Musibweteke, muwe serious sana kwa CBE, munaweza kutolewa kusikotarajiwa, muwe makini, kosakosa za kijinga na mukisubiri kufunga tena muda hautakuwa na nyinyi, kumbukeni Simba alivyotolewa kizembe miaka ya karibuni na Galaxy ya Botswana. serious, hakuna kumchekea mtu.
Dr khalid aucho de engine mwanangu sana🎉🎉
Kila la heri inshaallah daima mbele nyuma mwiko 💚💚💚💚💛💛💛💛🔥🔥🔥🔥
Kazi njema yanga
Vzr jesh letu
Kila la kheri kwenye maandalizi y mchezo wetu 💚💚💚🖤🖤🖤💛💛💛
Yale makosa ya mwanzo mjitahidi sana kiyarekebisha kwa manufaa ya malengo yetu
Kila la kher 🎉🎉
Allah awafanyie wepes na awape afy njema na tupate ushind mnono 🇹🇿🔰🔰
Mungu ibariki yanga baba inshallah tutashinda daima mbele nyuma mwiko
❤Nawapenda Sana Wana inaichiii
Nipo cape Town hapa
Am proud to be a yanga SC member
Mungu mwema tutashinda cbe usipo Kula 6 au 7 sijui tuuu
Mungu kwetu nijibu la ushindi daima mbele nyuma mwiko 🇹🇿🔰✔️
Mungu awatangulie wachezaji wetu na viongozi wetu 🎉🎉
God bless my team young Africa sport club
Naona goal 5 kwa sifuri wakishinga young African
Kila la kheri tmu ya ushindi Young Africans
We huogop? Kwa YANGA hii ilivyo yamot💥......
❤❤❤❤❤❤❤ Yanga
Kikosi cha jumamosi
1 DIARA
2 YAOKWASI
3 BOKA JR
4 JOB
5 IBRAHIMU
6 AUCHO
7 MAX
8 MUDA
9 BALEKE
10 KI AZIZI
11 PACOME
YANGA 6
CBE O
Yanga 9-CBE 0
Chamsiing ni kupita Kwanza timu imecheza mechi nying uchovu pia
Mungu awasimamie na kuwapa ufundi zaidi ya kupata poiti 3 amina
All the best champions 💚💛🖤
Yanga media team....mitano tena
Mungu awe nanyi kwa kila hatua
Allah awanusur n hasad z mahasid waby
Musibweteke, muwe serious sana kwa CBE, munaweza kutolewa kusikotarajiwa, muwe makini, kosakosa za kijinga na mukisubiri kufunga tena muda hautakuwa na nyinyi, kumbukeni Simba alivyotolewa kizembe miaka ya karibuni na Galaxy ya Botswana. serious, hakuna kumchekea mtu.
Yanga bingwa...💛💚💛
Mungu ibariki yanga💚💚💛💛🔰🇹🇿
Hiiii imeishaaaaa wananchiii Rahaaaa kama zoteee hawatoki hawa tena tutawapiga nyingiiii🔰💚💛
Mechi muhimu sana kuliko ya Adis Ababa, muwe serious na mechi hii na ikiwezekana imalizwe half ya kwanza!
Over confidence ni mbaya plz
Siku moja diarra acheze kiungo😂😂😂
Allaah Akbar
Mzize ni drogba mtupu🎉
Mjitahidi kupunguza makosa wapendwa nafasi zitumike vizuri
Love yanga
CBE kitakachowakuta Jmosi Wataenda kusimulia Ethiopia💛💚
Uwanja ukijaa. Mutuekee tv kubwa uwanja mdogo
Kila LA kheer Chama langu💛💚💛
wakwanz majemen naomben mauw yang
🥀🥀🥀💐💐💐
🎄🎄🎋🎋🏝🌱🌷
all the Best Champions 💚💚💚💚💚💚
Nataka jez kama aliyovaa Diara, na cjui naipataje
Hawo😂ilibidi gemu ichezwe dar wakutane na joto la huku wangepigwa 7 chamanzi pale
Wakwanza nipen likes
Nimefiwa na babu mzaa baba jioni hii😢 lakini nimeingia katika app ya yanga nimejikuta moyo unappa❤
@@Mazimoroyal Pole punguza majonzi na yanga yako
@SubiraMohammed-ks6qg Thanks much madam sabby😍
@@Mazimoroyalpole mwananchi😔😔😔
@flavianajohn5250 thanks much mwananchi much love ❤️
The club above all 🔰
Jeshi la wananchi
Good 👍
Ushind2
❤❤
Amaan pazuri sana
💛💛💚💛💚💪
💚💚💛💛💛🙏🙏🙏
Maombi yenu jumamos
Harafu kuna watu wanasema J mos Yanga hatoki eti,wao wanasema itakuwa kama Simba na UD Songo😂😂😂
Wanosema hivo wote ni matako yao
Nipo live toka kiwanja chunya
Yanga ushindi tu m20 zama tutaondoka nazo🔥🔥😁😁
😂😂😂ila bacca umevaa jezi ya Mzize pensi na t shirt yako
Kuna mtoto wa mtu anakula hela ya diara bila uchungu wakati anavunjika mbavu huku😂anakula hela ya mbeba zege bila huruma aisee 😂😂😂
🎉🎉🎉🎉
YNI MCHEZAJI AMBAE MDA WOTE YUPO SERIOUS NI NGUMU KUMUONA ANACHEKA CHEKA NI MAX CJUI ANACHEKA MDA GANI 😂😂😂
Kweli huyo jamaa sjawai ona amecheka muda wote yupo silias na kazi yake
Aucho kamwambiaje manager 😂😂😂
Yanga Africans oyeee lete utamu eeeLete Rahaa eee all ways yanga Africans oyeee oyeee hayaa
Yanga no moto
Sheria inaruhusu kipa kucheza juu
Mbona mwamunyeto haonekeni hapo mazoezini
Kwani Al watan ukiongea uwezi tuliza macho yko Yani ukiongea Macho Yanacheza utadhani ndio Yanao ongea badala ya mdomo
Uakika
Shayo yukwap
Yanga pepo yetu watanzania na Dunia kwa ujamla
Watasubr sana
Mpira ni kama jeshi Yani daaaah
Sio sehemu ya kuomba like
Baka acha ukorofi😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Dube usikose kutufurahisha wananchi
Comment yangu isiguswe🎉🎉
Wamwisho hapa like zenu
🙏🙏🙏
Kiswahili Cha Yao bhanaa😂😂😂Cha kutumia nguvu
Mpo na nahodha garmo
😂😂
ALWATAN ANAONEKANA NA UCHOVU, KWANINI WASIPATE MUDA WA KUPUMZIKA?
Mnatumia camera ya simu au?
Yanga 0 vs cBE 3
💚💛🫵
Kuomba like kupungue 😠😠
Yanga tunajua mpira una matokeo matatu ila kwa mechi ya kesho tusipofuzu hakuna excuse. Samahani kwa kutumia lugha ya kuudhi
Aucho kamwambiaje manager 😂😂😂
Shayo yukwap
🏟️💚💛