Alichokifanya RUSHYNA baada ya kumuona MANARA na ZAYLISSA utachekaa🤣

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 ноя 2024

Комментарии • 106

  • @flowebenezeth
    @flowebenezeth 16 дней назад +9

    Kina watu wanaboa mtu kakaa na mmewe eti kwa nn hajaka kwa wanawake tuacheni wivu

  • @DaheerK
    @DaheerK 16 дней назад +9

    Amuongelei msiba kaz haji haji matako yenu mnataman maisha ya haji na zai njaa zinawasumbua mbwa nyie umbea hadi msibani kweli nyie wamakonde duh

    • @PrimElinam
      @PrimElinam 12 дней назад

      Bac tupo pamoja wasenge kweli yaani

  • @mwatangachuma9069
    @mwatangachuma9069 21 день назад +4

    Kapendeza sana ❤❤❤❤❤❤

  • @ClimaMalaki
    @ClimaMalaki 19 дней назад +5

    Angekaa na WA awake wezake

  • @VeronicaMwinuka-tt9ot
    @VeronicaMwinuka-tt9ot 20 дней назад +8

    Rushayna mzurii

  • @Nawal.Ahyaan
    @Nawal.Ahyaan 21 день назад +2

    Kapendeza kajistiri❤❤❤

  • @MonahAbdull
    @MonahAbdull 20 дней назад +3

    Haji kweli bado mapenzi hayajaisha kwa huyu dada yuko na yule lakin mapenzi yako huku😂😂😂😂

  • @ReyMohamed-d1s
    @ReyMohamed-d1s 5 часов назад

    Umasikini wangu wimbobwa mwanahawa aliy

  • @Hallim-kp9mk
    @Hallim-kp9mk 18 дней назад +3

    Acheni maneno ya hovyooo acheni ushamba uwo acheni ujinga mbana kuna watu wamekaa mchanganyiko apo hamsemi kitu kazi majungu tuu tafuteni kazi mfanye acheni kujadili watu pumbavuuuu

  • @stanleymanya438
    @stanleymanya438 10 дней назад

    Mbona kamera hazimuachiii😂😂😂

  • @KarenKemi
    @KarenKemi 19 дней назад +1

    Rushayna ❤

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 12 дней назад

    Kwanini Haji manara walimuwekaga nyumna ijapo nimufupi?? Hata kuonekana alikuwa haonekani 😀😀

  • @subiralwiza6595
    @subiralwiza6595 10 дней назад

    Mbona haji hayupo apo au rushaina kamvuluga😢

  • @KhairatBundala
    @KhairatBundala 18 дней назад +2

    Kila abiria achunge mzigo wake ,,kwa hiyo msishangae msiojua kujiongeza

    • @Onepiecefamily-v1c
      @Onepiecefamily-v1c 17 дней назад

      Mmh mm nauza wivu gunia mbili na nusu 😂😂😂😂😂😂

  • @HappyMasaki-t1m
    @HappyMasaki-t1m 18 дней назад +2

    Yani haji kwa zay analazimisha tu

    • @Onepiecefamily-v1c
      @Onepiecefamily-v1c 17 дней назад

      😂😂😂 sisitunajionea tu sio lazima tuongee 😂😂

  • @mwatangachuma9069
    @mwatangachuma9069 21 день назад

    Kajistirii nimekupendq bure tukitowa mihemko ya mtuuu

  • @AgnessJohn-q6e
    @AgnessJohn-q6e 16 дней назад +1

    Mavitu mengine msiwe mnatuambia

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri 18 дней назад +4

    Huyu zai ni bodyguard au mke?

  • @mrsmumewangu4907
    @mrsmumewangu4907 19 дней назад +5

    Huyu mwenye kidevu Kama Kona ya godoro kilichomfanya asikae nawanawake wezie kitu gani ovyooo

  • @ZainabuMoody
    @ZainabuMoody 13 дней назад

    Nnachofrahiaa nimeona maji ya upako

  • @DianaUlomi-n4r
    @DianaUlomi-n4r 20 дней назад

    Kwani yuko kwasheree

  • @rehemahassan7475
    @rehemahassan7475 20 дней назад +4

    Asa zai kashindwa kukaa na wanawake wenzie 😮

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 19 дней назад

      @@rehemahassan7475 halafu waislamu mmnatabu hapo mmeona kuna meiba wawakristo na waislamu? Mnadhani huo msiba wadida au?

    • @RoseGeofrey
      @RoseGeofrey 18 дней назад

      kwani hapo msibani kulikuwa na kiti kimeandikwa zai wa bugati au hapo alipo yupo uchi acheni kujariri na makasiriko

    • @RoseGeofrey
      @RoseGeofrey 18 дней назад

      ​@@joycehaule9717waambiime wapo kama wao ndio wamemaliza hii dunia wanapenda kuhukumu sana

    • @Onepiecefamily-v1c
      @Onepiecefamily-v1c 17 дней назад

      Huyo ni bodyguard wake😂😂😂😂 usishangae

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 13 дней назад

      Sio kila sehemu mwanamke hana thamani kama kwa dini yenu

  • @TwalibumsaaMusharaba
    @TwalibumsaaMusharaba 12 дней назад

    hivi watanzania tukoje majungu mpaka msibani watu wapo kwa majonzi Nyie ubea acha ushamba badilika kama utaki akae na make wake kaa nae ww ss

  • @PiliSalehe-lt9ul
    @PiliSalehe-lt9ul 21 день назад +3

    Kapungua

  • @rehemamgotto1422
    @rehemamgotto1422 19 дней назад +2

    Alitaka akae na baba mwamposa apate kaaharufu cha upako

  • @HelenMwaky
    @HelenMwaky 20 дней назад

    Alafu jmn kapendeza kanenepa

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 20 дней назад +3

    Rushain mxury

  • @Tatty-u8p
    @Tatty-u8p 18 дней назад

    Huyo zai sio mke ni bodyguard 😅

  • @NeemaSwai-fe2pb
    @NeemaSwai-fe2pb 20 дней назад

    😅😅😅😅

  • @shanishani7690
    @shanishani7690 20 дней назад +9

    Huyo zai nae kashindwa kwenda kukaa kwa wanawake wenzie

    • @RehemaZungu-s3c
      @RehemaZungu-s3c 20 дней назад +5

      Sifaa ili aonekane anapendwa

    • @Safreenfeen
      @Safreenfeen 20 дней назад +11

      Achen wivu mwenzenu zai anapendwa
      Naanajua dhaman yakupendwa
      Sio mjinga yeye
      Choyo kinakukereketen

    • @shanishani7690
      @shanishani7690 20 дней назад +8

      @@Safreenfeen we nae wivu wa nini sasa kwani atujui kama anapendwa kwan hao wanawake waliokaa peke yao hawana waume zao hapo huo ni ushamba fyuuu

    • @shanishani7690
      @shanishani7690 20 дней назад +1

      @@Safreenfeen acha makasiliko. NA shobo kwenye coment za watu

    • @HUpendo
      @HUpendo 20 дней назад +2

      Anachungaa mzigo

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri 18 дней назад +2

    Kwani huyu mke wa haji ni punguwani kilichomfanya asikae na wanawake wenzie ni kitu gani mrefu om mkojo wa asubuhi

    • @RoseGeofrey
      @RoseGeofrey 18 дней назад

      kwani wapi paneandikwa akae huyo zai mbona watu makasiriko kwani yupo uchi hapo shida ipo wapi mtu yupo na nme wake

    • @samwa9496
      @samwa9496 18 дней назад

      Kwani msiba wa msikitini huo si wa kanisani kwa hiyo hata ukataji ni wa kanisani

    • @faukanMustapha
      @faukanMustapha 17 дней назад

      Wewe kama mkirist kwanini unakaa na mmeo sehemu Moja kwanini usikae na wengine

    • @Onepiecefamily-v1c
      @Onepiecefamily-v1c 17 дней назад

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @agnessbahamu3931
      @agnessbahamu3931 13 дней назад

      Waja hamkosi lakusema jamani kwani mtu kukaa na mumewe dhambi au hivi shuhuli yote atakuwa zai ndiye amekaa na mumewe pekee,,,,watanzania mna kazi sana😅

  • @ZuberiSandale
    @ZuberiSandale 20 дней назад +1

    Zai amekuwa Kama board guard

    • @GONYASATV-kz5re
      @GONYASATV-kz5re 19 дней назад

      😂😂😂

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 19 дней назад

      😂😂😂😂😂

    • @nusrathmanyawa4501
      @nusrathmanyawa4501 18 дней назад

      Manara kashasema Zai anawivu wa viwango vya juu😂😂

    • @Onepiecefamily-v1c
      @Onepiecefamily-v1c 17 дней назад

      😂😂😂😂😂😂hapo sasa 😂😂

    • @Onepiecefamily-v1c
      @Onepiecefamily-v1c 17 дней назад

      ​@@nusrathmanyawa4501😂😂😂😂😮😮😮mbavu sina, wivu ndio tuaandamane hivyo duuh 😂😂😂

  • @KILINDONI_MEDIA
    @KILINDONI_MEDIA 20 дней назад

    Kumekucha

  • @khadidjaabdi-hd8py
    @khadidjaabdi-hd8py 20 дней назад

    Hajomanar mbona hana furahaa vipi😅

    • @NaifinMohamed
      @NaifinMohamed 20 дней назад

      Kamuona x wake

    • @Safreenfeen
      @Safreenfeen 20 дней назад +1

      Hana shida na x
      Anafuraha na zai wake
      Acha wivu

    • @mwanaidiomary8841
      @mwanaidiomary8841 20 дней назад +1

      Atakuwa na furaha na yupo msibani

    • @happinessnovart2950
      @happinessnovart2950 20 дней назад +2

      Kwani kaenda kwenye vichekesho? Mpaka acheke cheke

    • @Hallim-kp9mk
      @Hallim-kp9mk 18 дней назад +1

      Ww mbona unakua km hayawani kwani apo yupo sehemu ya furaha ulitaka ajichekeshe msibani