Ni kweli wana SSC,tusikate tamaa kimashindano hasa ya nje ya nchi yetu Tz. Hapa ligi ya ndani ni ya yanga na timu zake 8 za kuipa points yanga. Kombe ni lakwao ila sisi tuwaze nafasi ya pili tukachukue kombe la cuf. Hapa ndani Tz imeandaliwa Yanga tu. Sabau 1.Bendera yao. 2. Ilianzishwa kudai uhuru.3 ni......!
Simba nguvu Moja Leo ushindi lazima inshallah 🙏
Ubaya ubwela ❤❤
Simba nguvu moja tusikate tamaa kirahisi Mungu ni mwema ❤❤❤
Nguvu moja 🦁💪
Nguvu Moja Mnyama katulia kifua I safi
Tufungwe tu sifungwe simba nguvu moja ❤❤❤
watu km ww ni wachache sana , mashabiki maandazi ndo wamejaa .. God bless u
❤❤❤❤❤
@@monicachacha455 🙏♥️♥️
@@Visionaria_HD 🙏🦁❤️❤️
Ni kweli wana SSC,tusikate tamaa kimashindano hasa ya nje ya nchi yetu Tz. Hapa ligi ya ndani ni ya yanga na timu zake 8 za kuipa points yanga. Kombe ni lakwao ila sisi tuwaze nafasi ya pili tukachukue kombe la cuf. Hapa ndani Tz imeandaliwa Yanga tu. Sabau 1.Bendera yao. 2. Ilianzishwa kudai uhuru.3 ni......!
Tuskate tamaa wanasimba