Thanks for watching God of Mercy. I appreciate your support and love. God bless you. To enjoy more of my new music: ruclips.net/p/PLoKu8zBaJXIVN6X13ToQre3wYpBLJF3dv
Walter Chilambo nimesikiya ulikuwa na imba bongo flava ukaokoka kwakweli nimefurahi sana Kaka unaimba gospel muzuri sana tena za upako Mungu akubariki sana uendeleye kumuimbiya Mungu
Lord I believe you will never leave me And I believe you'll never forsake me Kuna mahali wanipeleka na hutaki mi nipotee Kuna mahali Bwana wanivusha na hutaki mi nipotee
Ukisikiliza kwa juu tu unaweza usijue nguvu kubwa iliyotumika kutengeneza mziki mzuri huu... Ubunifu wa kiwango cha juu zaidi, naombeni tu share ili uwafikie watu wengi WABARIKIWE na BWANA YESU pia Walter chilambo MUNGU AKUPE HITAJI LA MOYO WAKO.👏
Hii nyimbo huwa inanifanya mshindi kwa kila kitu hata kama nilikua kwenye jaribu gumu kiasi gani huwa na simama imara ubarikiwe sana kaka Mungu azidi kukubariki kulitangaza neno lake🙏
I have followed Jesus through your songs ...They blessed me in ways that i can not explain ...These songs makes me feel at peace ...May God bless you Walter
Dear Lord 🙏🏽 even tho I’m going through a lot but one thing that I do believe is that your God of mercy 🙏🏽 I know you will hear our prayers dear lord ❤️❤️❤️
Walter nakupenda sana nyimbo zako zina upako sana I have not released my song but more so ngoma yako iitwayo sir I napenda kuipresent kwa church naomba msaada wako tafadhali
@@WalterChilambo Mimi wazazi wangu wanauza mboga naninaamini Nina kipaji cha kuimba kutoka ukiwa Bss nimekuwa nikipenda kazi zako sijapata MTU wa kunisaidia tafadhali nakuomba
@@jac87andrew31 Msaada wetu mkubwa kwetu ni Mungu. Zidi kuomba na pia save chochote unapata kujiendeleza kama msanii pia fanya kazi. Kama una audios zozote umerecord nipe kwa email walterchilambomusic@gmail.com Mungu akubariki saana
@@WalterChilambo kwakweli asubuhi mapema ni ONLY YOU njia yote kuelekea ofisini na jioni... siku yangu inakuwa imebarikiwaa..NAJIVUNIA inafuata🙏 The voice is so amazing,ujumbe unabariki,video ndio kabisa🙌..you're the best,my favourite so far.. nakuona mbali saaana,ww ni wa kimataifa,Mungu akafungue milango🙏...my prayers are wit you
Espy Bari God is with you. I'm happy you found my song at this time. If you need a friend to talk to.. Please don't hesitate to check me walterchilambomusic@gmail.com
Thanks for watching God of Mercy. I appreciate your support and love. God bless you.
To enjoy more of my new music:
ruclips.net/p/PLoKu8zBaJXIVN6X13ToQre3wYpBLJF3dv
Walter Chilambo hongera kwa kazi nzuri tunazidi kubarikiwa
Barikiwa sana mkuu wangu
God bless you Brother for this song
Walter Chilambo nimesikiya ulikuwa na imba bongo flava ukaokoka kwakweli nimefurahi sana Kaka unaimba gospel muzuri sana tena za upako Mungu akubariki sana uendeleye kumuimbiya Mungu
Asante sana Grace. Mungu akubariki Saana
Wimbo umenigusa saaana ,najua bwana kuna mahali unanipeleka na hutaki mi nipotee, wote walioguswa na huu wimbo kama Mimi like hapa.
Same to me
Yesss
Kama unamkubali walter kama mimi like hapa🔥🔥🔥🔥🔥
Wonderful song
Wonderful song , big up
Live long Walter ubarikiwe ,
Huyu ni mwenye kuni bariki kupitiya nyimbo. Nam kubali 100%
Wa kwanza kutokea 254...Kama unamkubali walter nipe likes tusongee
kwa mfano naanzaje kusikiliza wimbo mzuri Kama huu halafu nisi comment,,impossible so touchable and blessing song,, Mungu akuinue juu zaidi
Mdogo wangu ulikuwa wap chilambo mtumish wa mungu
Hi ngoma siyo ya kawaida uwendelee zaid,
God of Mercy amen
Your song blesses my soul may God increase you all round
Wimbo huu hua unanipa faraja sana
Lord I believe you will never leave me
And I believe you'll never forsake me
Kuna mahali wanipeleka na hutaki mi nipotee
Kuna mahali Bwana wanivusha na hutaki mi nipotee
umeushika wotee🙏🔥🔥
Una sababu yakufanya muziki wako uwafikie watu wengi utabadilisha maisha ya wengi una upako ndani yako Amina nimebarikiwa na huu wimbo.
Asante saaaana.. Ubarikiwe
@@WalterChilambo Amina🙏
May God see me through🙏🙏hakuna mlima mbele zako jehovah.hata hili litapita🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️
Ukisikiliza kwa juu tu unaweza usijue nguvu kubwa iliyotumika kutengeneza mziki mzuri huu... Ubunifu wa kiwango cha juu zaidi, naombeni tu share ili uwafikie watu wengi WABARIKIWE na BWANA YESU pia
Walter chilambo MUNGU AKUPE HITAJI LA MOYO WAKO.👏
James asante Saaaaaana. Nimefurahi kuona comment yako.. Barikiwa sana
@@WalterChilambo AMEN, nashukuru mno kaka
Hii nyimbo huwa inanifanya mshindi kwa kila kitu hata kama nilikua kwenye jaribu gumu kiasi gani huwa na simama imara ubarikiwe sana kaka Mungu azidi kukubariki kulitangaza neno lake🙏
Kuna Wimbo Ukisikiliza Unasisimka Mwili Maana Umetungwa na Roho Mtakatifu....MUNGU Aendelee Kuwabariki Watumishi Wake Mwendelee Kutubariki🙏🙏🙏
I have followed Jesus through your songs ...They blessed me in ways that i can not explain ...These songs makes me feel at peace ...May God bless you Walter
I just wanna say thank you Jesus ,kama una amini God is mercy for all people in the world, gonga like apo tubarikiwe sote.
If I would to choose a minister to minister with musically, I would choose u walter
Thanks. I'm blessed by your comment Jtez. God bless you
Mwanangu wewe ni msanii safi sana unajua sanaa
Asante sana .. Ubarikiwe ndugu yangu
@@WalterChilambo Amen kaka yangu
I'm always blessed with yo songs
*kuna mahali unanipeleka na hautak nipotee🙏*
I'm blessed by your comment Johari. God bless you
Kazi nzuri.Barikiwa sana
Stay blessed mtoto wa Mbeya
Kaz nzur san kak Mungu azidi kukuinua Utukufu had Utukufu
Walter ulivyokuja upande huu nikamuomba asiniaibishe juu yako usije kuludi misri ,hakika nakushukuru Mungu kwa ajili yako.
Good Sweat Melody 🎶. nuce punch 👊. im in you
Asanteee Sana. Ubarikiwe
Asante saaana.. Wewe ni baraka Kubwaa.. Ubarikiwe
Kabisa namfunika kwa damu ya Yesu aliye Bwana na mokozi wa maisha yetu
Napenda Sana nyimbo congo Republic DRC kuja congo kaka
Watumishi wa mungu hakika mnazid kutukumbusha ukuu wa mungu katka maisha yetu mbarikiwe sana.Amina nyimbo nzur
Ameeeeeeeeeeen. Barikiwa sana
We Walter Wewe😥We Chilamboo nakuita Mara zote ,❤❤❤❤Mr vocalist ,I real appreciate you Man of War🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ameeeennnn thanks a lot
kila nikisikia Walter katoa wimbo huwa naingia youtube hapohapo na hajawahi kuniangusha toka nimemfahamu. Mungu aendelee kukuongoza katika kumtumikia
Asanteee Sana. Barikiwa sana
haujawahi kukuosea my future boss,Mungu aendelee kukuwezesha katika viwango vya juu zaidi BE BLESSED BROTHER, He's a GOD OF MERCY
Deborah Justine Rwambogo mungu akubalik
Deborah Justine Rwambogo mungu akubalik
@@edwinhaule3884 AMEN kubwa mpendwa
Daaaah hata cha kusema cn barikiwa sana
Unatokea wapy🤔sema kukujua leo NA ndio niko locked ndani kabisa.. WE thank God 4 ualife.. You are blessing to our generation. 💓🙏
Kuna mahali wanipeleka na hutaki mi nipotee... always favorite
Hongera sana mtumishi wa Bwana Walter Chilambo kwa kazi nzuri sana. Hakika wimbo huu umenibariki sana. Bwana aendelee kukuinua kwa utukufu wake.
Nice song mungu akutie nguvu kwa kila hatua
Gonga like twende sawa kma unamkubal Chirambo Walter ahsantee sana umetsha kinyama kwa kupga like
aisee wwe jamaa ni next level unajua balaa
Asante sana Victor. Barikiwa sana
Powerful powerful very powerful.. good job
thank youuu...
Hakika nyimbo zako zinanibariki kila iitwapo leo
Mungu aendlee kukubariki snaa 🙏
Ubarikiwe Sana mtumish was Bwana mungu wa mbinguni azid kukutumia ili tuzid barikiwaa na Kaz yako. Bless u
Nikama ulijua kabisa tunahitaji huu wimbo nimeangalia huu wimbo mpaka nimelia....Mungu akubariki sana 🙏🙏🙏
Ameeeen.. Barikiwa sanaa Grace
No one like him,is God of mercy 🙏🙏. The best song
Jesus no one Like you Lord
Ameeeen. Be blessed
Mungu akubariki Sana wanibariki sanaaa naipenda huduma yako ,umefanyika Baraka keep it up.
Ameeeen. Mungu akubariki
Lord I believe you will never leave, 🎶🎶🎶🎶🎶 Thank you Walter be blessed
Duuuuh hyo sauti kaka ahsante sanaaaa😍😍😍😍😍
Asante saana ndugu yangu. Ubarikiwe
The words of my heart that are explained in this song...
Salute to Almighty God
Thank you Walter
You're welcome Boniface. I'm happy to hear from you. Be blessed
@@WalterChilambo Thank you brother. Keep the good God music coming, got love for you brother. #GodGotUs
nani mwingine kabarikiwa na huu wimbo 😍😘😀🤗
Kila siku huu wimbo unanibariki nakunitulizaa
this has touched the innermost part of me...thank you for being his vessel... Pure plain and simple...
Ameeeeeeeeeeen. Your comment has made my day Jaki. God bless you
Yooo asante kwa ka mziki kazuri uzidi ubarikiwe
ASANTE Saaana Ubarikiwe Alby
Chilashiii 💥💥💥💥💥💥💥💥💎💎💎💎💎💎💎🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🎙🎙🎸🎸🎸🎸🥁🥁🥁🥁🎼🎼🎼🎼 hakika mungu wetu ni mwingi wa huruma
Bro ushawahi shiriki bss?
Alikuwa WA pili kwa BSS iliopita
Kweli sura sio ngeni...hongera sana kaka walter chilambo...am your big fan...nina nyimbo zako zoote zinanibariki sana!
i am also a pianist!!
Daa Huu wimbo wangu wa Mwaka toka kwako Kaka nimeupenda
Thank you Jesus!🙏🏾 Beautiful song, Walter! God bless you! from 🇺🇸
Daaaa balaaaa MUNGU azidi kukuinua broooo
"Jesus you love me too much (ooh)"
God bless you brother Walter Chilambo! This song is very Good! Asante sana kwa kazi nzurii
Ameeeen. God bless you Samuel Ernest
amen kaka uko vizr nyimbo nzr sana ht malaika wa bwana nahc wanashangilia 🙏🙏🙏
Mungu akubaliki zaid na zaid inapendeza sana
Vijana tunananguvu ya kumtumikia mungu inapendeza Sana nafraiswa na ww
Love that song
Amen 🙏🏽 yes is a God of mercy I’m watching from US Jesus deserves our worship, God is a jealous God we should only worship him
Dear Lord 🙏🏽 even tho I’m going through a lot but one thing that I do believe is that your God of mercy 🙏🏽 I know you will hear our prayers dear lord ❤️❤️❤️
Hakika kuna mahali BWANA wanigusa, na kuna mahali BWANA wanipeleka hutaki mimi nipotee. Wewe ni MUNGU wa REHEMA. T
Hakika kuna mahali wanivusha. God bless you
Walter nakupenda sana nyimbo zako zina upako sana I have not released my song but more so ngoma yako iitwayo sir I napenda kuipresent kwa church naomba msaada wako tafadhali
Asante sanaaa
@@WalterChilambo Bwana asifiwe ni Philly wayne kutoka Kenya na naomb msaada wako Sana hii hapa number yangu 0745535165
@@jac87andrew31 karibu ndugu yangu. Unaitaji msaada wa aina gani?
@@WalterChilambo Mimi wazazi wangu wanauza mboga naninaamini Nina kipaji cha kuimba kutoka ukiwa Bss nimekuwa nikipenda kazi zako sijapata MTU wa kunisaidia tafadhali nakuomba
@@jac87andrew31 Msaada wetu mkubwa kwetu ni Mungu. Zidi kuomba na pia save chochote unapata kujiendeleza kama msanii pia fanya kazi.
Kama una audios zozote umerecord nipe kwa email walterchilambomusic@gmail.com
Mungu akubariki saana
Barikuwa kaka Walter uzidikumutumikiya mungu vijanawengi wamepoteya Ira wewe mungu Ka kucaguw mungu azidi kukupaa mafuta kaka yanguu🙏🙏
Ameeen. Nashukuru sana... Mungu akubariki saana
GOD Of mercy you take me where I deserve to be....thank you JESUS 🙌🙌...all the way from 254 nice song GOD bless u
Ameeennnnn
Mungu akubariki nakuona wa mbalii sanaa bro
God's name is Mercy...nowadays nimekuwa nasikiliza sana nyimbo zako,you're a blessing..ubarikiwe brother
Ameeeen. Thanks for the comment. God bless you Joy Jo
By the way, nyimbo hipi yangu Ndo unapenda zaidi?
@@WalterChilambo kwakweli asubuhi mapema ni ONLY YOU njia yote kuelekea ofisini na jioni... siku yangu inakuwa imebarikiwaa..NAJIVUNIA inafuata🙏
The voice is so amazing,ujumbe unabariki,video ndio kabisa🙌..you're the best,my favourite so far..
nakuona mbali saaana,ww ni wa kimataifa,Mungu akafungue milango🙏...my prayers are wit you
@@WalterChilambo wow!!!you made my day🙏🙏🙏 I'm blessed
Ameen. Asante sana Joy Jo. Mungu akubariki. I'm happy to meet you
Hakika Wewe ni Mungu wa huruma ,ubarikiwe sana walter chilambo
Ameeeen. Ubarikiwe nawe Irene
If I would to choose a minister to minister with musically I would choose you walter
Tujuane mapema wale tunaomkubali walter kijana wa chilambo
Such young soul praising the Lord really humbles me.
Beautiful song&indeed He's a God of mercy
Great song brother Mungu azidi kukubariki
This is first time I am listening to his music . I am going through a tough situation , this song came right on time .
Espy Bari God is with you. I'm happy you found my song at this time. If you need a friend to talk to.. Please don't hesitate to check me walterchilambomusic@gmail.com
I was at the wall... seeing no more hope ...got this on my earphones made I fall on my knees worshipping...and felt more blessed
@@melody_mike_mavoice thanks big... Be blessed
nakupenda sana Kaka nyimbo zako uwa zinanibariki sanaaa
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻LORD NEVER LIVE ME 🙏🏻🙏🏻🙏🏻Barikiwa sana 🙏🏻🙏🏻
Ameen. Mungu akubariki Saana
Izi nyimbo za utukufu wa MUNGU hazinaga malumbano kama bongo fleva yetu napenda sana gospel music
Nipenda comment yakoo. Barikiwa sana
This song is such a blessing to me, thank you God for your mercies
Ubarikiwe kaka endelea kumtumikia Mungu bila kuhama ki ili tuendelee kupata huu upako
God bless for you
👏👏👏👏 wooow!!! One of my favourite Gospel songs...may God richly bless you🙏🙏
dah yaan nimeangalia kama ma 9 hv dah nice sana
Nyimbo kali dear....love ur music bro from kenya
Nice song
Cjawahi acha kuangalia nyimbo za wote kila akiachia ngoma mpya unanibariki walter ubarikiwe ur God of Mercy
Asante sanaaa
Aaaaaawawawaaaaa am proud of u always...keep it up
Ubarikiwe sana songa mbele.
Your God of mercy, thank you my Lord 😇
Janeth Shao🙌🙌🙌🙌
God bless you
Daaah huu wimbo unanibarikiwa nikiwa nimekata tamaa huu ni wimbo bora kwangu
Hii mara ya kumi nauckikiza kwenye bufa langu
Let's go to hundred thousands of viewers
Hahahaha asante
Nime tokea kuzipenda saaaaaaaana nyimbo zako bro. Mungu azidi kukuongoza na akutangulie kwenye kazi yako ya uwimbaji
When you are addicted to Walter Chilambo’s songs
So much love from Kenya.
#GodofMercy #ourprotector #YoutakemewhereIdeserve
Wow, thanks so so much. I'm so happy to read your comment. Be blessed.. Favorite fan Memoi Tallam
We jamaa unabarikigi na knmotivate sn2 much love love for you
Another 1
No 1 like u God
Nakubaliii
Nasikiliza wimbo unaingia mpka kwa roho no one like you god
Asantee sana. Mungu akubariki
i love it...thank you God, i swear this track will be one of my best after 'only you Jesus'
Though am going through alot I know my struggles will come to an end coz he's God of mercy
You are God of mercy forever.
Thank you father heavenly for blessing us.
God you're my protect God my defender ohh God keep protecting me and my family cuz you're God of mercy jehovah keep loving us too much
Big up,may God keep on showering you with his blesssings to continue to spread his gospel through songs.
I salute you dogo mziki mtamu sana
God of mercy this has become my favorite song🔥🔥🔥🙏🙏
Yani Tanzania tungekuwa tuna support huku nchi ingebarikiwa hata
Walter you are the best, keep going and don't be like gozerbet
Gozbert alifanya?
jamani ndugu mungu akubariki saaaana mtimishi💚💚
His ‘only you’ got me here. I can’t get enough of his songs. So blessed
I'm blessed by your comment Maria. Only you is my favorite song.. I'm working on it's remix... It'll bless you
Nimegagana kukutafuta finally have landed on the right time praise our lord
Welcome
Oh my God soo blessing song ..Glory be to God keep praising God bro your are going far🤲🙏
Mungu wa mbinguni azidi kukuinua ktk viwango vya juu kabisa mtumishi,,,ubarikiwe mpk ushangae!!! Nakufatilia mno toka enzi zile BSS
Nafurahi kusoma comment yako. Mungu akubariki saana
Ameen
@@liliangreyson6667 Ameen
Your songs usually bless me...may GOD continue giving you new sonns
Asante Kwa kuitikia wito MUNGU azidi kukutumia Kwa jina la yesu Kristo