Ukweli wafichuka kuhusu Munaqasha wa Mombasa 2023

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 91

  • @AmaniHepautwa
    @AmaniHepautwa Год назад +4

    Maashaallah shaykh Muhammad Bachu Allah akuzidishie Elimu.

  • @habibukavabuha8584
    @habibukavabuha8584 Год назад +2

    Mimi binafsi katika minakasha hii nimegundua mambo mengi sana:-
    1 kuna watu wanatukana sana na hayo matusi yote ni haramu katika uislamu.
    Uislamu ni dini ya nidhamu.
    Ndugu yangu muislamu andaa majibu mbele ya ALLAH maana ukimtukana muislamu mwenzako ni sawa na umemudhulumu.itachukuliwa mema yako atapewa uliyemtukana tahadhari sana ndugu yangu muislamu.
    ALLAH atusamehe na atuongoze katika njia iliyonyooka.Amiiin.

    • @habibukavabuha8584
      @habibukavabuha8584 Год назад

      La 3.
      Sisi waislamu hakuna sehemu tumefundiswa kutukana.
      Anayesherekea maulidi asitukanwe.
      Na pia asiyesherekea maulidi asitukanwe.
      Na hata wasiokuwa waisilamu pia wasitukanwe.tufahamishane mambo ya dini kwa hekima na busara na upendo hilo litaleta ustawi mzuri katika jamii yetu.Hivyo ndivyo alivyokuwa akiishi mtume na maswahaba zake.
      Tushindane kwa tabia njema na kwa ibada na siyo kwa kutukanana tafadhalini sana Tafakarini sana.

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 Год назад +1

    Mashaalah 😢😢😢😢😢

  • @awatifomar5185
    @awatifomar5185 Год назад +5

    ALLAH AKUHIFADHI BACHU UMETUFUNUA MACHO WENGI

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Год назад

      Amewatia gizani au amewafunua macho.mawahabi ni majahili kweli

    • @abuasya2595
      @abuasya2595  Год назад +1

      Nyie mulo wasomi thibitisheni ni kweli wanyama waliongea ndio tutajua kuwa nyie ni wasomi

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Год назад

      @@abuasya2595 my God mbona mawahabi ni wachache wa kuelewa.kwahiyo mnataka mthibitishiwe vipi wakati bachu mwenyewe kaisoma hadith. Au hadith kwa mawahabi hazina maana

    • @mrjagenmuuz5704
      @mrjagenmuuz5704 Год назад

      ​@@abuasya2595mlıtaka ajıbu kıtu ganı saıdı hakusema yeye hayo maneno na alıkubalı kama hayo maneno kweli nı hadıthı ua munkar lakını ızomunkar zımegawıka sasa na yeye kaulıza swali mbona bachu hakujıbu???? Kuenı na ınswaafu fahamunı

  • @daudyussuf8180
    @daudyussuf8180 Год назад +5

    Kina said ukweli awataki Inshallah Allah akuifadhi bacho alikuwa na jama ya karibu

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Год назад

      Mawahabi walidhani mdahalo ni lele mama.someni ndo mje kwenye mdahalo

    • @abuasya2595
      @abuasya2595  Год назад +1

      Je wanyama walizungumza?

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Год назад

      @@abuasya2595 kwani wewe unaona ajabu wanyama kuongea kwakuzaliwa mtume? Nina hakika hawawezi kuongea kwakuzaliwa wahabi yeyote maana hawana hadhi youote mawahabi. Lkn kwa mtume hilo si ajabu

    • @abuasya2595
      @abuasya2595  Год назад +1

      @@abiabi9353naomba ushahidi wa wanyama kuongea ilipoingia mimba ya Mtume

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Год назад

      @@abuasya2595 sheikh wewe hukuangalia mnaqasha wa Mombasa nini.mbona sheikh wako bachu aliitaja hiyo hadith

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 Год назад +13

    Hawa twarika juzi walikuja kwa lengo la ushindani na walifanya njama za makusudi ili Munaqasha ucsonge mbele wakijua fika kwamba hoja 19 za Bachu hazijibiki na nd mana hawakutoa nafasi Munaqasha uendelee...

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Год назад

      Mawshabi sheria mmeweka wenyewe kwamba mdahalo usiendelee hadi swali lijibiwe.sasa mnamlaumu nani

    • @abuasya2595
      @abuasya2595  Год назад +1

      Swali la kwanza liliulizwa na bachu, halikujibiwa wakauliza wao badala ya kujibu swali waloulizwa

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 Год назад +1

      @@abiabi9353 ndugu yangu suali ilijibiwa ila halikujibiwa vile yy yule mpiga piano 🎹 alivyotaka lijibiwe, yan yy alijibiwa hivi "ilo jambo mm cjapata kuona na halipo kwenye vitabu" lkn yy akawa analazimisha eti lazima ajibiwe "cjui" wakati yy alishamwambia Bachu kua "huwezi kunifundisha kuuliza swali niache niulize nnavyjua mm" lkn yy akataka eti ajibiwe anavyotaka yy, yan yy alikua analazimisha lazima ajibiwe neno "ctaki" ikiwa nyny kwl mpo kwenye haki basi jibuni zile hoja 19 za Bachu ili ithibitike kua Bachu uelewa wake n mdogo kwenye kile kitabu....

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Год назад

      @@abuasya2595 Hebu tukumbushe ni swali gani hilo ambalo bachu hakujibiwa

    • @centralzonetvtanzania7313
      @centralzonetvtanzania7313 Год назад

      Angesema sijui aone kama wasingeendelea

  • @KomoraMohamed
    @KomoraMohamed 6 месяцев назад

    Myahudi huu bachu ako na ujinga mwingi sna

  • @centralzonetvtanzania7313
    @centralzonetvtanzania7313 Год назад

    Mtajifaragua sana kuedit

  • @Mofaiz_11
    @Mofaiz_11 Год назад

    bachu watafta sababu tu ushashindwa😂😂😊

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 Год назад +1

    Watu wa matwari wanajua hakika wao wako ktk baatil. Lakin khiyaana walifanya ili wafuasi wao wasipate kuona hakki

  • @aliathman7609
    @aliathman7609 Год назад +2

    wallahi kungekuwa na judge hapa angemkatiza said kwa kusema "objection!!!!"😂😂😂

  • @daudyussuf8180
    @daudyussuf8180 Год назад +4

    bachu yuko sawa maswali ya bachu awawezi kujibu ata moja wapoteza wakati tu

    • @abuasya2595
      @abuasya2595  Год назад +1

      Na mimi natoa challenge wakijibu hizo hoja kwa Dalili sahihi, ntakua mstari wa mbele Kusoma Maulidi

  • @issajaha5162
    @issajaha5162 Год назад

    Wacha kukatisha maneno ya utsdhi saidi

  • @AboubakarRashid
    @AboubakarRashid Год назад +1

    Wachen masihara bacho unaongea kwaelmu huyu said mhmh hana elimu anayo ongea kwa hapo

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm Год назад +7

    Kabla kujibu hoja ya kuongea wanyama jamaa karuka eti imekua yeye ndio anauliza na kukomaa yeye kashindwa kusibitisha kama kweli wanyama waliongea. tulikua twasubiri waendelee waulizwe sasa wakati wakuzaliwa mtume eti walihuzuria akina maryam Asia na hurlain nahili walikua waje wasibitishe yaani pale 19-0

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 Год назад

      Wewe Muombe Sana ALLAH akuongoze Uijue haqi

    • @KubwaKuliko-dk4bm
      @KubwaKuliko-dk4bm Год назад

      @@saidkipalo4427 aamiyn na atuwezeshe kuifuta hakki na atujulishe batwil na atuwezeshe kuiepuka

  • @arafatabubakar001
    @arafatabubakar001 Год назад

    Vitabu zaidi ya 30 lakini saidi hakutumia hata moja

  • @issajaha5162
    @issajaha5162 Год назад

    Kweli nyinyi hamna akili mnakatisha mjadala harafu mnasema bachu kashinda tumeuona munakasha wote ndio maana mlikimbia

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 Год назад +1

    Wao ndio waliopewa swali kisha eti nawao hutoa swali. Swali hawakujibu walileta swali badala ya jibu. Hawamchi Allah na uingo ndio sunnah yao

  • @mketoaamketo1559
    @mketoaamketo1559 Год назад

    Kwani yy bachu angesema sijui si mnaqasha ungeendelea

  • @AllySekondo-zf2kr
    @AllySekondo-zf2kr Год назад

    MAWAHABI HAMUNA ELIMU ,NA UFAHAMU WENU NI MDOGOSANA ,NA MUMEUMBUKASANA

  • @salumtakao9828
    @salumtakao9828 Год назад +7

    Huyu shekh said mchache wa maarifa. Kutokujibu swali maanake hjajatetea na kujibu swali la shekh bachu sasa haoni km niudhaifu huu?. Bacho kathibitisha ni uongo kwa hadithi na vitabu vyake ila yey kashindwa kuthibitisha kuwa ni kweli kwa hivo vitabu na elimu yake. Inaoneshea kuwa ameshindwa. Km mtu anaakiki timamu hawz kiruhusu mjadala uishe bila kutetea hoja yake ukizingtia alitoa ushahidi ni mtu waupande mmoja tu bc watu watafuata huko mana ndo kwenye dalili vyenginevo engepinga kwanza ili kuwafumbua watu macho km alikuw na kitu kweli ila alishindwa ule mjadala kwa ufupi.

    • @ahmadymuhina6546
      @ahmadymuhina6546 Год назад +1

      Hiyo hadithi aliyoitoa bachu ndio hadithi anayoitegemea saidi kuhusu wanyama kuongea kwaiyo hiyo hadithi ndio bachu akasema ni hadithi munkari, saidi akamuuliza bachu tupe qauli ya wanachuoni wa mustahil hadithi wanaosema kwamba mtu akitumia hadithi munkari huitwa hiyo sehemu aliyoitumia ni maneno ya uongo, hapo bachu hakujibu badala yake akasema hakuna swali Hilo je shekhe Kwa ikhlaasi nani hakujibu swali la mwenzie?

    • @salimmapande4668
      @salimmapande4668 Год назад

      @ahmadymuhina6546, Hakuuliza kuhusu hukumu ya maneno ya uongo bali kauliza hukumu ya aliyeleta hadithi munkari na huko ni kumjadili mtu badala ya kujadili kitu.

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 Год назад

      Wewe mjinga kama bacho huelewi mada iko wazi bachu kashindwa kujibu .acheni ujinga wababaishaji tuu nawewe nenda ukasome mamburui

  • @MwinyiJuma-ce3eq
    @MwinyiJuma-ce3eq Год назад

    Umediti ili iwejee nduguu🤔

    • @diagfinamix1861
      @diagfinamix1861 Год назад

      Amechukuwa kwa tok tok na inategemeya ni software Gani imetumika kwa ku produce hiyo clip ki urefu

  • @mohamedumri4176
    @mohamedumri4176 Год назад

    WAISLAM NA WASIOKUWA WAISLAM ULIMWENGU MZIMA WANIHISI HUZNI, DAMU INAMWAGIKA PALESTIN NA IZRAEL.
    WATU BADO WAKO KWA BARZANJI.
    SUB HAANA LLAAH.

  • @MwinyiJuma-ce3eq
    @MwinyiJuma-ce3eq Год назад +1

    Zilizobaki ni chuki tu Ila kwa alieona munakasha wote yuajua kua bachuu mwishoe kakimbia🏃🏃

    • @maryamtanzania9743
      @maryamtanzania9743 Год назад +1

      Kwa hiyo maulidi kuisoma ni halali alafu kitu kingine kikiwa kina mashaka acheni kwa sababu ibada zipo nyingi tena alizofundisha mtume ambae ndi mwalimu wetu

    • @MwinyiJuma-ce3eq
      @MwinyiJuma-ce3eq Год назад

      @@maryamtanzania9743 Inamashaka kwa nyinyi lkn Sisi hatujaona hayo mashaka ndug yng .

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 Год назад +1

    YULE SHEIKH MIDEVU KIBAO KISHA BADO ANADANGANYA WATU KUWA HIYO WAQUL JAAL HAQQU WAZAHAQAL BAATWIL NI HADITHI !!
    TENA LINASEMA MTUME AMESEMA KATIKA MAFHUUMU!!
    AISEE KWELI ELIMU HAMNA KABISAAA

  • @salimabdalla6290
    @salimabdalla6290 Год назад

    Mbna kila anedit ywarusha pale ust Said alipozungumza masala ya takhrij hpo ndo jibu lenu lilikuwa 😂 lkni mwakwepesha kuweni na inswaaf bana na nilimuelewa sana ust said😊

  • @NasibuJuma-e6u
    @NasibuJuma-e6u Год назад

    Watu wabidaa wa hapo mombasa wamesomewa ubishi tu

  • @subirajuma5678
    @subirajuma5678 Год назад +1

    Huyu sufi said analeta ushindani usiokua na maana jawabu ameshapewa lakini bado hataki anataka bachu ajibu sijui, huo ni upumbavu. Ata kielimu anaonekana yeye hana elimu sababu shule na madrasah wanafunzi upewa mtiani lakini hakuna ata mwanafunzi mmoja atakae jibu sijui, bali atajaribu kadri ya uwezo wake. Sasa Huyu sufi said anataka mtu aseme sijui amuoni huu ni ujinga . Yeye angethibitisha mambo yaishe.

  • @JRN2612
    @JRN2612 Год назад +3

    Ukweli wafichuka? Ili kitu kifichuke ni lazma kiwe kimejificha lakini ukweli ninavyojua mimi ukweli upo wazi tokea siku Sheikh Mohammed Bachu alipofanya munaaqasha Tanga. Kutokea pale hadi leo ukweli wote upo wazi. Watu wa maulidi wanafata kitu kwa sababu wamerithi kwa babu zao, lakini hawana hoja ya kukitetea.

    • @saidihaji3739
      @saidihaji3739 Год назад

      Wewe kaa kimyaa .
      Mbona Bacho kashindwa kuthibitisha UONGO ambao anadai upo katika kitabu cha maulid ya barazanji ??
      Huyu bacho ni mzushii mkubwa .
      Msikilizeni " Eti JAFAR SIO MPOKEZI KWAIVO HATOITWA NI MUONGO hili haliingii akilini .
      JEE alipomwita ALHATIMY NI MUSHRIK alikuwa ni mpokezi wa hadiith ??
      BACHO : alipomwita Alhabiib jufri ni mchafu na muongo .. jee alikuwa Alhabiib ni MPOKEAJI WA HADIITH ??
      KUWENI NA AKILI NYNY MNAOSKILIZA HUYU BACHO NI MUONGO NA MZUSHI ANAPENDA KUBADILISHA MANENO .

  • @AllySekondo-zf2kr
    @AllySekondo-zf2kr Год назад

    MAWAHABI NI VIBARAKA WA MAKAFIRI ,KWANI MUISLAMU WA KWELI HAWEZI KUCHUKIA KUTANGAZWA MTUME A.S.W, KISHA ETI AKISIFIWA YEYE NA TAASISIYAKE ANAFURAHI ,HAKIKA HUU NI UJINGA MKUBWA KWA MAWAHABI

  • @abdulbakari1220
    @abdulbakari1220 Год назад +1

    Huyu dogo bangi zinamsumbua pia namuona akilaaniwa kwadharao wanachuoni hii dhambi haitomuacha bure

  • @swafniesaid2331
    @swafniesaid2331 Год назад +1

    Walikitaka vipi babako akizaliwa wanyama wazughumze basi hawakuzughumza walizughumza kwarasuli salala hasidi kiwembe humuhusudu paka mtumi kweli dchu bbb

    • @AbuuAbdillah-hb8li
      @AbuuAbdillah-hb8li Год назад +1

      Wewe unaujinga mkubwa sana soma dini acha ushabiki usije ukafa katika ujinga mzito kama huo

  • @gyeong5972
    @gyeong5972 Год назад

    Hakuna ukwli maan hata Uyo Bachu kahuthibitisha na hakujibu swali alilouliza.
    Allah Ndyo anajua kila kitu ila nahisi kuna upande unatumika Kuuvuruga Uislam

    • @abuasya2595
      @abuasya2595  Год назад +1

      Na je swali lake lilijibiwa la kuwa wanyama waliongea? Na nani wa kwanza kauliza swali?

  • @saidishekalaghe3496
    @saidishekalaghe3496 Год назад

    Swali lilikuwa moja tu na halijajibiwa, Je hadith ambayo ni munkari wapokezi wa hadithi hizo ni waongo?
    Jibu lilikuwa ndio au hapana au sijui basi. Kelele Nyingi. Nimegundua kuwa angejibu tu angekwisha kabisa mtoto wa bachu lakin kashtuka kakwepa swali akajitungia maswali yake mwenyewe ila kama mtu huna elimu waweza ukajua kaongea kitu cha maana sana.

  • @saidhmuhammad5567
    @saidhmuhammad5567 Год назад +4

    Walilikwepa hilo swali kweli kabisa..na hlio ni moja tu...waliona Sheikh Muhammad Bachu hatokuja msa mdio ikawa wanatoa video nyingi kwa Chanel zao..lakini Alhamdulillah alikuja na akabainisha ukweli sasa ni ambae ana taka kufuata haki afuate na ambae hataki ni baina yake na Allah..lakini kuelimishana watu wataelimishana haswa juu ya mambo ya BIDAA

  • @MohamedAli-lj2zl
    @MohamedAli-lj2zl Год назад

    Saeed 3_0 Bachu

  • @ahmedseif743
    @ahmedseif743 Год назад +1

    hawa wamekuja kiubish na co ki elimu masufi wehu tu

  • @سعدياقوت-ت2خ
    @سعدياقوت-ت2خ Год назад

    Tumeuona munaqash na kuuelewa vizuri sana bachu kashindwa kujibu sawali dogo acha ushabiki😂😂😂😂

  • @KHatibuHamad-k9d
    @KHatibuHamad-k9d Год назад

    Bachuwewrhufahamu mjadala ulikuawazi ilikua useme maneno ya Jafar niuwogo au kitabu

  • @NyanyaMbuli
    @NyanyaMbuli Год назад +1

    UNAFIKI NI KITU KIBAYA SANA UZURI WA MUNAAQASHA ULIKUA LIVE HIVYO WAINGOPEE WAJINGA WENZIO😂

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 Год назад

    Angelijibu tuuu SIJUI,KWELI MUONGO,AMA HAKUNA MWANACHUONI ANAESEMÀ NI URONGO.

  • @asharajab1844
    @asharajab1844 Год назад

    Unamtetea mtu ambaye hata lugha ya kiarabu.. hajui kusoma ibara.. wala hajui daraja za hadithi... mchache sana huyu muhammad bachu

  • @khalidmainala2570
    @khalidmainala2570 Год назад

    uliambiwa useme sijui ili ubainishiwe mbona ukashindwa wacha kuropokwa ukiwa pekeyako ww

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 Год назад

    ITTIFAQ GANI YA WANACHUONI, 😂SUALI LILILOMTOA BACHU MIKOJO.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Год назад

      SHURUTI YA MJADALA ILIKUWA HALIULIZWI SUALI ILA LIJIBIWE SUALI LA KWANZA, KWAHIO BACHU KATAKA HADITHI NA HADITHI IKATOLEWA. ILA ILIPOFIKA SUALILA SHEKH SAID NDIO MJADALA ULIPOKWISHA HAPO 😂😂😂. BACHU AKAENGEZA SUALI NA KURUKA RUKA KAMA KIJUSI ALIOBANWA NA MLANGO NA MWISHO KUTAFUTA SHOSHORO 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🏄‍♂️🏄‍♂️🏄‍♂️🏄‍♂️🏄‍♂️🏄‍♂️🏄‍♂️🏄‍♂️🏄‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️🏋️‍♂️, AKARUDI KWAO BACHU KUMUULIZA MWALIMU WAKE NYAAAAUUUUUUUU 🐅🐅🐅🐅🐅🐅🐅

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 Год назад

    Wahabi jamani ni wagumu kuelewa tangu Imam Wenu Muhammad bin Abdulwahab

  • @burhaanmamboleo3551
    @burhaanmamboleo3551 Год назад

    Tadliiiiis........
    Ww ni mzandiki mjadala tuliuona mwanzo mwisho wasimamizi wa Bachu ndy waliingilia kati kisha wa Saidi ndy wakajibu ila ww umefanya kinyume...ume edit..tena mpaka sauti zinachanganyika..
    Fedheha....

  • @swafniesaid2331
    @swafniesaid2331 Год назад

    Mthotho mdogho mikunyosha kama maiti umeikimbiya meza zukalachoni namaulidi thutasoma nayasomwa nayatasomwa wewe kaa khadho tuwatiye rasuli wetu kamahumtaki nayeye hakutaki thuwachiye wenyewe upo wanisikiya sema sijui ufudhiswe

    • @kassimahmed9364
      @kassimahmed9364 Год назад

      6:38 Acha ugunga ww kumsifu MTu si shida ila Tu uwongo ndani yake haifai

    • @saidihaji3739
      @saidihaji3739 Год назад

      ​@@kassimahmed9364
      BACHO MPAKA ANAKIMBIA MUNAKASHA AMESHINDWA KUTHIBITISHA KUWA NI UONGO YALIOMO KTK MAUKID YA BARAZANJI HAJATOA NUKUU HATA MOJA YA WANACHUONI WANAOSEMA MANENO YALE NI UONGO .
      WEWE TWAMBIE UONGO UKO WAPI ?? JEE TUKUMIA HADITH MUNKAR KUNAMFANYA MTUMIAJI AWE MUONGO AU MANENI YKE WAITWE NI UONGO ??
      LITHIBITISHE HILI KWA MANENO YA WANACHUONI MAANA BACHO LIMEMSHINDA .

  • @sharaful-anaam138
    @sharaful-anaam138 Год назад

    Hawa wanao edity vivideo km hivi ndo wanafiki na kupotosha watu kila mtu anajua km bachu kagaragazwa sheikh said Sasa athibitishe Nini na hadidhi imetolewa na sheikh said akathibitisha kuwa ni munqar na akasema kwa kinywa kipana ili musije mukasema hakujibu lkn bachu yeye ndo kakimbia Hilo suali mbona mna matatizo na kuwajaza watu chuki nyie mtuakuja kuulizwa hivyo mulivyo vimiliki na mulivitumia vipi wacheni uongo

    • @diagfinamix1861
      @diagfinamix1861 Год назад +1

      Mpaka hivi twasubiri wanyama kuzungumza ni kweli ama laaa

    • @nasrarichadi2278
      @nasrarichadi2278 Год назад

      ME NAONA HAWA
      JAMAA HUWA WANAVUTISHWA
      BANGE
      MAANA MJADALA WA MOMBASA
      ULIWEKWA WAZI
      NA WATU WALISHUHUDIA KUWA
      BACHU KAKIMBIA NA KAACHA
      KOJO ZITO KWENYE KITI
      HALAFU LEO WANAEDIT UJINGA
      LABDA WANATUMIWA KULETA FARQA KATIKA UISLAMU.

  • @swafniesaid2331
    @swafniesaid2331 Год назад

    Bachu hunaadabu hatayakuvaliya chupi lana zawana wazuwoni nabado yatakupatha zaidi yahayo upo sema sijui usilalamike nidiwa zawacha mghu mwdhawazimu mkubwa kombwa sherwani iblisi sahir mkubwa kwedha kasome mburuyi ustadh fadhil atakusomesha bureeeeeee

    • @aminachaka1523
      @aminachaka1523 Год назад +3

      Ndo ukimtusi umepata faida Gani yaan kwa daftaar lako ,waislam kuwe ni naakili vitu mnanvoeka kwa mitandao mtakuwa masuulia siku yakiama na vitu hivi hivi vyenye mwavichukulia vya mzaha

    • @muniraally4091
      @muniraally4091 Год назад +2

      Kweli itabaki kweli tuu hata mujikurupushe vp haki ni haki tuuu

    • @FarahJey
      @FarahJey Год назад

      @@muniraally4091
      Kweli munirat

    • @aminaabdullahi-tp5kn
      @aminaabdullahi-tp5kn Год назад +1

      Laana zitakurudia mwenyewe INSHAALLAH....wajikiwanyia dhambi bureee kumlaani bachu Hana laana INSHAALLAH .huoni uso wake unavo ngara ishara ya MTU mwenye ikhlasi

    • @aminaabdullahi-tp5kn
      @aminaabdullahi-tp5kn Год назад +1

      Akasomeshwe kuwa Na kiburi...ndio liloko hukoabrui viburi vimewajaaa nani hawajuwi nyinyi NKT!