TAZAMA SAFARI YA BUNGE DODOMA - DAR KWA TRENI YA UHANDISI YA SGR, WAPITA NDANI YA MAHANDAKI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 8

  • @malopemaliyamungu5243
    @malopemaliyamungu5243 2 года назад +1

    Kazi nzuri sana ya Mh. SSH na TRC, Sasa inatakiwa chaap weka football stadium kubwa hapo Dodoma ingine Weka Mwanza na ingine Katikati ya Arusha na Kilimanjaro then unda Kamati kufuatilia maandalizi ya AFCON Tanzania 🇹🇿.. itakuwa poa sana.

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 Год назад

    Mwenyezi Mungu ana siri kubwa. JPM ulitutoka mapema sana. Tulibakiwa na Ndondokera tupu!

  • @joycembifile3642
    @joycembifile3642 2 года назад +1

    Nivizuri ukatumia lugha ambayo inaeleweka na watanzania wengi usituchanganyie lugha

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 2 года назад +2

    Anapoimalizia lazima apongezwe. Naye atakumbukwa.

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 года назад

    AACHA TUMALIZIE KAZI.

  • @williamkisaka9272
    @williamkisaka9272 2 года назад +1

    R.i.p jpm

  • @mpinabaharia2247
    @mpinabaharia2247 2 года назад +1

    Nataka kujua mlitumia muda gani kutoka dom to dar?kwa hyo treni

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 2 года назад

      huwezi kupima perfection ya muda.. sababu hizo Ni ziara za Kamati za bunge.. wakifika sehemu wanakagua iwe Ni vituo, madaraja, underground n.k wanasimama.