya ngapi?
Karibu sana Mirriam Wanjiku, Uandishi wa barua una uwanja mpana sana. Kwahiyo itategemea uwingi au kiasi cha maudhui unayokusudia kuyaandika ndiyo yataonesha uandike aya ngapi. Kikubwa ni kujua kuwa sifa kuu ya aya ni KUBEBA HOJA au WAZO MOJA LENYE KUELEWEKA. Sasa hapo unaweza pima hoja ulizonazo zitaunda aya ngapi.
🙏
Karibu sana Happyness! Usisite kushare na wale unaowajali.
Hujataja chuo cha ualimu ulichosomea.
@@solomondanny-1507 Karibu sana Ndugu yetu. Tunajivunia wewe. Tafadhali, elewa kuwa huo ni mfano tu! Unaweza kuboresha kwa kuongeza vitu ambavyo unadhani vitaleta mvuto kwa msomaji na vina umuhimu katika barua yako.
xaf
Karibu sana Fredy, Share na Rafiki zako ili nao wapate haya Maarifa.
Asantee
Iko vizur sana