YANGA WAMPA THANK YOU CHAMA? NASIR ACHAMBUA UBORA WA SIMBA MBELE YA YANGA UTASHANGAA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 180

  • @IddiKaseka
    @IddiKaseka 14 дней назад

    Hajui mpila uyo mtoe app anatuchafua kwanza sip mtanzania uyo

  • @MedardAndrew-v3w
    @MedardAndrew-v3w 20 дней назад +6

    Wachambuzi kama hawa ndio huijenga timu ya simba. Binafsi mimi shabiki wa simba nawaona wanatusaidia maana hawawezi kukosoa timu zao wanazozipenda. Wanasifia tu. Hii ni nzuri sana.

    • @jeremiaroy4661
      @jeremiaroy4661 19 дней назад

      Unahisi mwalimu simba anafanya kazi na mitandao ya wachambuzi

  • @francismapunda6924
    @francismapunda6924 18 дней назад +1

    Uko sawa kabisa Nasri

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 14 дней назад

    C KILA MWENYE ndevu ni MWANAUME hata wadada Kuna wenye ndevu

  • @floramathayo-pj9ly
    @floramathayo-pj9ly 21 день назад +18

    kwani mipira ilyokufa katengeneza nani? kwani huon timu zinavyokamia game ya simba lkn yanya wakicheza hakuna timu inayowakamia, timu znavyocheza na simba zina ahidiwa fedha za kutosha

    • @KennethNgoleka-p1j
      @KennethNgoleka-p1j 20 дней назад +3

      Uwongo hujuwi mpira doogoo hukamia kwa Simba!! Simba bado haipo vizuri.

    • @TwahirBurhan
      @TwahirBurhan 20 дней назад +3

      Mbabaisha wewe Dunduka,Mikia fc bado hamjafikia kiwango cha Yanga ,shukuruni waamuzi ndio wanawabeba kwa kuwazawadia penalts za michongo

    • @chrisantusnditi8670
      @chrisantusnditi8670 20 дней назад +1

      Dogo lawama zimeshaanza,mkiona ng'aing'ai tunakaribiana,kelele zinaanza.Hapo league wanaongoza simba,tukiongoza Yanga nadhani kelele za GSM kumiliki timu 8 zitarudi tena.Tucheze mpila,kila club ioneshe uwezo wake,hakuna chochote kama unavyodhani

    • @NillanMjunga-fr5ze
      @NillanMjunga-fr5ze 20 дней назад +1

      Yanga ameshinda goli moja moja mara ngapi bhana yanga amefungwa mpaka na Tabora unasema hakamiwi akipoteza yanga mnasema mbovu akipata matokeo ya kusuasua simba anakamiwa hakuna mpira wa hivyo

    • @ramadhanimrungu5806
      @ramadhanimrungu5806 20 дней назад +1

      Kwel kabiasa awa madunduka Wana kelele sana

  • @vascombembela3632
    @vascombembela3632 20 дней назад +6

    Sawa Tu, timu yenye madhaifu ndo inayoongoza Ligi na magoli mengi chanya

    • @chrisantusnditi8670
      @chrisantusnditi8670 20 дней назад

      Angalia GA ,magoli anaongoza Yanga,ni 32 kwa 31,GD wote wana 26,tofauti ni kwenye magoli ya kufungwa,simba 5 na Yanga 6

    • @flova7022
      @flova7022 20 дней назад

      ​@@chrisantusnditi8670kwahiyo Nani Bora hapo .Kwa ubongo wako

    • @mitinjemaziku
      @mitinjemaziku 20 дней назад

      Inaongoza ligi ila haijachukua ligi kumbuka

    • @flova7022
      @flova7022 20 дней назад

      @@mitinjemaziku kwahiyo Hadi mdaa huu nani Bora😁😁😁😁😂😂😂

    • @aziziatumanially424
      @aziziatumanially424 19 дней назад

      Kwanza umedanganya wewe magori gani unayoongoza wewe

  • @josephnchungila4017
    @josephnchungila4017 16 дней назад

    Ndiyo huyu alitabiri Simba itamaliza msimu nafasi ya nne

  • @MarySaduu
    @MarySaduu 16 дней назад

    Yanga iliyokamilika iko nafasi yangapi

  • @Ramadhan-x9q
    @Ramadhan-x9q 20 дней назад +2

    Ujui mpira Kila kocha ana mbinu zake usitutoe kwenye mudi Kila mtu ashinde zake wachambulie wasiojua mpira yanga anamechi nyingi za mchongo kimataifa mbona viazi

  • @MarySaduu
    @MarySaduu 16 дней назад

    Huwezi kuipongeza simba kama hauipendi kwa mazuri

  • @charleznicholas416
    @charleznicholas416 16 дней назад

    Huyu muarabu anaichukia sana Simba,,, ata siku ikichukuwa ubingwa ataikosowa 😂😂😂😂

  • @bakarimakalo7128
    @bakarimakalo7128 20 дней назад +1

    Ubora wa Simba uasaidiwa sana na Timu pinzani kucheza kwa kukamia. Hakuna nafasi ya Simba kuhonga Marefaa na Timu pinzani. Ubabe wa timu pinzani zitaaidia Kimataifa.

  • @ArimAthumani
    @ArimAthumani 16 дней назад

    kiufpi mi nimekuelew mkuu simba bado tunajitafta lkn itakuwa tishio

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 18 дней назад +1

    Al hilal ilikuwaje ?? 0-2 😅😅 Hadi kipa Diarra anakula Tobooo

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 18 дней назад +1

    Sasa hizo penati zilipatikana Kwa njia vipi?yaani refa alikuwa anaamua tu kuwapa Simba penati?we bwege kweli,Acha ushabiki maandazi

  • @augustinokagoroba3098
    @augustinokagoroba3098 18 дней назад

    Simba ni moto wa kuotea mbali.

  • @SilemaniAli
    @SilemaniAli 15 дней назад

    Ww mwarabu nimbumbavu sana

  • @josephmpagike2481
    @josephmpagike2481 20 дней назад +1

    Wachambuzi bongo hawajui Mpira wanapenda kuchambua ila Bado hawajui kanuni za Mpira Simba inawezekana ushindi wa Simba unawatesa wachambuzi wengi sana timu inayo shinda michezo yake haiwezi kuwa haichezi vizuri

    • @Sanjey-vp1fm
      @Sanjey-vp1fm 20 дней назад

      Huyu jamaa ni shabiki wa uto mm ata ctamani kumckiliza maana anaongea sana kishabiki

  • @stanslausmachege2179
    @stanslausmachege2179 14 дней назад

    Yaani huyu JAMAA ANACHUKI VIBAYA NA CHAMA TANGU YUKO SIMBA HANA JIPYA

  • @olaaramson2950
    @olaaramson2950 16 дней назад

    Tatizo ligi sahivi niya GSM tim nane kwenye ligi

  • @morrisabdon7881
    @morrisabdon7881 15 дней назад

    Credit nakupa, Huo ndiyo ukweli. Swali je, viongozi waliopo wana hayo maono????? Hapo ndipo shida ya Simba ilipo.😂

  • @JumabJumamkuula
    @JumabJumamkuula 18 дней назад

    Wewe jamaa hujuwi mpila yanga na Simba wote Kila timu Ina mapungufu yao

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 14 дней назад

    Hiki kikimbiz ni ziro huko kwao hakuna radio za kuchambua michezo

  • @erickmakundi5278
    @erickmakundi5278 18 дней назад

    Sijaelewa wachambuzi wa bongo nauliza tu kwani Simba imefunga goli ngapi za set pieces katika magoli 31 waliyofunga?

  • @allymaimuna8688
    @allymaimuna8688 18 дней назад

    Kwanza simba Bado Ina endelea kutengeneza timu ambayo haikua sawa ktk misimu3 wewe huelew fara

  • @dr.madevualcantara4775
    @dr.madevualcantara4775 18 дней назад

    Sawa kabisa timu bdo ndo tunaijenga tukutane msimu mpya 2025/2026...utatoa hutowi ndo slogan yetu

  • @Adammwandambo
    @Adammwandambo 20 дней назад +1

    Wew ulituambia simba atashika nafasi ya tano,ata juz ulisema simba atafungwa na singida,,

  • @MariamHokororo-yh7qu
    @MariamHokororo-yh7qu 20 дней назад

    Yanga tamuuuu❤

  • @engineerjuma9876
    @engineerjuma9876 17 дней назад

    Huyu si ndiye iliuweka simba nafasi ya tano nini unadhani ataingea

  • @Chikophehussein
    @Chikophehussein 16 дней назад

    Tatizo wachambuz skuiz nao wna timu zao

  • @EddySempay-qf1on
    @EddySempay-qf1on 21 день назад +3

    Kaongea kweli

  • @mazengojohn2090
    @mazengojohn2090 20 дней назад

    Kwann Simba ichangue marefa

  • @ChijaLugola-xe5tn
    @ChijaLugola-xe5tn 21 день назад +3

    Swali langu kuna timu imekamilika? na icheze bila udhaifu wowote?

  • @msabahaissa6201
    @msabahaissa6201 19 дней назад

    Huyu mwarabu mpuuzi sana hajui kuchambua mpira,anachuku na Simba

  • @mwinjumabujon4286
    @mwinjumabujon4286 20 дней назад

    HUYU NI MWEU UNASEMA SIMBA MBOVU NANI ANAONGOZA LIGI. TWENDE KIMATAIFA SIMBA ANA.POINT 6 HIYO TIMU YAKO NYUMA MWIKO INA POINT 1. BADO UNAIPONDA SIMBA HUYO HUYO MWEU ALISEMA SIMBA ITASHIKA NAFASI 4 SHBAMITI

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 20 дней назад

    Timu yoyote ikikamiwa inakuwa ngumu hajaona timu zilizofunguka kukutana na simba inakuwa rahisi hata yanga akikamiwa anapata shida

  • @SeifSalim-g4z
    @SeifSalim-g4z 21 день назад

    Simba hamnatim

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz 21 день назад

      Simba hawana Timu ni kweli. Lazima ujivunie raha uliyonayo Sio kitu kidogo Kua na Mwiko Nyuma kuna starehe kubwa. Sio kila Mtu anapata bahati hiyo ya kua na Mwiko Nyuma.

    • @kassidpandu866
      @kassidpandu866 21 день назад

      angalia Msimamo kama hatuna timu

  • @samirshabani-yu4xu
    @samirshabani-yu4xu 20 дней назад

    Itabidi wana simba tupange kampeni mahususi yakuwatwanga wachabata kama hawa

  • @MohamedRugamana
    @MohamedRugamana 19 дней назад

    Yanga imemkaa kwenye damu perform

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 19 дней назад

    Huyu nasri basi tu mwak ndio unaanza kiufupi sio mchambuaji wa mpira hafai sport arena

  • @athumanijumakinyuru4306
    @athumanijumakinyuru4306 20 дней назад +1

    Yuko sawa bhana wanasimba tukubali tuu mpira mkubwa uliopigwa ni ule wa Sbs tu.

  • @Ahmed-l7k6y
    @Ahmed-l7k6y 19 дней назад

    Huyu NASRA kapewa hangover na GSM ndio maana anaropoka tu

  • @hassansalum7997
    @hassansalum7997 19 дней назад

    Hakuna mchambuzi hapo labda achambue Matembele

  • @richardnyirenda6498
    @richardnyirenda6498 18 дней назад

    Punguza mahaba ukuze kipaji acha UJINGA

  • @binbadru8408
    @binbadru8408 20 дней назад

    Jamaa anaumia kweli na matokeo ya simba yaani unamjua hasa km ana mahaba na yanga,wasifie kina dube na magoli yao ya mechi za familia

  • @abdulswamadmahmoud1163
    @abdulswamadmahmoud1163 18 дней назад

    Mwarabu wa kwanza tanzania kuwa mwanahabari

  • @alexchiwenda9540
    @alexchiwenda9540 20 дней назад +1

    Mtu anaye wakosoeni anawasaidieni. Shida mashabiki maandazi hampendi kukosolewa. Mtajitafutaje kama mtakuwa mnajisifia tu wenyewe na kuwakandia wanaowasemeni ? Mtabaki hapohapo na ndo furaha yetu sisi.

  • @FredrickSutta
    @FredrickSutta 20 дней назад

    We said acha utoto Simba hawanavuwezo wa kumsimamisha yanga labda wale princes

  • @jamalAlly-p2y
    @jamalAlly-p2y 20 дней назад

    Kinachokusumbua ni chuki tu na husuda dhidi ya simba

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 18 дней назад

    Kwani UTOPOLO FC WANAKIWANGO GANI ZAIDI YA KUHONGA TIMU AMBAZO WANADHAMINI NAO?.ZAIDI YA TZ,KUNA NCHI GANI TIMU ZAIDI YA 6 ZINADHAMINIWA NA MFADHILI MMMOJA?.,

  • @AllyMohamed-w5x
    @AllyMohamed-w5x 20 дней назад

    Mawazo yko kama yana mashiko ila Simba hukamiwa

  • @bakarimasanga3634
    @bakarimasanga3634 20 дней назад +1

    He is a good analyst, acheni wivu....mfyuuu zenu

  • @LucianaSintufya
    @LucianaSintufya 19 дней назад

    Nasema yanga mikundu yao imelegea kwa kuchokonolewa, wao msimu uliopita walikuwa shirikisho, sasa sielewi maneno wanayotoa kukashifu shirikisho kama wao hawajawahi kushiriki, sasa watu kama hawa ndiyo maana hawazai watoto kwa kuwa wanapenda kuchokonelewa matako wakiongozwa na shoga kamwe

  • @NikoAgast
    @NikoAgast 20 дней назад

    Huyu mpumbafu sana kwani upo inamagoli mangapi???.. yanga wanaifanya ligi iwe kama ya Italia yaani upangaji wa matokeo wa wazi kabisa

  • @Ahmed-l7k6y
    @Ahmed-l7k6y 19 дней назад

    Huyu NASRA HAJUI MPIRA SIJUI LAKINI NAHISI NI SHOGA HUYU

  • @bakarimangecha3586
    @bakarimangecha3586 20 дней назад

    Uyu mkojane si ndie alisema simba anawapa asilimia4

  • @FredrickSutta
    @FredrickSutta 20 дней назад

    Huo ndio ukweli Simba haiksmiwi ila imesajiri wachezaji wenye vipaji vidogo ndio maana wanatumia maguvu Kila mechi wangekua akina pakome mechi ingeonekana rahisi

  • @ErnestMalima
    @ErnestMalima 20 дней назад +1

    Yani timu ambayo haijakamilika ndoinaongoza ligi mpaka mda huu'swali je ikikamilika?🤔

  • @SaidSeif-s1b
    @SaidSeif-s1b 19 дней назад

    Siokukamia ndio mfumo wanautumia kwenyempira Hakuna kitukukamia

  • @mwalimuchristian3273
    @mwalimuchristian3273 20 дней назад

    ACHA USHAMBA TUMEKUAMBIA TUNAJENGA TIMU

  • @EmmanuelThomas-bd6rn
    @EmmanuelThomas-bd6rn 20 дней назад +1

    Lakn hata hyo penat htokea baada ya kfanyiw madhambi haitokei tu hiv hvi

  • @khalifazahor1522
    @khalifazahor1522 19 дней назад

    Huyu ni demu wa ......

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 20 дней назад

    Huyu si alisema simba kaipa asilimia 35 na yanga 75 kiko wapi

  • @richardkokoro3269
    @richardkokoro3269 19 дней назад

    Simba hawapivi pasi tatu???!!! Mfungebi kqmba huyu Sio bure

  • @MarySaduu
    @MarySaduu 16 дней назад

    Mchambuzi uchwara ndio hawa

  • @FredrickSutta
    @FredrickSutta 20 дней назад

    Kwani kombe la shirikisho nalo limekua kubwa !Kuna wengine wamepeleka timu za madaraja ya chini

  • @KEPHAMASWAGA
    @KEPHAMASWAGA 21 день назад

    mimi nakukubalia simba yetu kuna maeneo nichangamoto

    • @bakanga1410
      @bakanga1410 21 день назад

      huwa hakuna timu iliyokammilika kila idara acha ushamba

  • @macyagervr5888
    @macyagervr5888 16 дней назад

    Kam una lesen omba kaz simba sas

  • @aminiyasini7271
    @aminiyasini7271 19 дней назад

    Huna uchambuzi

  • @JuliusMbikilwa
    @JuliusMbikilwa 20 дней назад

    Huyu jamaa yuko sahihi Simba pamoja na mafanikio aliyo nayo sasa bado ana mapungufu mengi,labda mwakani anaweza kuwa sawa

    • @majaliwamussa9268
      @majaliwamussa9268 20 дней назад

      Ukiacha hasira na ushabiki, utamuelewa jamaa anachokusudia wala si kuishusha Simba

  • @AllySety
    @AllySety 20 дней назад

    hyu mchambuzi kweli kwani timu ikipata penati mpaka inafka ndani kumi 18 au sita lkn pia timu ikifanyiwa fauli ndani ya 6 hio timu iko vizuri

  • @hossenmzimbiri8672
    @hossenmzimbiri8672 19 дней назад

    Kwani mipira iliyo kufa inapatikanaje? Inapatikana wakati wachezaji wamekaa?

  • @essaumapunda5766
    @essaumapunda5766 19 дней назад

    Uchambuzi butu

  • @msabahaissa6201
    @msabahaissa6201 19 дней назад

    Mnaisifia Yanga kwakuwa amemfunga kengold ?

  • @JacksonMbites
    @JacksonMbites 20 дней назад

    Huo ni mtazamo wako Simba ni timu imara kimfumo wanajua wanachokifanya bro wewe shabikia yanga

  • @reginaldnyinge8802
    @reginaldnyinge8802 20 дней назад

    Msenge huyu ametumwa na GSM aongee usenge. Simba SC inaongiza ligi na imekusanya pointi 6 ktk kundi lake la CAF CC

    • @SaimonKivamba
      @SaimonKivamba 20 дней назад

      Mtu wa mpira huwa hatukani,tatizo tunapenda timu kuliko kujua mpira

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 19 дней назад

    Na Tabora wanafanyaje??

  • @kelvinmsyani3913
    @kelvinmsyani3913 21 день назад

    Jamaa ni yanga pure huyu

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 20 дней назад

    Mlikuwa kimya kumlaumu gsm wakati mnashinda huko yanga ikufungwa. Sasa yanga imeanza kushinda mmeanza malalamiko kuhusu gsm, hivi kweli kuna akili hapo nyie makolo? Yanga bingwaaaaa.

  • @khalifazahor1522
    @khalifazahor1522 19 дней назад

    Msenge huna uchambuz

  • @nimlambangu2771
    @nimlambangu2771 20 дней назад

    Mbona mmekuwa mafundi sana wa kuongea, Si mtafute timu za kufundisha kisha uombe mechi ucheze na simba.

  • @Mufti-g3x
    @Mufti-g3x 20 дней назад +1

    Uyu jamaa hem apimwe akili hivi kiakili tu ya kibinaadam tu ndio haini timu zinavyokamia kwa Simba? Na haoni chupli kule upande wa pili? Na anasema magoli ya Simba ni Kona au penalty Sasa hizo hazipo kwenye mchezo wa mpira? Huyu apimwe tu

  • @lydiathomas2905
    @lydiathomas2905 20 дней назад

    Ndio maana ya kutengeneza timu

  • @MzeeBabu-s6y
    @MzeeBabu-s6y 20 дней назад

    mbona Sasa wa naongoza ligi magoli mengi

  • @mohammedlaabry5799
    @mohammedlaabry5799 21 день назад +1

    Why yanga wasipate hayo magoli wakati kipa wa upinzani ndio anatoa assist mabeki ndio wanajifunga

  • @JonathanJohn-b1y
    @JonathanJohn-b1y 19 дней назад

    Huyu mkundu sijawahi muelewa Hana akili kama ndevu zake ambavo hazijui kunyolewa

  • @khalifazahor1522
    @khalifazahor1522 19 дней назад

    Nenda huko na usenge wako wewe ni msenge

  • @EzekielMasige
    @EzekielMasige 18 дней назад

    Wewe ujui mpira wewe kama ufiki kwa mpinzani utapataje penati

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 20 дней назад

    Kaanzishe timu yako na isiwe na madhaifu Kama Simba 😂😂

  • @YusufKifunga
    @YusufKifunga 21 день назад

    Ongelea yanga yako

  • @seifarteta
    @seifarteta 20 дней назад

    Uyu jamaa alitupa 5% kuchukua ubingwa tushamzoea awezi kutuongelea vizur

  • @essaumapunda5766
    @essaumapunda5766 19 дней назад

    Wewe ukamili au bado utopolo mtupu

  • @SaadIssa-e1e
    @SaadIssa-e1e 20 дней назад

    Huyu fala Mpira alicheza wapi mpaka akawa mchambuzi wa mpira

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 20 дней назад

    😂😂😂😂 kibu 😂😂😂
    Anapambana hana madhara jaman unawachana live shikamoo khalf

  • @AlexAnder-b5d8k
    @AlexAnder-b5d8k 21 день назад

    Uyu anavyosema simba inaangaika akumbuki yanga swala la gsm kuzamini timu nyengine wakati timu yake ya YANGA nayo ipo ligi hio hio ndilo linalomfanya ata akishuka kiwango kwa muda basi mechi za kumludisha kwenye fomu zipo ndio izo chapa gsm kwa simba ilo amna ndio mana anaongea ivyo lakini ukweli anaujua kama gsm kuzamini timu 5 sijui sita ni janga

    • @bakarimasanga3634
      @bakarimasanga3634 20 дней назад

      Udhamin wa ligi ni suala la kikanuni bodi ya ligi Tz, na sio mapenzi au ushabiki kama unaofanya wewe.

  • @azizaj776
    @azizaj776 20 дней назад

    Huyu ponjoro bumbuwazi

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 21 день назад

    Ww mjinga tu tunakujua ni yanga damu

  • @emiliuskifigo3062
    @emiliuskifigo3062 20 дней назад

    Kwa hyo Yanga Kimataifa kwenye open play wanetengeneza goals Ngapi?awa wapuuzii wamewapumbazaa Watanzania

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 20 дней назад

      Usipende kubaki ndani ya box kimawazo. Yanga iliocheza mechi za kimataifa ilikuwa kwenye hali gani??

  • @jumaboko75
    @jumaboko75 20 дней назад

    kaongea huyu baba

  • @kelvinmsyani3913
    @kelvinmsyani3913 21 день назад

    Credibility ya wachambuzi inakufa