Haaaaa! Ngonjera mwaka 2008 watoto wadogo walisafiri masaa 9 toka Dar mpaka Amsterdam wakabadili ndege za NW masaa 9 toka Amsterdam mpaka Miapollis. Wakabadili tena toka St. Paul's Meapolis mpaka Colorado Springs. Kessho yake waliingia ku perform na wali perform great! Masaa 21 ndani ya ndege na kuvuka magati. Leo ndani ya Africa??
Mnazigua mnarudia zilezile kelo hii sasa kwan amuna vingine
Nimtuwaajabu haikufuzu kwaudhaifu waotu siumbaliwasafari wikinzima