Kwani mtu akitekwa au kupotea inazuia Polisi na Vyombo vingine kufanya upelelezi ili kumuokoa na kujua nani kamteka na kwa lengo gani? Diwani acha ujinga wa kuleta siasa kwenye vitu vya serious.
Diwan uko sawa, mtu wakusrma ametekwa nipolisi baada ya uchunguzi dy kukimbilia kutekwa .taarifa zakisenge zinazuia police au hata jamii kutafuta wati ambao hawaonekani kwasababu yakusikia katekwa
Weee diwani wewe ila sawa tuu 😢😢😢😢 poleni xana watoto wa mama yenu 😢😢😢😢
Wote wanaofanya hivyo Mungu Mungu wape mabaya yoyote yale mbwa kabisa.
Kwahiyo alidumbukia choon mwenyew au maana kama alitumbukizwa bilashaka alitekwa kwanza ndo akatumbukizwa😊
Watu kwann wanaroho za kinyama hivi watu wanauana hapapoi ni matukio tu mpaka hatuna aman na maisha yetu daaah mung tusaidie
Hao ndugu zake wakatwe
Ebu mualikeni Tanzania Waziri wa congo
❤❤❤point
Safi sana@@JamilaJumanne-u7q
Hapo umenena🇰🇪
Subuhanallah
Yani ww unaona alijitumbukiza humo waziri wa congo wafunze kazi hawa
Hakika hili jamaa kilaza Kwa kiwango cha PhD huyu alitumbukizwa na watu hivyo aliuwawa
Inavyoonesha alitupwa humo shimoni baada ya kuuwawa!! R.I.P Regina poleni wafiwa
Mulijuwaje nyinyi kama kakutwa humo?
Sijui ni kabila gani hao
Kwani mtu akitekwa au kupotea inazuia Polisi na Vyombo vingine kufanya upelelezi ili kumuokoa na kujua nani kamteka na kwa lengo gani? Diwani acha ujinga wa kuleta siasa kwenye vitu vya serious.
Hili ni matahira mboga mboga 🚮
Hivi Diwani kawa msemaji wa Jeshi la Polisi?
We diwani akili Huna kwani hiko ni kifo Cha AJALI SI KATEKWA NA KAULIWA AU
Watakuwa wale wale chadema Kama alitekwa
Tatizo Tz shule kampeni wana pigia ___?
@HamisMghuna-fj3vz chadema bwan ndio maana wako Kama watoto wa chekechea
@@EmmanuelMlowe-u1v Tz Tatizo shule haikutajwa chama ebu ogopa Allah (MUNGU)hata Farao na pilato wkowp
@@BahatiLewis wewe hata mke akipata mchepuko ametekwa
Huyu diwani ana agenda yake. Kwani alijitumbukiza mwenyewe? Kwani hao ndugu zake hawawezi kumteka na kumuua? Au maana ya kutekwa ni nini?
Chadema ndio vinara wakusema kila asieonekana nikutekwa
Na wewe ni nani na unasemaje
Kwani anacheo gani humo Chadema hivi Kuna upinzani kweli hii miaka ya leo
Hebu acheni ujinga mtu kuanguka chooni tu hivi hivi ni ngumu lazima atakua kawekwa humo baada ya kuuwawa, in short kuuwawa tu!!!
Co choo n Karo la Choo huyu atakuwa aliuawa
Kauwawa huyo akatupwa humo jamani mtihani
Kama watu walikuwa wanamtafuta Nina uhakika walifika mpaka hapo nyumbani kwake,, mbona hawakugundua Hilo karo mpaka lionekane baada ya mwezi??
Ndio maana kwangu, nililifunika lote
Naona siku hiz imekua ndo tabia ya kutumbukizwa kwenye shimo la choo jaman😢
😂😂😂😂😂
Diwan uko sawa, mtu wakusrma ametekwa nipolisi baada ya uchunguzi dy kukimbilia kutekwa .taarifa zakisenge zinazuia police au hata jamii kutafuta wati ambao hawaonekani kwasababu yakusikia katekwa