Nakukubali sana bro, nopfa=kufariki. Yaani azungumuzia alikuwa nikijana bora before, ila alipo kutana yahuyo jama akamufunza kuwa nakunywa beer na kuvuta bangi sasa jo anasema akimuendekeza atakufa. Pale amejitizama kwenye kioo anaona amebadilika na usoanaza kufanana vempire. Kwenye korasi anasema nikikuendekeza ndakufa. Kirikou yeye anasema rafiki tutafikia wapi inatakiwa tubadilike, yaani kula watoto joinakuwa vyitu ambavyo anavipenda sana. Jowachozungumzia kwenye huo wimbo.
Thx for this reaction!hii ngoma talk about kukuwa na marafiki wenye tabia mbaya!so hapa double Jay anaimba nokwishinga nopfa means nikiendelea kukuiga mwisho wa siku naweza nikafa
Wimbo ni mkali sana,kwa Ujumla wimbo ni ushauri mkubwa kwa vijana wetu, Van isikaka inatakiwa uwatafute wana Bantu Bwoy ili uwasiliane nao harafu mzungumze,Watakupa maelezo zaidi ya wimbo huyu.
Double jay hu say Before I knew you nilikua mpole, but ever since we are friends , it's a pity Ulinifunza kutongoza, huwa nabadili waschana hovyo Tunakunywa pombe hovyo #nokwishinganopfa: Hukiri kwamba wakiendekeza ulevi na uzinzi watakufa Kirikou: rafiki humwambia life is too short,...
Nopfa manaa ake nitakufa . Yani wanasema " Nokwishinga nopfa " : inamaanisha nikiendelea kuku iga nitakufa . 😂😂 Apa wanaongelea vile unakuta jama wanalala club everyday , wanavuta bangi , kula watoto ... Ndo wakaiimba "Nopfa" . Iyo ndo kwa ufupi wa song. Anyway thanks for remember our country
Vani eee,ngoma inamaanisha kwamba,jamaa kaiga style ya mwenzak ya kunywa pombe,kuvuta sigala na bangi,harafu double vikambadilisha kiafya hata nasula.akaonekana Kama vampaya.so ndo kusema kwamba akiendelea kumuiga anaweza akafa.
Bonge la wibo wametisha saaaaana 🇧🇮💪👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🇰🇪
Nakukubali sana bro, nopfa=kufariki. Yaani azungumuzia alikuwa nikijana bora before, ila alipo kutana yahuyo jama akamufunza kuwa nakunywa beer na kuvuta bangi sasa jo anasema akimuendekeza atakufa. Pale amejitizama kwenye kioo anaona amebadilika na usoanaza kufanana vempire. Kwenye korasi anasema nikikuendekeza ndakufa. Kirikou yeye anasema rafiki tutafikia wapi inatakiwa tubadilike, yaani kula watoto joinakuwa vyitu ambavyo anavipenda sana. Jowachozungumzia kwenye huo wimbo.
Asantee saaana
Cool my dear brother u6guye bien xana
Nopfa maana ake #NAKUFA
yaani kuwa shabiki wa kirikou raha sana no stress yaani akiimba anakuridhisha mtoto huyo is on another level
Nokwishinga nophaa # nikikuendeeza naeza kupfaa
.
Dabo Jay napendaga sautii yako van tunakubali🇧🇮🇧🇮🇧🇮😊😊😊😊😊😊
Much love for supporting our music. 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Thx for this reaction!hii ngoma talk about kukuwa na marafiki wenye tabia mbaya!so hapa double Jay anaimba nokwishinga nopfa means nikiendelea kukuiga mwisho wa siku naweza nikafa
Ha ha ha
Kabisa
Bant bwoy juu sana
Wimbo ni mkali sana,kwa Ujumla wimbo ni ushauri mkubwa kwa vijana wetu, Van isikaka inatakiwa uwatafute wana Bantu Bwoy ili uwasiliane nao harafu mzungumze,Watakupa maelezo zaidi ya wimbo huyu.
Nakubali sana vile umesomaga kirundi😍😍😍🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nikikufatiriya naweza nikafa ! Ndio manayake!
Double jay hu say
Before I knew you nilikua mpole, but ever since we are friends , it's a pity
Ulinifunza kutongoza, huwa nabadili waschana hovyo
Tunakunywa pombe hovyo
#nokwishinganopfa:
Hukiri kwamba wakiendekeza ulevi na uzinzi watakufa
Kirikou: rafiki humwambia life is too short,...
Naona upo home bro
The only one we have im east africa for video reaction no one like u kaka you know whaaaaat
Love from burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Double Jay mkali
Mziki uko sawa
🔥🔥nyimbo karisana🥰🥰🇧🇮
Van isikaka please olegue na papa cangwe wamewasha moto
Nyimbo kali kabisa asante Van kuna ngoma ya Kidum kibido atuachani uyipitiye ni kali
Burundi 4life🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 big up kiriku with jj
Nomaa
wabikoze washaaaa🔥🔥🔥🔥🔥
Double mpaka kili
😍😍😍😍😍😍🙏🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪👈👈👈🤙🤙🤙🤙wanaweza nawew pia
Nakubali sanaaaa🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
🔥🔥🔥
Fire
🔥🔥🔥
Love 🇧🇮💖
🔥🔥🔥
Wawooo I feel it thanks for the reaction
Poa saana
Nopfa manaa ake nitakufa . Yani wanasema " Nokwishinga nopfa " : inamaanisha nikiendelea kuku iga nitakufa . 😂😂 Apa wanaongelea vile unakuta jama wanalala club everyday , wanavuta bangi , kula watoto ... Ndo wakaiimba "Nopfa" . Iyo ndo kwa ufupi wa song. Anyway thanks for remember our country
Poa saana
Vijana hawa wanatisha kinoma
Ako narafiki mbaya anamufunza tabia mbaya
Nokwishinga nopfa : Nikiendekezana na wewe naweza nikafa
Aongea kuhusu rafiki anamufunza njiambaya anamufunza.kulewa,kunywa bangi, kutongoza
Asantee saaana
Nopfa maana ni ngelikufa
nakukubali sana kaka from Bujumbura🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Pamojaa saaana
Nokwishinga nopfa 😂😂🔥🔥🇧🇮🇧🇮🇧🇮
🔥🔥🔥
Nikikuendekeza naweza nikafa
U know what vani kutoka #Burundi tena #olegue____korayo
Poaa
Nopfa ni naweza kufa
Kwl bro
2021 ni style 🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤🎉🎉
😂😂😂😂😂 wan wewe ndo number moja kwa kufanya ma reaction nataka kukuona ukifanya reaction ya nyimbo ya swag team ft double jay inaitwa kokwica🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nopfa maana yake naweza nikafa...anasema akifwata tabiya za huyo rafiki yake akafa sababu mlevi sana
Van isi kaka kalib kwetu maan naona unawakubari watu waburundi aise😂😂😂😂
Asantee saaana adidja...nishakaribiaaaa mpaka ndani🤣🤣
Tafuta fabelove Burundi bro
Vava"abobahungu barakaze nawetubiravyeneza uwokwishinga yopfaaaaaaa
🔥🔥🔥
Please Korayo by olegue please from Burundi
Sawa
😃😃😃
Moto💫🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Niaje Kaka tufanyie analysis ya nyimbo Bado by KAKAZ047 all the way from 254. Unyamwezi mwingi i say.
Poa saaana
Burundi🔥🔥
Nofa manayake nikikuedekeza takufa
🔥🔥🔥
Malafiki mabaya
✌✌✌✌
✅✅✅
@van pls fanya reaction ya ngo za jamaa anaeitwa R flow na Drama T from Bantu bwoy
Poaaa
React KORAYO by OLEGUE💥💥
Even if you are my friend,nikiendelea kukuiga style,vinaweza vikaniweka matatani.ndo manake vani
Noma saaana
Nopfa=naweza nikafa
Nokwishinga=nikipendekezana nawewe
🔥🔥🔥🔥
✊✊✊
🔥🔥🔥
🇧🇮🇧🇮🇧🇮✊✊✊🫶🫶🫶💪💪
(Nopfa) it means kufa
Nopfa inamaanisha kufa
Noma saaana
Yaani marafiki wabaya wana badili tabia nzuri ya mtu.
Daah kweli
The song is about bad friends
🔥🔥🔥
Nokwishinga nopfa manaake nikifuata tabia zako naeza nikafa
Poaaa saaaana
Ulevi Yani nikama Niki kufatiliya ulevi wako naweza kufa
Daah kweli
Marafiki wabaya nopfa=naweza kufa iy song niyawarafiki wabaya walimfunza kunywa pombe na bangi
Daah noma
mmmmmmmmmmmmmmm nopfa 👂
Nomaaa
The song is about having a bad friend taking you in bed habits.
Nomaa
😍
Not vapaya yani kwapombe nyingi anafanana na papayo
Nobishinga nopfa peeee😂😂😂😂
Nopfa inamaana naweza nikafa
Poaa saaana
React to “stfa” by nick nittoli next
Fanya réaction yamsani wanamuita R frow.na drama t
Sawaa
Vani eee,ngoma inamaanisha kwamba,jamaa kaiga style ya mwenzak ya kunywa pombe,kuvuta sigala na bangi,harafu double vikambadilisha kiafya hata nasula.akaonekana Kama vampaya.so ndo kusema kwamba akiendelea kumuiga anaweza akafa.
Poaa saaana
🤣🤣🤣🤣🤣Nokwishinga nopfa
Nopfa means ICan die if I try to follow you in bad behaviour
Van, next time get the translation be4 you react, just here and there. Kind of research before presentation
Nopfa means i can die #nikiiga tabia zako ntakufa🤣😅
Ooh yeah