😁😁😁😁😁asante sana baba MUTALEMWA. Kila video ninaifungua na kusikiliza mwisho, mimi ninapata somo kamili ambayo sikuwahi kufundishwa kanisani kwangu, nami najiungamanisha kwa njia kwako. Nipokee baba. AMINA mtumishi
Somo ni zuri sana ila umecofuse mahali ndyo maana pamelack connection ya maelezo. Ngazi za kumjua Mungu. 1. Kuokaka 2. Mcha Mungu_ Mfano Ayubu 3. Rafiki wa Mungu_ mfano Ibrahimu, huyu hajui alifanyalo rafiki yake au Bwana wake. 4. Mwana Wa Mungu _ Mfano Yesu_ aliyajua mawazo ya Mungu.
Nimekuelewa vizuri sana CHIEF! Hao marafiki ambao tumewabeba tukifikiri ni marafiki, duuuh ni monitoring spirits....wengi nimejutia ila watanikoma maana dawa ni kuwadelete
AMEN NIME POKEA FUNZO JIPYA ,TOFAUTI YA MTU ,MWANA, MTUMISHI ,KISHA NIWE RAFIKI NAKUBALI KIWA KARIBU NA KUWASILIANA NAMUNGU KWA KARIBU THANKS CHIEF KUNA SIRI KATIKA KUMTOLEA MUNGU .NACONNECT KUTOKA LEBANON. IPO SIKU NITAKUJA TZ ..NATAKA PROGRAM YA INTERNATIONAL VISITOR
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu.
Ubarikiwe Sana baba mafundisho yako yananijenga sana
Endelea kufungua watu kwa kuwafundisha neno la Mungu hakika nimebarikiwa na mafundisho yako
Amina pastor nimejifunza sana Mungu akubariki
Amen somo zuri pia kupitia somo hili nimegundua mambo mengi
Sanaa
Nimeelewa sana mtumishi
Masomo haya yananijenga kila ninapoangalia napata kitu kipya
J
Mtumisi wa mungu mungu akubariki sana maubiri yote unayo ubiri yanijenga sana
Amen amen Man of God I understand you very well, may God keep on blessing you
😁😁😁😁😁asante sana baba MUTALEMWA. Kila video ninaifungua na kusikiliza mwisho, mimi ninapata somo kamili ambayo sikuwahi kufundishwa kanisani kwangu, nami najiungamanisha kwa njia kwako. Nipokee baba. AMINA mtumishi
Nakupenda man of God
Waislam Masha'allah usijaribu kumsema Mtume wao watapigana tu, Kwa kweli Rafiki wa Kweli Kwa Mungu ni yule Mwenye hofu na Mungu,
Yes asantee Sana umeniguza Sana
Amen
Ubarikiwe nakusikilza mtumishi nikiwa Ezraey
Amen Apostle. Ahsante sana.
True gospel! Barikiwa Apostle.
Wapendwa Bwana Yesu asifiwe
Barikiwa nabii wa mungu
Napokea.mtumishi
Yes a friend of mine a friend he did. Jesus christ is a great wonderful friend I love Jesus.
Nimebarikiw sana mno
Amina nimebalikiwa Sana na somo mungu anijalie na mm niende Israel
Barikiwa sana Baba Mtumishi kwa Somo hili Zuri Nimebarikiwa sana.Nakupenda. Amen🙏🏼
Asante chief kwa somo nimelielewa sana Mungu akubariki sana chief
Somo ni zuri sana ila umecofuse mahali ndyo maana pamelack connection ya maelezo.
Ngazi za kumjua Mungu.
1. Kuokaka
2. Mcha Mungu_ Mfano Ayubu
3. Rafiki wa Mungu_ mfano Ibrahimu, huyu hajui alifanyalo rafiki yake au Bwana wake.
4. Mwana Wa Mungu _ Mfano Yesu_ aliyajua mawazo ya Mungu.
Deep.
Am blessed I literally download all ur videos sir! Ur building us greatly. Blessings
Ameen chief appostle Mtalemwa one day I hope to be there in the church I receive
Powerful teachings...
I'm blessed to hear this..
Mwendelezo tafadhali
Amen, thank you Apostle
Hakuka Neno ni zuri la kinijenga Asante Mtumishi
Thank you so much for your wonderful and encouraging message I'm really blessed down here in Malindi Kenya. Amen
PREACH 🇺🇸 Man of GOD 🙏 Amen
Asant mt wa Mungu somo limeniingia mt wa Mungu ubarikiw San hekima ya Mungu izidi kukufunika mt wa Mungu
Mungu wangu nisaidi niwe rafiki yako wa kweli.
Thanks for teaching us I like and understand well good continue to bless you mr.Mtalemwa 🙏🙏🙏🙏
Amen mtumishi wa Mungu Ubarikiwe sana hakika nimejifunza kupitia somo hili Mungu akubariki sana 🙏🙏🙏🙏🙏
Powerfully message Apostle God bless you so much
Amen be blessed chief apostle
Dah nimejua mimi sina rafk aise
Mzee Wang hili somo Nme share saana kwa watu ,maana najua kuna watu watajifunza kituu kama Mimi ....MUNGU akubark saana
Thank you Apostle....God bless you 🙏
Amen amen
Asante sana kwa hili fundisho Chief 🔥🔥🔥
Mchungaji umesema kweli . Somo zuri
God bless his word, am blessed with this message ❤🙏
Pole
Thank you Chief. Nimejifunza kitu
Amen mtumshi
Nimekuelewa vizuri sana CHIEF! Hao marafiki ambao tumewabeba tukifikiri ni marafiki, duuuh ni monitoring spirits....wengi nimejutia ila watanikoma maana dawa ni kuwadelete
Power power
Améen baba
Hallelujah!!!
Ameen appostle I blokooo
Amen ukweli mtupu mwalimu
Jaman mpo poa nisaidien kanisa la mtumishi lipo wapi
NIMEBARIKIWA SANA
Ameen
Naomba no ya Chief Apostle Mtalemwa.
Fatilia video yote namba izo zipo mbona
Asante Baba yetu alezi
Nimejifunza
Asante chief nilisha block zamani sana maana kukaa na rafiki Hana msaada ni sawa na kukaa na mchawi karibu.
AMEN
Amen,
Amen
@@apostlemtalemwabushiri10g15 Mtumishi naomba unijibu WhatsApp namba ya nje ya nchi inaishia 94
AMEN NIME POKEA FUNZO JIPYA ,TOFAUTI YA MTU ,MWANA, MTUMISHI ,KISHA NIWE RAFIKI NAKUBALI KIWA KARIBU NA KUWASILIANA NAMUNGU KWA KARIBU THANKS CHIEF KUNA SIRI KATIKA KUMTOLEA MUNGU .NACONNECT KUTOKA LEBANON. IPO SIKU NITAKUJA TZ ..NATAKA PROGRAM YA INTERNATIONAL VISITOR
Mwana ni tofauti na rafiki ila mwana ndo ana Nguvu kuliko rafiki kwasababu mwana siku zote huwa na baba
Ni kweli
Ame
❤❤❤❤❤❤
Thanks
Ahahahaah
Thx dady
Jamn kanisa hl liko wapi nataka nije
Yeremia# 32:27
Thank you so much
Mtumishi tunakupataje sisi huku??? Je,anuani ya kanisa lipo wapi??? Tusaidiane....
somo zurii sana,karibu Mikumi morogoro, tusikie maneno ya Mungu
@@jesustheoneandonly mtakuwa mikumi????
ndio mtumishi
Hawa wachungaji wa siku hizi hawa wenye bodyguards instead of Mungu ni shida. Kama huyu anahubiri vizuri ila haamini kama Mungu ndio mlinzi wake $100%
Huyu ndio kasa lake kubwa eti ako na wapinzi
We fata neno la mungu uwezi jua anaweka kwasababu gani
😂🤣😂🤣
Naombeni namba ya Mtumishi ambayo ipo WhatsApp.
Ubarikiwe Sana baba mafundisho yako yananijenga sana
Amen
Asante Baba yetu alezi
Amen
Amen