Highlights | She Corporate 0-1 Simba Queens | Final - CAF Women Champs League Qualifiers 27/08/2022

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 авг 2022
  • Simba Queens imeshinda ubingwa wa michuano ya vilabu ukanda wa CECAFA na kukata tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake, baada ya kuichapa She Corporates ya Uganda bao 1-0.
    Goli pekee la Simba Queens limefungwa kwa penati na Vivian Aquino dakika ya 49, fainali ikipigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
    Tazama highlights.....
    #CECAFAWomenFinal #CAFWomenChampionsLeagueQualifiers #CAFWCLQ
  • СпортСпорт

Комментарии • 62

  • @samwellaizer5093
    @samwellaizer5093 Год назад +2

    Hongereni sana dada zetu kwa kazi ya kuwakilisha nchi yetu

  • @josaphinaahadi6224
    @josaphinaahadi6224 Год назад +2

    Ilinipa wakati mgumu kuikosa kuangalia hii mechi lakin faraja kubwa kuona simba Queens mkituwakilisha vema, hongereni sana, MUNGU amjalie kila mmoja wenu afya njema. NGUVU MOJA.

  • @emanuelernest8710
    @emanuelernest8710 Год назад +1

    Waaaoooo 👏👏👏 ni wanawake lkn wameupiga mwingi wameonyesha juhudi uwezo wa mchezaji mmoja mmoja ktk Kila saafu Kila mchezaje amekua bora sana I wish ingekua ndo taifa stars kwa wanaume 👏👏👏👏👏👏👏 hongera sana #simbaquines mumeipa heshima Simba na Tanzania kiujumla

  • @alikokayange1089
    @alikokayange1089 Год назад +1

    Hongereni Sana Simba queen s kwakuiwakilisha vema Simba ssc na tz kwaujumla .

  • @Jugla_soyuncuKai
    @Jugla_soyuncuKai Год назад +3

    Hongereni san qeens wetu wa msimbazi

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 Год назад +2

    Congratulations simba special all sister for my country in burundi

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 Год назад +1

    Hawa madada ni 🔥🔥🔥🔥🦁👸 wamestahili kuwa mabingwa. Hatujamalizaaaa

  • @cat-kr1ro
    @cat-kr1ro Год назад +1

    A lady with jersey no. 22 Daniela was on 🔥🔥🔥🔥

  • @sebastianmwaphe497
    @sebastianmwaphe497 Год назад +2

    Nampenda sana Joelle bukulu jamani nsaidieni kumwambia

  • @hassanmhesi3868
    @hassanmhesi3868 Год назад +4

    Mimi mtu wa kwanza

  • @zuberyomary5172
    @zuberyomary5172 Год назад +2

    Wao hongeleni dada zetu

  • @renatusi9769
    @renatusi9769 Год назад +3

    Waooo simba sc taifa kubwa

  • @martinsamweli1997
    @martinsamweli1997 Год назад +1

    Congratulations 👍👍👍

  • @conradmwingira684
    @conradmwingira684 Год назад +1

    Bravo Simba Queens

  • @sospetermuhola790
    @sospetermuhola790 Год назад +2

    Safiii,mmetuheshimisha kisoka

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 Год назад +3

    Utopolo baada ya miaka na wao wakifanikiwa utasikia wanaongea sana hawa kweli wanabweka kama manyani na mnukuu kocha wao

  • @martinsamweli1997
    @martinsamweli1997 Год назад +1

    Hongera sana 🙏🤝❤️

  • @mahadshekh398
    @mahadshekh398 Год назад +3

    Utopolo roho zinawauma.Kila mara Simba ndio huwa inakuwa mwanzilishi.

  • @vicentjoseph8035
    @vicentjoseph8035 Год назад

    Great 🦁

  • @khadijaminule7756
    @khadijaminule7756 Год назад +2

    Congratulations 💪 Mmestahil Ushindi💕🙏🏼

  • @peterpaka8966
    @peterpaka8966 Год назад

    Ongereni Simba

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Год назад

    Hongereni maqeen

  • @Theprincipalmboya
    @Theprincipalmboya Год назад +1

    Mnajua kunifurahisha dada zangu

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Год назад +2

    Wanawake wanajua kusikiliza mafunzo ya mwalimu

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 Год назад

    Ledies always play intelligent football only lack of masculinity but they are very smart

  • @swedikiluvia9386
    @swedikiluvia9386 Год назад +1

    Huyu Vivian Corazón? Dah!

  • @lengachapati3728
    @lengachapati3728 Год назад +3

    Ao watoto watafutiwe udhamini hapo kifuani wapo vinzuri

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 Год назад +3

    Colazone...bongo mtatawala sana

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 Год назад +1

    Waaamuzi walipepesa sana, hawa wa bluee walistahili kupata penalty na wao

    • @thomasabelmwakipesile5280
      @thomasabelmwakipesile5280 Год назад

      Hata Simba bao lao lililokataliwa mwanzo haikuwa offside!

    • @selestiandamas7762
      @selestiandamas7762 Год назад

      Kashike kipenga wewe uwape penati. Unadhani penati ni maandazi. Wewe hujaona Simba wamenyimwa penati ngapi

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 Год назад

      @@selestiandamas7762 usipanic broo huo ndio ukweli, sema huupendi

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 Год назад

      @@thomasabelmwakipesile5280 upo sahihi broo

  • @ibrahimmarcelino1917
    @ibrahimmarcelino1917 Год назад +2

    Dada zetu wanaupiga mwingi

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 Год назад

    Safi sana ila waganda wapo vizuli nao

  • @fundimbano5168
    @fundimbano5168 3 месяца назад

    0:30 0:32

  • @hulilodonard5524
    @hulilodonard5524 Год назад

    Sanks Simba Queens

  • @ilungasalle
    @ilungasalle Год назад

    Umaliziaji bado kidogo simba Queen

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 Год назад +1

    Kilikuwa na Kona upended wa( she )

  • @lama6310
    @lama6310 Год назад

    Simba walikuwa wamezidiwa Kama Sio Penat

  • @tibenderanarizwan3153
    @tibenderanarizwan3153 Год назад

    Joelle Mariam ni balah sana

  • @simonrickie
    @simonrickie Год назад

    Well played simba though the penalty was a scam. 🤣🤣🤣🤣
    But you deserved to win.

  • @kirundumweteni2072
    @kirundumweteni2072 Год назад

    Wanaume Taifa stars (timu ya karia)inashindwa. Mpaka na wanawake

    • @lama6310
      @lama6310 Год назад

      Hii sio Timu ya Taifa, angalia Vizur

  • @fredymwachuwi5757
    @fredymwachuwi5757 Год назад +2

    Tahifa stazi ata Simba kwini inawea ikamfunga

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 Год назад

    Ila waamuzi wameboronga sana hii mechi nafikiri kulikua na penalties kama mbili kama sio tatu.

  • @DenhoD
    @DenhoD Год назад +1

    Huyu asha djafari na Vivian ni balaa

    • @atupelemsyani7411
      @atupelemsyani7411 Год назад

      Dah Kuna kiungo yule binti wa Burundi naye pia ni mzuri anaitwa Bukulu

    • @facy746
      @facy746 Год назад

      @@atupelemsyani7411 bukulu mzuri

    • @hindisaid2413
      @hindisaid2413 Год назад

      Penalty ya she imefinywa

    • @DenhoD
      @DenhoD Год назад

      Yeah naona wamenyimwa penati nao

  • @fadhilidini1181
    @fadhilidini1181 Год назад +1

    ila wana upiga mwing

  • @user-xw3ez6on1b
    @user-xw3ez6on1b 7 месяцев назад

    Ukiwa mwana smba Raha sn jmn

  • @kishimbaboy5403
    @kishimbaboy5403 Год назад +1

    Dah simba tuko vzr mpka wake zet wanagawa dozi,c mchezo

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 Год назад +4

    Usajili ulifanywa kwakweli ni upande wa wadada Ila madume mmmm naona akuna kitu...samahani lakini naona Nimeongea ukweli

    • @josaphinaahadi6224
      @josaphinaahadi6224 Год назад

      Muda ukifika ukweli utajulikana

    • @sarllemmtunze405
      @sarllemmtunze405 Год назад

      Wacha mvua inyeshe itajulikana wapi pabovu ila kwa timu za ligi kuu bara hakuna timu iliofanya usajili wa maana kama simba. Kasumba na kampeni chafu zenye lengo ya kukiponda kikosi Cha simba kwa lengo la kuvunja morali ya timu haziwachi kuwepo. Siasa chafu za mpira hazimjengi yeyote.

  • @godfreyjackson4499
    @godfreyjackson4499 Год назад

    Madem wasumbufu hawa,, wanalishana vidali huweeee