KUNGWI SALMA MARSHED Akielezea namna ya Kumsinga Mume kwenye Ramadhani

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 152

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 6 лет назад +33

    si mpka awe na salio shost utamuuliza anakula nini mfuko ana vumbi tu?!

    • @zuhurahamis6268
      @zuhurahamis6268 6 лет назад +3

      umeona eeeh inabid wangalie pande zote na ambao hawna uwezo

    • @aishaqasim2679
      @aishaqasim2679 6 лет назад +2

      Salha Daudy kabisa my

    • @christianfarouq3534
      @christianfarouq3534 6 лет назад +1

      Hshaaaa umejua kunifurahisha siku hizi watu hswataki kupumzikiwa

    • @mwanaherimohamedy6978
      @mwanaherimohamedy6978 6 лет назад +2

      Salha Daudy,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😀😀😀😀umenifuraisha sana lakini ni kweli mwenzang umeachiwa elfu tano ukamulize anakula nini

    • @fatmamohammed3411
      @fatmamohammed3411 6 лет назад +1

      Hahhaha hpo sasa

  • @abdidhergane8680
    @abdidhergane8680 4 года назад +3

    Mimi anajua kiswahili mdogo...but. I like it this program....thank you sister

  • @farahbwanaheri4257
    @farahbwanaheri4257 6 лет назад +5

    What a wonderful program plz madam Salma upload so many video we need it to learn more from you.thank you very much

  • @joshvyasoghambangi5763
    @joshvyasoghambangi5763 5 лет назад +2

    I appreciate these teachings

  • @sfiaalanazi5479
    @sfiaalanazi5479 2 года назад

    Mashaallah uko mankini sana shukran

  • @goldensparrow1507
    @goldensparrow1507 6 лет назад +2

    Hodari weye Mashallah. Programme yako ya kula kweli nzuri.. Kama kwangu ndio navofanya. Tunafungua na tende na maji tu tunaenda kuswali.

  • @zaynabshair4195
    @zaynabshair4195 5 лет назад +17

    Kwahiyo mwanamke haitaji kufanyiwa vitu hivyo acheni kuwapumbaza wanawake wakawe watumwa kwa waume zao kama kusingwa na mwanamke anahitaji kusingwa kukandwa mwanamke anahitaji kukandwa

  • @wakifedhayakub7834
    @wakifedhayakub7834 6 лет назад +2

    Shukrani kwakipindi kizuri mungu awabaliki

  • @عليالندابي
    @عليالندابي 4 года назад +2

    Mashaallah

  • @raheemaal-hady9328
    @raheemaal-hady9328 3 года назад

    Maa Shaa Allaah

  • @sabrakhamis8070
    @sabrakhamis8070 2 года назад

    Ahsante kungwi

  • @farahbwanaheri4257
    @farahbwanaheri4257 6 лет назад +1

    Nice program and understandable language

  • @nassraramadhans1074
    @nassraramadhans1074 6 лет назад +2

    asante daa sakina najifunza mengi

  • @samataramadhansamata6262
    @samataramadhansamata6262 5 лет назад +1

    Da sakina nakupenda ovyo ovyo muaaah

  • @raysamiya3760
    @raysamiya3760 4 года назад +2

    Hyo mnayo ongea n ukweli lkn ht umbebe w kukuudhi atakuudhi

  • @hasinayusuf9632
    @hasinayusuf9632 5 лет назад +1

    Masha Allah naomba no yako

  • @goldensparrow1507
    @goldensparrow1507 6 лет назад +18

    Mmh hakuna muda mwenzangu.. Ukimaliza kula mna nusu saa tu mume kwenda Isha na taraweh. Tena mume kachoka akwambia kabsa nizimie na taa kidogo nipate kupumzika japo robo saa.. robo saa inayobaki anamka kuoga kuharakisha kwenda miskitini.

  • @asianassoro9217
    @asianassoro9217 2 года назад

    Mashallaaah

  • @sadakhamis1261
    @sadakhamis1261 6 лет назад +4

    Mtaratibu... Mashallah

  • @mvuyekurejuma9811
    @mvuyekurejuma9811 3 года назад

    Zasaiz kungwi naomb msaada nisaidiy Jina la kitezo kile cha umeme ili nikitafut

  • @alal4699
    @alal4699 4 года назад

    Asante

  • @maryamsaeed9276
    @maryamsaeed9276 5 лет назад +7

    Jamani mnaifanya ndoa kua kitu kigumu sasa unamuandaa mume kama anaenda kuoa leo...hii ntamfanyia mume wangu lkn sio kilacku...apo unaweza kosa ata muda wa kufanya IBADAH. Unamfanyia yote hayo kama niwakuenda ataenda 2...

    • @zombiecute8793
      @zombiecute8793 4 года назад

      Hahaha play party yako tuuu muhimu arudi tu nyumban 😅

  • @SophiaMbega
    @SophiaMbega 4 месяца назад

    Wanaume wa kiswahili hata uwafanyie nn bd nishida tu

  • @nasrahussein8408
    @nasrahussein8408 6 лет назад +9

    Hali ngumu sanaaa weeee hivyo vitu unapata wapii 😂😂😂kununua futari mtihaniii

    • @حواءجمعهخميس
      @حواءجمعهخميس 6 лет назад +1

      Nasra Hussein akiamungu mimi nacheka na hizo comments za watu hahahahahahahaha

    • @nasrahussein8408
      @nasrahussein8408 6 лет назад +2

      حواء جمعه خميس cheka sanaaaa hali ngunuu

    • @mwanaherimohamedy6978
      @mwanaherimohamedy6978 6 лет назад +1

      Nasra Hussein, hahahahahahaha kweli mwenzangu ukila magimbi na uji unashukuru sembuse hayo mavitu

    • @crisslufunga1690
      @crisslufunga1690 6 лет назад +1

      Nasra Hussein 😂😂😂😂😂😂😂

  • @missfa4650
    @missfa4650 5 лет назад +7

    Mwanamke sio mtumishi wandani,mwanamke ni maapambo yanyumba!!dini haifundishi ivo...

    • @ummyleylahadya5202
      @ummyleylahadya5202 5 лет назад

      Usipojali tumbo la mume wako hayo mapambo yako yatamsaidia nini?

    • @jamilajamila9682
      @jamilajamila9682 5 лет назад +4

      Kwanza yeye huyo yote anafanya?au ndio blaa blaa tupu kusumbuwana 🤭🤣🤣🤣🤣🤔sijui mayasmini sijui mdalasini na Thom spices zote za pilau mme ananuka utasema katoka factory ya binzari 🙈😢🙈💔no time samahani

    • @ummyleylahadya5202
      @ummyleylahadya5202 5 лет назад

      @@jamilajamila9682 yeye kafikisha ujumbe kama unaona hayakufai basi unanyamaza tu ndugu yangu katika imani

    • @nuruhraqqiya267
      @nuruhraqqiya267 5 лет назад

      @@jamilajamila9682 🤣🤣

    • @صخرهثابته
      @صخرهثابته 5 лет назад

      @@jamilajamila9682 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fatumalove4119
    @fatumalove4119 4 года назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @goldensparrow1507
    @goldensparrow1507 6 лет назад +4

    Tena mume akimaliza kula wengi hawataki kulala wanasema wameshiba wanakaa mtu anangalia news kama dakika kadhaa hivi.

  • @jeanmjimmy
    @jeanmjimmy 5 лет назад +1

    Unapendeza sana nikama vile ulijipanga mwaka mzima kabla ya upload the video.

  • @farhatomar7495
    @farhatomar7495 6 лет назад

    Kungwi nakuku bali toto lakiarabu unamambo wewe😘😘

  • @ftmat2805
    @ftmat2805 6 лет назад

    Shukran

  • @munirahadrian9055
    @munirahadrian9055 4 года назад

    Naaam kungwii salmaa

  • @hassanambarakmbarak8759
    @hassanambarakmbarak8759 4 года назад

    Ahsant salmaa

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 6 лет назад +20

    Tatizo ni mda tu kwa mfano uikiwa na mtto mdogo nyumbani pekee umeshampikia ftari mume umeshaoga sasa wataka pumzika mara mtto anakusumbua mda huo wakumshulikia mume utaupataje?

    • @samirdaizan1736
      @samirdaizan1736 4 года назад

      Bad xx ume sema my sisi wenyewe watt

    • @hussnabakary3507
      @hussnabakary3507 3 года назад

      Tena ukikuta nymba zenyewe za kupanga vyumba vimoj vimoja mtihan wallah mnakaa ndan kama mnataka kutoka mana ata nguo hamgunguz 😁😉😉😁

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 3 года назад

      @@hussnabakary3507 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @hussnabakary3507
      @hussnabakary3507 3 года назад

      @@mahmoodalghefeili5370 ehe ndo ivo sas chumba kimoja una mtto ana miaka 4 au mitano na watto wenyewe wa sas je amma.unaweza kuvaa dres tupu apo ni lazima mkae kama mpo ofocn adi watt walale

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 3 года назад

    Misipendi kupika jamani🤣

  • @asilakhamis3961
    @asilakhamis3961 6 лет назад

    masha Allah

  • @agnesslegnard8153
    @agnesslegnard8153 6 лет назад +5

    Mamy naitaj kujua umechanganya vitugan? Ktk asumini

  • @saimtangi7508
    @saimtangi7508 6 лет назад +2

    nimeipenda hii ya kumsinga mume baada ya futari, mashallah

  • @mrsawadh5716
    @mrsawadh5716 4 года назад

    Kila sku mnafundisha wanawake na wanaume je au ni malaika wao 😏ovyooo

  • @rahmaalhaj9487
    @rahmaalhaj9487 6 лет назад

    mashaallah

  • @asianurdin871
    @asianurdin871 2 года назад

    Huko kusingwa ni nn?

  • @mamawa3mamawa321
    @mamawa3mamawa321 4 года назад +2

    Vitu vengine hufanywa na mahawa kwenye ndoa huwa ngumu,una watoto kazi zoote wafanya wewe huo wakusingana uko wapi wachoka mwanamke hatari

    • @juwairiyamambo
      @juwairiyamambo 4 года назад

      Kweli kabisa unasema ukweli. Halafu pia kwa nini always ni upande wa wanawake kumfanyie mume, Je na ss pia tuna penda kudekezwa, au vp..?

    • @mamawa3mamawa321
      @mamawa3mamawa321 4 года назад

      @@juwairiyamambo hapo sasa

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Год назад

      ​@@juwairiyamambosingo ndiyo nini

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Год назад

      Singo ndiyo nini

  • @lingxihao3316
    @lingxihao3316 5 лет назад

    😁😁

  • @nadyahassan7924
    @nadyahassan7924 5 лет назад +5

    waume wenyewe wakowp utaminyana mpak povu likutoke mwisho wa siku anatoka kwenda huko

  • @irenemassawe4079
    @irenemassawe4079 5 лет назад +2

    Tena huyo na mambo yote unawezakuta mumewake anachepuka

    • @hussnabakary3507
      @hussnabakary3507 3 года назад

      Tenaaa katik watu wasoshiba bac wanaume jaman kwel wapo wanaoridhika lkn ktki wanaume 100 bac utakuta anaeridha ni 1 au hamna kabisa hayi yote tuwafanyie tu ili kuwafurahisha

  • @tanjaniyoman3160
    @tanjaniyoman3160 3 года назад

    Salma huna ujualo ...hvi vyuo vingpi umepita..jamani hawa wanaojiita makungwi mitandaoni tuwenao makinisana...mdomotuu

  • @meymahally8674
    @meymahally8674 4 года назад

    Kuhusu simu nakuunga mkono haki

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 4 года назад

    Mwanamke kama unakuta bado anasalitiwa😒😒☹

  • @hassanambarakmbarak8759
    @hassanambarakmbarak8759 4 года назад

    Salma anafurahisha moyooooooo

  • @nasmafarmsltd9146
    @nasmafarmsltd9146 5 лет назад +1

    Wadanganye waso jua kiaarbu kuhusu shorubah ya habuu nyeupe

  • @annamakoye3220
    @annamakoye3220 4 года назад

    Jamn naitaji mafunzo ya kutosha

  • @saidasaid5855
    @saidasaid5855 4 года назад

    Singo asaa baada ya ftari basi ushamkosesha taraweh mana singo asaaa haaaa taraweh itamshindaaaa

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 6 лет назад +2

    Weee mwanamke chizi kwelii ina maana mwanamke akadageee ilii mshibishe bwana si mpaka awe anavichumaa na kuvileta ndanii pumbaaaavu weweee

    • @fatmankya3055
      @fatmankya3055 5 лет назад

      Sio lazima hata ukimpikia magimbi kila siku mbadilishie radha

  • @thuraiyaalkindy1678
    @thuraiyaalkindy1678 5 лет назад +1

    Jamani tufundisheni kutengeza vitu gani mnatoya ya kumsinga bwana

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 5 лет назад

    Hi mie nimelipenda hilo buibui lako umenunua wapi?

  • @rizikihamza8479
    @rizikihamza8479 4 года назад +1

    Mimi naona kwa kumaliza kufutari si rahisi hayo mambo na kuhusu vyakula pia uwezo uwo haupo kwa hili hata wewe unasema tuu usitudaganye

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 3 года назад

    Sasa hapo mmeongea SINGO AMA MLO?KHAAA kiukweli wanawake kaz tunayo.kaz nyingi,watoto,nyumba lkn tutajtahid.singo kwa mwez mara 1 tu yatosha au miez 2 kwa mara moja..waume wenyewe hawabebeki pasua vichwaa🤣

  • @ndoanirahaonlinetv5031
    @ndoanirahaonlinetv5031 5 лет назад

    Mke mkabidhi mumeo mwili akuandae ipasavyo taratiiibu

  • @aishakhasim1440
    @aishakhasim1440 5 лет назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @عليالندابي
    @عليالندابي 6 лет назад +3

    Jee iyo yakusingiya umechagaya nanini atujaelewa

  • @halimaomar9344
    @halimaomar9344 6 лет назад

    Uku juu mama sekina

  • @Quilant749
    @Quilant749 4 года назад

    Nonsense mtaumia sana wakati waarabu wenye walileta uislamu wake zao hata chupi hawaguzi, hata chakula hawapiki na mamaids ndio hupika, eti kusinga, muarabu aanze kumsinga mwanaume after iftar???? Mm nasikiagatu ugomvi tena sio ugonvi mdogo after wamekula baada y Ramadan talaka wanafki nyie.

    • @rukiabaybe8594
      @rukiabaybe8594 4 года назад

      😂😂nimecheka kwasaut kwakweli nakweli sijaona hayo kwa mwarabu labda ugonvi baada ya ftar

    • @Quilant749
      @Quilant749 4 года назад

      @@rukiabaybe8594 ila ndio ukweli mtupu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣watanzania tumejitwika mzigo hatari

    • @rukiabaybe8594
      @rukiabaybe8594 4 года назад

      Kabisa

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Год назад

      ​@@Quilant749😂😂😂😂😂😂

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Год назад

      😂😂😂😂😂

  • @laymapeace4538
    @laymapeace4538 6 лет назад +1

    kwani lazima iyo ndoa

  • @biabumwaruwa3795
    @biabumwaruwa3795 5 лет назад +1

    Jamani niambieni uko kusinga na mwasingana na nn maana nataka kwenda ingia ktk ndoa