This is gospel 🙌 🙏 👏 ✨ ❤ 😌...... nimemaliza kusikiliza hili hubili jana usiku na leo nimeamua nirudie make ni kama nilikua na usingizi.... Pr nakuombea sana kwa Mungu, mambo mengine sijawahi hata kuyaskia
Pastor ubarikiwe sana hubiri la Onesmus katika kambi la Githurai mwaka wa 2018 nimeganda kichwani mwangu na mara kwa mara unipa nguvu ya kuendea msalaba..

Mungu ni mwema nimepona ugonjwa wa miaka sita. Niko huru. Asanteh YESU
Amen 🙏.Nimebarikiwa sana
Barikiwa sana
Mungu atukuzwe kwa huduma hii

Hii ni gospol