Mkasi - SO6E01 with Kajala (Msimu Mpya)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 40

  • @mc_mrope
    @mc_mrope 4 года назад +5

    I really appreciate my lovely sister Kajala❤❤❤ I'm watching this in 2020

  • @rossyceenthia
    @rossyceenthia 11 лет назад +2

    wen Kajala startd cryin i cried too...aki mama mama ni mtu precious sana...

  • @monica-eb7nr
    @monica-eb7nr 11 лет назад +3

    huu kaka wa manyele nampenda sana kwa maswali yake yuko smart kweli.

  • @edondaki
    @edondaki 11 лет назад +1

    karibu tena Mkasi crew..msitutende tena kama last time yaani mlipotea bila kuaga..next time taarifa muhimu.Edo /Finland

  • @EastCoasTGorilla90
    @EastCoasTGorilla90 10 лет назад +1

    this episode really touched me deep down my heart....i real feel for you kajala, You are a REAL STRONG woman...may god bless you!

  • @ndiridanniboi
    @ndiridanniboi 11 лет назад +1

    Nimefurahi sana kuona mkasi ni rudi kwenye youtube!

  • @sultankella
    @sultankella 11 лет назад +1

    THANXS FOR THE NEW SHOW BUT SOME MORE STRATEGIES OF OTHER EASTAFRICAN CELEBRITIES EG FROM UGANDA,KENYA NOT ONLY TANZANIA,I PRAY SALAAMA YOU ANSWER MY PRAYER

  • @kiurakinene
    @kiurakinene 11 лет назад +1

    I am happy for Kajala n God bless Wema.

  • @violethkalinga2980
    @violethkalinga2980 11 лет назад +4

    pole sana kajala but dont wory every thing gona be alright

  • @mwashimba
    @mwashimba 9 лет назад +1

    The lady is down to earth..

  • @dottoomary7088
    @dottoomary7088 11 лет назад

    Like u Salama bt rily lov Kajala jaman....mkasi z more than bomba....

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 Год назад

    Ulitakiwa umweshimu sana wema wallah,lkn ukatoka ukambebea bwana mmh jmn tenda wema nenda zko😅😅😅😅

  • @JMalanga0
    @JMalanga0 10 лет назад +1

    Maraaaaaaaaaaaaaaa hebu ngoja kwanza!

  • @lilianjasper5119
    @lilianjasper5119 9 лет назад +1

    so so nice

  • @ignatusrogerslema8650
    @ignatusrogerslema8650 11 лет назад +2

    pole kaka

  • @romansuzana46
    @romansuzana46 11 лет назад +2

    kweli na hana mashauzi kama wengine

  • @kuluthumukhalfani4437
    @kuluthumukhalfani4437 8 лет назад +1

    Pole sister kajala

  • @doreenmatemba2445
    @doreenmatemba2445 11 лет назад +1

    Please upload ya Vanessa mdee.....
    Other places hatupati hiii....

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 4 года назад

    Love you k

  • @davidklm123
    @davidklm123 7 лет назад +1

    Pôle sana kwa yaliokukuta Dadangu

  • @davidklm123
    @davidklm123 7 лет назад +1

    Dada kipenzi Wangu nimpendae mno

  • @furahamialano85
    @furahamialano85 5 лет назад +1

    Kajala nakuhomba sana umuhombe wema musama kwa sababu alikusaidia sana

  • @manaseh
    @manaseh 11 лет назад +2

    Sasa Salama Kajala analia hata henkachifu hapewi ! its very sad !

  • @maggymm7302
    @maggymm7302 11 лет назад +1

    pole mumy

  • @mamzaiya
    @mamzaiya 11 лет назад

    nampenda kajala anajua kuelezea kweli yaani unatamani asimalize sio kama wengine wanaumauma maneno

  • @furahampanga486
    @furahampanga486 11 лет назад +1

    kajala mami nakupendaga ile mbaya

  • @yonasangitho4485
    @yonasangitho4485 7 лет назад +1

    huyo kajala mzuri hatari

  • @EmmanuelMassawe
    @EmmanuelMassawe 11 лет назад

    I remember went to school name huyu MTU mbuyuni primary school

  • @babyskk421
    @babyskk421 11 лет назад +2

    inamaana huo mkasi wa vanessa hamtauweka au niaje maana hata ile ya dk 9 mmetoa hebu wekeni basi

  • @davidklm123
    @davidklm123 7 лет назад

    Mbona uliagii Dada salaam?

  • @farhannahkulishwaburekunam5360

    Je kajala I hisabu yote al8yokufanyia wema ulimlipa hizo pesa kwa sababu ulipata zaidi ya hiyo na wema wake ukaja ukamchukulia mbwana wake sasa naona hukumlipa wema

  • @wizztz4815
    @wizztz4815 8 лет назад

    bona salama alii kwanini

  • @suleimanmgalula6392
    @suleimanmgalula6392 10 лет назад

    maisha ni kama danadana

  • @babyskk421
    @babyskk421 11 лет назад

    wekeni basi huo mkasi wa vanessa mdee acheni kulemba vipindi vyenyewe ni recorded bt mpk sasa hamjaweka je ingekuwa" live"??si tu ingekuwa balaa

  • @Raya171
    @Raya171 11 лет назад

    Ai se eti mtu unafungwa kwasababu umeiba nyama

  • @suleimanmgalula6392
    @suleimanmgalula6392 10 лет назад +1

    maisha ni kama danadana