UTANI WA JADI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 344

  • @SostenesChaka
    @SostenesChaka 18 дней назад +8

    kumbe Matty wa manyanya kitambo kwa game I love it❤

  • @bellairaje3956
    @bellairaje3956 2 года назад +21

    Wa kwanza mimi kutoka Burundi wapi like zenu

  • @Chady_Kizzo_Boy
    @Chady_Kizzo_Boy 2 года назад +63

    toka nimjue cram ninekuwa taem cram 4life🔥🔥🇹🇿 nakuomba cram unisaini kwenye kundi rako namm ninandoto ya kuwa star🙏

    • @dominicmache
      @dominicmache 29 дней назад +1

      ni clam si cram utachekwa

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 года назад +33

    Clam muoe huyu binti ni mzuri sana.bahati haiji mara mbili.

  • @shadrackmasigaTV
    @shadrackmasigaTV 2 года назад +29

    Shemeji anavutia sana , mrembo Rangi ya mitumee 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @trevorsreagan9518
    @trevorsreagan9518 Год назад +13

    Clam mtu wangu wa nguvu kazi nzuri brother 👑🌟

  • @zephaniamwangu9857
    @zephaniamwangu9857 2 года назад +14

    Daaaah shadow umeua sana dadeki😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @godfreymagigi8340
    @godfreymagigi8340 2 года назад +113

    Nawakubali sana clam kiukwel wewe nouma sana kama unawakubali like ziwe kibao.

  • @Dr.kiplimo
    @Dr.kiplimo 2 года назад +17

    🤣🤣🤣🤣 utani utanimaliza 😂😂😂 much love 💖💖💖💖

  • @salwasuleiman3525
    @salwasuleiman3525 2 года назад +11

    Huyu aloekti mke wa clam anajua sana movie inakua nzuri sana

    • @nurusaid4698
      @nurusaid4698 Месяц назад

      Anaitwa Kim 😂😂😂😂😂

  • @florarenister4352
    @florarenister4352 2 года назад +273

    Sijawah fikisha like 5 naombeni mnipe Leo nimewah

  • @Shkaylertv800
    @Shkaylertv800 2 года назад +4

    Sijawi kupata like 4, naomba munipe Like

  • @emmanuelsifuna
    @emmanuelsifuna 2 года назад +8

    Hivi utanipusua my ribs buana 😅😅😅😅 love your comedy movies

  • @vincentmusyoka6885
    @vincentmusyoka6885 Год назад +2

    Clam VEVO I like your videos jinsi unavyoingiza 👍👍

  • @jacquilinenoah949
    @jacquilinenoah949 2 года назад +17

    ila hichi kidada kirembo bwanaaa😍

  • @peterjoseph-b3b
    @peterjoseph-b3b 4 месяца назад +3

    Clam ww balaa hauna baya❤❤❤

  • @nasra3523
    @nasra3523 2 года назад +2

    Nmepnda uyu dada alivomuangali chakumfanya ana aah nawapenda san

  • @yohanatulito1182
    @yohanatulito1182 2 года назад +8

    Mimba ya mtani Wako 😂😂😂😂🔥🔥🔥 amakweli Hawa Watu

  • @charlesbandu632
    @charlesbandu632 2 года назад +19

    clam from DRC Goma 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤❤

  • @zainabngao3329
    @zainabngao3329 Год назад +2

    Hahahaha yaani nmanivunja mbavu sana daah clam& shadow

  • @MsaMapoda-ir3ww
    @MsaMapoda-ir3ww Год назад +13

    Jamani naombeni like 10 ata mimi nione laha yake❤

  • @VictoriaNgonye
    @VictoriaNgonye Год назад +1

    Napenda san kuigiza naomba. Uniunganishe nitafanya vizuri sitokuangusha

  • @bubikiarttv5325
    @bubikiarttv5325 2 года назад +11

    Good ideas my brother #CLAM, Bubikiarttv Kuna vipaji pia ....show love to us.....need more likes than eveeeeeer happened

  • @Faycorazon
    @Faycorazon Год назад +1

    Shadow yuko vizuri clam fanyeni kaz tena

  • @adrianthuranira6356
    @adrianthuranira6356 2 года назад +2

    Clam Vevo wewe Ni Yule msee kabisa nakubali Sana toka +254

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 2 года назад +9

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nawakubali Sana Team Clam vevo mtaniii😂😂😂 Nilimiss Sana Kim🥰🥰

  • @michaelngowi34
    @michaelngowi34 Год назад +1

    Shadow uko pwa sanaaa,,,,mnatisha team clam

  • @distantinstincts8829
    @distantinstincts8829 2 года назад +60

    BIG UP CLAM, Lav from +254... Wife alianza ku watch your videos, nowadays we must match you everyday. Keep it up broh

  • @edwinkorir6646
    @edwinkorir6646 2 года назад +4

    Hongereni kwa kazi nzuri

  • @mundhiromar7769
    @mundhiromar7769 2 года назад +2

    cleam yupo wap yule mwanmke mrefu mweupe mbna hatumuona namkubl sana

  • @justnjustn6168
    @justnjustn6168 2 года назад +3

    Sema uyu Dem mzuri kinoma

  • @mariamnjama3963
    @mariamnjama3963 2 года назад +4

    Clam😁😁😁😂mzigo ushaliwa na mtani😁😁

  • @sadickrajabu8980
    @sadickrajabu8980 2 года назад +2

    Iyo nimeipenda clam imekuwa vizuri ktk comedy

  • @JanathMsedemu
    @JanathMsedemu 6 дней назад

    Mke wa clam mwenyewe kapauka 😂😂😂😂Bora ata wa huyo rafki ange

  • @Rockyban_Og
    @Rockyban_Og 11 дней назад +1

    Good mtani

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 2 года назад +9

    Huo utani🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Drak_4
    @Drak_4 2 года назад +9

    I you give respect in comedy CLAM VEVO 🤣🤣🤣🤣🤣 funniest part 〽️🔥🔥🔥🔥📌

  • @zaujikha
    @zaujikha Год назад +1

    Agwee miyanguu mbulii😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂

  • @mwanamkasitsuma
    @mwanamkasitsuma 10 часов назад

    Hahaha sijawai cheka kama leo jamani😂😂😂😂

  • @hamisahakim4926
    @hamisahakim4926 2 года назад +6

    Wa kwanz kabisa😂😂😂

  • @dianawakutumwa1313
    @dianawakutumwa1313 2 года назад +2

    Sema we mwanamke mzuriiii nakupendaaa

  • @momboi199
    @momboi199 2 года назад +5

    Uyo mschana yuko vizuri

  • @aysha9932
    @aysha9932 2 года назад +8

    Team clam mwatueka sna mbona 🤔🤔 tuleteen vtu bwnaaa🥰

  • @shamsiarashid4015
    @shamsiarashid4015 2 года назад +16

    Clam & shadow 💥

  • @headieljohn9183
    @headieljohn9183 2 года назад +4

    Mimi Leo watisa kucomment🤣

  • @eae851
    @eae851 2 года назад +3

    Good job Clam... Keep it up mkuu

  • @MosesOwino-m7l
    @MosesOwino-m7l 4 месяца назад +1

    mrembo huyo 😎

  • @gracexteve-tv5dn
    @gracexteve-tv5dn Год назад

    Oaa huy dem me namp3nd jamn dah

  • @goodluckjohn
    @goodluckjohn День назад +1

    Ludi tu kwenye comedy kak maana duh tunafurahi

  • @issabellakisumuni8554
    @issabellakisumuni8554 24 дня назад

    Kwenye movie yetu pendwa ya dunia huyu mke wa jamaa anaitwa matrida

  • @Halimamaere
    @Halimamaere 2 года назад +5

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila clam bwana utani uo kheee umetisha mwambaa 🥰🥰🥰🥰

  • @NelsonMandela-hx3bc
    @NelsonMandela-hx3bc Год назад

    Hahaha 😂 aki VEVO 254

  • @nassibkhalid7553
    @nassibkhalid7553 2 года назад +6

    Unajua sana kaka 🔥

  • @mwaminashosi5781
    @mwaminashosi5781 2 года назад

    Clam na shadow mtatuua jamanii 👉😁😁👉 haya karibuni kwetu Kenya 😳

  • @manyanyazakaria
    @manyanyazakaria 2 года назад +1

    Clam vevo mzee wa naenda nyumbani😂😂😂kweli utani hadi chooni mmeo anakufubaza 🙌 nkikutania ww sawa km nmekutania clam chizi mimba ya Mtani

  • @kefadaniel5170
    @kefadaniel5170 2 года назад +9

    sana clam 🔥🔥

  • @Mrpasakaonline70
    @Mrpasakaonline70 Месяц назад

    Mtaniiiii Hadi kwa shemeji😂😂

  • @msauzbusiness558
    @msauzbusiness558 2 года назад +40

    Haya watu wangu wa nguvu tusepe na kijiji maana najua wote humu tunawakubali Hawa watu gonga like 👍

  • @RajabSwaleh-n4d
    @RajabSwaleh-n4d 12 дней назад

    Hya napenda sana movie zakee

  • @OmmyDseven
    @OmmyDseven 3 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂😂 ndio ilivo yani vevo bhna😅😅😅

  • @shaabanmasoud4827
    @shaabanmasoud4827 2 года назад +4

    Hahahha "mtani kanipa kweli nikachukua" hahahha noma kweli
    Safii kazi nzuri na quality ya 📷 iko vizuri

  • @estherkazungukarisa9110
    @estherkazungukarisa9110 2 года назад

    Clam ww penda ww bure aki

  • @leonardkambona3608
    @leonardkambona3608 2 года назад +3

    Sema waga mnaigiza na pisi kali nakubal sana😅

  • @IsmahamadiJuma-g1m
    @IsmahamadiJuma-g1m 2 месяца назад +1

    Clm bhan❤

  • @charlesmolenje6225
    @charlesmolenje6225 2 года назад

    Vip n poa

  • @budaboss8435
    @budaboss8435 2 года назад +13

    Sikuizi Naji sikia happy Sana ninavyo ona clam na shadow wako pamoja. Ila sijuwi Kama kaka shadow alikuwa ame potelea wapi ?

  • @moisecishahayo
    @moisecishahayo Год назад

    Mimi ni mupenzi Wa kwanza WA Clam 🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪💪 naenda nyumbani 🤣🤣

  • @MpiokoIsmael
    @MpiokoIsmael 10 месяцев назад

    tu es vraiment meilleur de tout les temps

  • @Alex-ls7pq
    @Alex-ls7pq 10 месяцев назад

    Nice comedians from Uganda 🇺🇬

  • @issaskighanga3199
    @issaskighanga3199 2 года назад +1

    Nakubali shadow mwanangu 🤞🤣🤣🤣

  • @Valline-u1z
    @Valline-u1z Год назад +1

    Oya shadow nakukubali sanamwanangu kwenye hii video mwishoni umeua💯💯💯💥💥💥🌟🌟🌟

  • @feisalnanya
    @feisalnanya Год назад

    😃😃😃clam bhana..naongea nawewe naongea na huyu😃😃😃

  • @Symon-5q
    @Symon-5q День назад

    Matrida....kumbe ulikua hivi🤣🤣🤣

  • @mofatimwatebela8786
    @mofatimwatebela8786 Год назад

    jayrida umekua Shana kweli aisha popote

  • @MiriamWanjiru-ft4uu
    @MiriamWanjiru-ft4uu 4 месяца назад +1

    Shemeji naleta mashitaka😅😅😅😅

  • @githongagenesisgithonga
    @githongagenesisgithonga 2 года назад

    Huyu mtani jameni si amemfubazamke wa shemeji yake hiyo kali sana.

  • @ElizabethMweu-w3r
    @ElizabethMweu-w3r 10 месяцев назад

    I ❤ it . Wow very wonderful

  • @harrentbanda5152
    @harrentbanda5152 2 года назад

    Çlam ww noma sana bg up,,,all the from Malawi

  • @halimaiddy8691
    @halimaiddy8691 Год назад

    Muendelezo please kitu kimenoga 👍👏💖💖

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 Месяц назад

    Mtaniuwa Na Kicheko Eti Kanipa Kweli Nikachukuwa 😂😂😂😂😂

  • @Uriel577
    @Uriel577 2 года назад +3

    U r so talented oh

  • @AminaAmina-of5mv
    @AminaAmina-of5mv 2 года назад +3

    Kazi nzury 👌❤️❤️

  • @qbvthis4522
    @qbvthis4522 2 года назад +3

    UTAni he siohoutani tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hassanallyrajabu8025
    @hassanallyrajabu8025 2 года назад +1

    Mbona simuoni yule mzee pumbavu zake jamaniii naona video nyingi sana simuoni

  • @FabianiMganga
    @FabianiMganga 5 месяцев назад

    namkubali San huyu mamba clam

  • @miriamkibe6551
    @miriamkibe6551 2 года назад

    Mtani ana tamaa naijua hiyo nyiko

  • @safiasuliman5136
    @safiasuliman5136 Год назад

    Noma sna😂😂😂

  • @rehemaabdullah7606
    @rehemaabdullah7606 2 года назад +4

    Daaaah😁😁😁😂😂😂😂

  • @netrickanyonje7714
    @netrickanyonje7714 2 года назад +3

    Utani gani huo 🤣🤣🤣naenda nyumbani jamani clam unaua

  • @lightnessmasai8546
    @lightnessmasai8546 Год назад +1

    Clam big up xana nipeni like 10 kama mshabiki wa yanga

  • @vanesazumbe4188
    @vanesazumbe4188 2 года назад

    Utani kama huwo m siwez kabsa🙌🙌

  • @atijamartinsaliali6496
    @atijamartinsaliali6496 Год назад

    Kkkkkkkkk ntaniiiii

  • @shedrackdamian2870
    @shedrackdamian2870 Год назад

    😂 mpare mwenzangu

  • @skystarmusic5281
    @skystarmusic5281 Год назад

    Unawasha bro

  • @mwapendosultan887
    @mwapendosultan887 Год назад

    awee miangu mbuli imara🤣🤣mtani

  • @Jonas-qc9bz
    @Jonas-qc9bz 2 года назад

    Uyo jamaa nichi kweri bana

  • @AbuuRuzo
    @AbuuRuzo 4 месяца назад

    😂😂😂😂😂nikachukuaaaa

  • @jovinusbuberwa641
    @jovinusbuberwa641 2 года назад +3

    Nilitak nilale kweny mapaja ya mkeo😀😀😂

  • @jumashaban963
    @jumashaban963 2 года назад +1

    Dah clam unakera kweli wee mtani😂😂

  • @Benboy2-h5k
    @Benboy2-h5k 2 года назад +1

    utani washuoni uo siyo clam na mimi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤣🤣😂😃😃😃😃😃