Jicho la mke mwenza | Jinsi yakupika jicho la mke mwenza (kababu za mayai ) | Collaboration.
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- #jicholamkemwenza #kababuzamayai #rukialaltia #collaboration.
Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen
Mahitaji:-
1/2kg kuku
Karoti iliyogretiwa
Pilipiliboga za rangi tofauti
Majani ya dania /giligilani
Chumvi
Pilipilimanga kijiko kidogo
Kidonge cha kuku (sio lazma)
Maji ya ndimu/limau
Garamasala kijiko nusu kidogo
Kijiko chakula kitunguusaumu
Kijiko kidogo tangawizi
English recipe press the link ➡️ Egg chicken kebab | Chicken egg devil recipe | Ramadan snacks | Collaboration. • Egg chicken kebab | Ch...
Raniyah Anwar (meat kebab recipe)➡️ • Kababu za nyama ya kus...
Recipe ya Kababu za kuku kutoka kwa Raniyah Anwar ➡️ruclips.net/video/uSARSKBFcoA/видео.html
Naweza tumia nyama ya kusaga
@@madilaliali7425 ndio waeza
MashaAllah...zimekolea viungo vizuri...rangi perfect...asante dia
Masha'Allah recipe nzuri sana👌
Shukran sana sista 🥰
Mashallah,asante kwamafanzoyako
Nimepika MashaAllah Tamu sana
mashallah allah kuzidishie ujuzi na iman
Mash allah nimependa hilo jina jicho la mke mwenza
Shukran sana kwa mapishi mazuri ramadhan karim
Mashallah nitajaribu inshallah
Nilijaribu mara moja nikazipenda sana tamuuuu😋😋
Lakini asante kwa kazi nzuri, zidi kupost tuzidi kuwatch
Mashallah safi sana.. ila Hilo jina Sasa.. jicho la mke mwenzaaaaa...
JAMANI wake zetu tukilisifia jicho la mke mwenza msinune😂.. maana linaonekana tamuuu
Mashaallah Allah very nice
Mashallah Mashallah Jazakah Lwah Kher Habibity
iLike it iwill try
Mashaallah you did a great job
Leo nimezipika tamu ajab...thank You Rukia.
Ma Sha Allah asante sana yummy😋😋
If you would like to watch this recipe in English language press the link ➡️ ruclips.net/video/U43-QnULtM8/видео.html
🤣🤣🤣🤣🤣 hilo lina limenimaliza...jicho la mke mwenza ha ha
Ma sha Allah..ftari ya Leo hiyo in sha Allah..thank you for sharing habibty ❤️❤️❤️
Shukran habibty 🥰inshallah
MashaAllah but hilo jina ndoo limenipendeza saum maqbul
Ramadan Kareem
So sweet
Maashallah
Ni nzr nimependa
Asante nimepika na mimi Alhamdulillah shukrani hubbty
Thanks dear kwa mapishi bomba
Ma shaa Allah habibty 😋😋nitajaribu hii In shaa Allah
Inshallah habibty 🙏 ❤️
My all time favourite channel
Thank you habibty 🥰
Shkran daa kwa mapishi 🙏🙏🙏
Good
Yummy,it looks delicious
Masha Allah very yummy recipes
Thank you
Thanx, Allah Barik will try
Inshallah
Mashaallah 🙏
Going to do this for ramadhan day 2 inshallah thank you... all the from 🇨🇦
Thank you soo much let me know how they turn out 🥰🥰
I did it and it was amazing thanks to u, Allah barik Habibty
Napenda sana mapishi yako
Asante sana 🥰
Mashallah
Vipi naeza kupata no.zako
Mashallah nitamu
nice
Thanks for sharing 😍
mashaallah mashaallah my love nzuri sana
Shukran sana habibty 😘
Nc
Mashaallah😙
Maashallah
A.lykm yaani apo ndonime changanyikiwa hatari
Tamu
Thanks dear
Maashallah..looks yummy 😋
Thanks beib
Guu
MashaAllah zavutia sana nitajaribu na mimi 🥰😋👌
Inshallah sissy 😋😋😘
😜😜😋😋😋😋👌
Hello rukia am from raniya's channel
Thank you soo much for visiting my channel 🥰
@@RukiaLaltia my pleasure
😋😋😋😋
Hayo majan kma wengne atuna hitakuwaj
Huwez tumia ngombe
Waeza
Masha Allah nice... alfu kuna video ya cutless niliangalia instead of chenga za mkate ulitumia unga... i want the name plz
Video ipi nijulishe
Shukran habibty
Ss Dada rukia kama huna food process utasaga na nn
Unaweza kusaga na blenda pia
Mm ni mmoja Kati ya mashabiki zako but now sipati vedio zako Kwan nn?
Hilo jina la mke mwenza dadangu 😂
I can't understand where is the collaboration, Stay tuned.
Press the link in the pinned comment & check out her recipe 🥰
@@RukiaLaltia Sure why not
I'll give this a try,,but why the name "jicho la mke mwenza",please
Hahahaha aki sijuwi why.....just grew up nikiskia hyo jina
Samaki wa tuna ni samaki gani?
Nzuri sana ila giligilani ni nn
Coriander
Ni "macho yetu" wala si " jicho zetu"
Naomba no yako ya wasp
Hi
, I’m new in ur channel pls speak or write English
All my videos are in English and swahili kindly press the link ➡️ ruclips.net/video/U43-QnULtM8/видео.html
Boe
Mashallhau
Rukia naomba namba yako ya Whatsap
Sijaelewa kababu za nyama ule mchanganyiko wake ni nii kacanganya,km nafaka
Mashallah
Nc
Mashallah