JICHO LA MKE MWENZA TAMU NA RAHISI KUPIKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 103

  • @HadijaSheban
    @HadijaSheban  Год назад +5

    Assalam Alleyhkhum/Hi Lovies
    Asante sana kwa kufika hapa ukitaka video za Biashara ya chakula Link⬇️
    ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5
    ◼️Ukitaka snacks⬇️
    ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDD90kR30GpB_AyFVjkPPMuL
    ◼️Halfkeki za kila aina⬇️
    ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDBUDZIeZrA-DiOgliRi_uqo
    ◼️Vyakula vya kiswahili⬇️
    ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDD5fGLDOP9StrLovA03YLzz
    ✅️ Ramadhan recipe 2021
    ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDDeF-kRL1X226btzJdX_r0v
    Thanks for stopping by please Subscribe Road to 100K Subs💃💃
    #roadto100K

  • @SafiaNdame
    @SafiaNdame 10 дней назад

    mashaallah ❤

  • @OthmanhajiMwalim
    @OthmanhajiMwalim 23 дня назад

    Nimeipenda sana

  • @mariaedward6975
    @mariaedward6975 28 дней назад

    ❤❤❤ barikiwa nitajaribu hii

  • @AnnethMlay
    @AnnethMlay 9 месяцев назад

    Asante Madam nimejifunza somo kubwa sana hapa kupitia huu Upishi wako barikiwa sanaaa!!!! Usichoke kutupa maujuzi ya mapishi nakufwatilia sanaaa ,nitapika hili jicho la Mke mwenza na mimi

  • @TatuJuma-et8hz
    @TatuJuma-et8hz 10 месяцев назад

    Ninzuri Masha Allah

  • @salmafaraj3839
    @salmafaraj3839 Год назад

    Masha Allah nice jicho la mke mwenza

  • @SaumuGulam-xp3oj
    @SaumuGulam-xp3oj 10 месяцев назад

    Mashaallah chakula kizuri Mungu akuzidishie mazuri ktk mapishi yako ameen

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  8 месяцев назад

      Allahuma ameen my love shukran

  • @ibraabuemu9231
    @ibraabuemu9231 Год назад

    Maa sha ALLAH

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 Год назад +1

    Hongera sana dada iko poa sana

  • @a.856
    @a.856 Год назад +1

    Ahsante

  • @maryamzoolfikar1707
    @maryamzoolfikar1707 Год назад

    Mashallah Mashallah tabaraka rahman napenda unavyo eleza

  • @fatumajuma9388
    @fatumajuma9388 Год назад

    Masha Allah ❤

  • @FaustalazaroNgunda
    @FaustalazaroNgunda 10 месяцев назад +1

    Nizuri sana

  • @melvadola2303
    @melvadola2303 3 месяца назад

    Daa didah mi nkupenda aki en asante mwaya❤

  • @ZawadiHassan-dp6tw
    @ZawadiHassan-dp6tw 9 месяцев назад

    Ahsante kwa ktujuza❤❤

  • @saidasalum9240
    @saidasalum9240 10 месяцев назад

    Mashaallah Allah akuzdishie mazuri❤

  • @s_monimeld
    @s_monimeld Год назад

    Hii lazima nijaribu😋😋inakaa tamu sana na rahisi kutengeza

  • @RozaliaCassian-pc6dz
    @RozaliaCassian-pc6dz Год назад

    Wow,nataman niwe nguli kama ww dada thanks sana❤

  • @NunuIdi
    @NunuIdi 10 месяцев назад

    Barikiwa saaana

  • @marleysamjamal173
    @marleysamjamal173 Год назад

    Mashallah

  • @leluumwinyi4968
    @leluumwinyi4968 Год назад

    Mashallah dear

  • @amneamne2492
    @amneamne2492 Год назад

    Mashaallah tabaraka rahman. Shukran habibty. ❤

  • @Goodlucky-d2k
    @Goodlucky-d2k 6 месяцев назад +1

    👌👌

  • @salmafaraj3839
    @salmafaraj3839 Год назад

    Insha Allah nitajaribu

  • @faidhatmassawe9301
    @faidhatmassawe9301 Год назад

    ❤napenda sana mapishi yko lakn nataman uniambie viungo unavyotumia jmn

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 4 месяца назад

    ❤❤❤

  • @zaituniluboge8897
    @zaituniluboge8897 Год назад

    Hongera

  • @mishiiddi6957
    @mishiiddi6957 Год назад

    Inakaa tamu Sana... Sambaza Hilo jicho

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  Год назад

      Tamu sana naleta na mguu pia🤣🤣🤣🤣🤣

  • @chukwani4942
    @chukwani4942 Год назад

    Mashaallah, mie huwa sitii hizo chenga za mikate, ndo maana ikawa kavu , unatia viini tu kisha unachanganya basi

  • @officially_youngmammy
    @officially_youngmammy Год назад

    Somo Aslam Alkm nakupenda sana

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  Год назад

      Soomoo waaleykhm mussalam uko vipi?karibu na nakupenda pia ila umepotea sana

  • @gracecocosim1832
    @gracecocosim1832 Год назад +1

    Assalam Alaikum.Niko Burundi.Walahi aunt, Allah akulinde,akuepushe na mabaya.
    Ulinifunza namna ya kutengeneza ice cream na half cake za capa mandazi na nili jaribu recipe kwa biashara nasema Alhamndulillah.
    Shukrane dear.

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  Год назад

      Waaleykhm mussalam ameen kipenzi na nimefurahi sana kuskia hivyo hongera love

  • @MayasRamadhn
    @MayasRamadhn 2 месяца назад

    Chickens donat

  • @artandlife8063
    @artandlife8063 Год назад

    Ntatengeneza nikutag, thanks

  • @DoraHassan-sg6ie
    @DoraHassan-sg6ie 9 месяцев назад

    Shukran sana

  • @MariaMkamba
    @MariaMkamba Год назад

    Waoo

  • @Jikonikwetu
    @Jikonikwetu Год назад

    Yummy😋👌

  • @AwaCamara-x5b
    @AwaCamara-x5b Год назад +1

    ❤🎉😊

  • @mohamednurmohamed8812
    @mohamednurmohamed8812 10 месяцев назад

    😂😂😂😂 Mke mwemza lazima nijuwe kupika tnks Sis

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  10 месяцев назад +1

      🤣🤣🤣Sitaki kesiiiii ujueee

    • @mohamednurmohamed8812
      @mohamednurmohamed8812 10 месяцев назад

      @@HadijaSheban hehehe 🤣 but seriously u do help us esp sisi tuko Saudia with no wife's so tnks so much ALLAH akuzidishie with ur lovely family ameen

  • @blasidafussy1364
    @blasidafussy1364 Год назад +1

    Umenifunza mapishi mengi mno Allah akuweke

  • @AmusedCorgiPuppy-ch8wc
    @AmusedCorgiPuppy-ch8wc 10 месяцев назад

    Habbary iii nyama ni ya kusaga amaaa

  • @aminatahmassoudi6540
    @aminatahmassoudi6540 Год назад

    Shukrani sana naitaji kujua hiyo soup 🍲 naitengenezaje pls

  • @YasminKipagala
    @YasminKipagala 10 месяцев назад

    Fg like 😊i

  • @NunuIdi
    @NunuIdi 10 месяцев назад

    Ahsant saana nimejifunza pakubwa

  • @cynthiaadams7689
    @cynthiaadams7689 Год назад +1

    Wow they look so delicious. 🤤 Hilo jina ni funny sana. 😂😂 Congratulations for hitting 96k subscribers, 4k subscribers remaining to hit 100k. #EnrouteTo100KSubs. 🎉

  • @badawyhaji9288
    @badawyhaji9288 Год назад

    😋😋😋😋😋😋😋

  • @sarahbuhoma7050
    @sarahbuhoma7050 Год назад

    Mimi nataman utufunzr kuku wa KFC❤

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  Год назад

      InshaaAllah my love nitafanya japo sijawahi ila nina imani naeza Fanta akatokea vizuri

  • @FatmaMahmoud-qc9hv
    @FatmaMahmoud-qc9hv 10 месяцев назад

    Kublend nyma n laxima?

  • @Daphne362
    @Daphne362 Год назад

    😂😂😂😂😂😂😂hapo kwa yayi kupasuka balaa tupuu jamani mbavu zangu mie

  • @QueenElizabethmamy
    @QueenElizabethmamy 10 месяцев назад

    Huweki chumvi?...

  • @sarahayuma359
    @sarahayuma359 Год назад

    Wish i was ur neighbor😅😅

  • @julieg7206
    @julieg7206 Год назад

    Recipe nzuri, hio nyama utaponda na kinu ikiwa mbichi au kama imeiva?

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 Год назад

    Sambula za pojo na nyama na cabab

  • @hadijamohamed1829
    @hadijamohamed1829 Год назад

    Mm nataka ya pilipili yako naona ni nzr na tamu

  • @shebanishebe7866
    @shebanishebe7866 Год назад

    Maa shaa ALLAH

  • @NunuIdi
    @NunuIdi 10 месяцев назад

    Barikiwa saaana