KIJANA MZALENDO ATOBOA SIRI CCM KUTOENGULIWA KUTOKANA NA MAKOSA"NILISHAGOMBEA NAJUA KINACHOENDELEA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 20

  • @joyceraphael2586
    @joyceraphael2586 День назад

    Ndivyo ilivyo hata mm nimeletewa nikiwa Mwenyekiti wa chama nimeona Hilo ccm wako makini sana

  • @atupegemwakahesya
    @atupegemwakahesya 2 дня назад

    Wasomi wapinzani, nao wanakosea kujaza fomu? Je, ujuzi wa kujaza fomu unaweza kumfanya mtu aongoze vema? Je, unaweza kuwachagulia watu viongozi wao?

  • @jumbekadili3366
    @jumbekadili3366 2 дня назад

    Nadhani hujafanya utafiti wa kutosha kuna form nyingi mbovu zilizojazwa na wagombea wa CCM Ndugu yangu

  • @sulemanxulex8508
    @sulemanxulex8508 День назад

    Wewe ni muongo Tena muongo sana acha kupotoka

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 2 дня назад

    Mzalendo,pamoja na kuelezea uraratibu wa kujaza fomu lakini bado uchaguzi huu ccm na serikali yake na Wizara ya Tamisemi hawakuwa na nia ya kudanya uchaguzi hutu na wa haki!

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 2 дня назад

    Hili.pumbavu.sana

  • @abbotantony4460
    @abbotantony4460 2 дня назад

    CCM ni wezi

  • @ZANAMBER
    @ZANAMBER 2 дня назад

    Wako makini sana kwa wizi

  • @gastonjohn537
    @gastonjohn537 2 дня назад

    Ndo maana uatetea

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 2 дня назад

    Mzalendoo!!! Hiyo ccm unayoizungumzia sio hiyo ya sasa japo nawe ni sehemu ya hao ccm. Zipo fomu zilizokosewa kikanuni na bado hawakuenguliwa.

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 2 дня назад

    Kama wako makini katika ktk ujazaji wa fomu bila ya kukosea hata kidogo je watakosaje kutosimamia upigaji kura Kwa uadilifu na daima ulalamishi unakuja juu Yao tu Kila muhula wa kupiga kura

  • @Castory-k4j
    @Castory-k4j 2 дня назад

    Acha upumbavu mpaka kwa mawakara kuzuiliwa usituchanganye

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 2 дня назад

    Uongo mtupu. Wanachokijua ni kuiba tu kula

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale День назад

    Huyu mzalendo mbona simwelewi!

    • @JosefuSwai
      @JosefuSwai День назад

      Humuelewi kivipi wewe fisadi

  • @ZANAMBER
    @ZANAMBER 2 дня назад

    Asili ya ccm sasa ni majizi ya kura

  • @kakawataifa6752
    @kakawataifa6752 2 дня назад

    Ivi kujaza fom ndio anaeda kuwafundisha wananchi wake baada ya kuchaguliwa.Fom zote zijazwe na mtendaji