Very touching, hallelujah nani mwingine is watching with me for the first time after seven years. God bless you man of God. May God use you in a mighty way.
Very touching preaching 👏 ❤❤❤ Mungu nitie nguvu ya kuishi na kufuata njia zako.niendako kinyume na maadili yako kaweze na kunisamehe na kunirudisha njiani mwako. Amina🙏🙏🙏🙏
When I listen this testimony I always end up in crying! I feel as if I'm not saved.Mungu nisaidie kwa sababu sijampenda Yesu kabisa,sijawa na Suffering love.
Wamama naomba acheni kusuka nywele na KUVAA MAWIGI acheni mapambo acheni KUJICHUBUA na tuache dhambI zote YUMULUDIE MUNGU Asante mchungaji kutufundisha haya maneno
Haleluia, nimebarikiwa sana na ibada,kibinafsi ushuhuda wa Mtumishi,hadi Mvua ya mbingu ikaninyeshea,hadi machozi yakadondoka,nimewapenda sana wapendwa,Salamu kutoka kwa Kanisa la The Evangelical Covenant Church of Rwanda 🇷🇼 "ECCR "
My wife showed me this wonderful teacher and follower of Jesus Christ and I am loving all his teachings and testimonies. God is so good. I wish all Muslims can come to Jesus Before it is too late.
Yesu Hana uwezo wakumsadia mtu .yeye nimtu kama watu.....Achen kumfanya nabii yesu nimungu ...mfano wayesu nikama wabaya etu Adam ..tena baba etu Adam mfano wake ningumu kuliko yesu...Eee nyi wakirsto Shetan Amewapotwza Rudini kwa mungu .muache kusma manno mabaya juu yamungu...bibilia imesema imeandikwa umsujudie mungu wako. Ninyi wakirsto hamumsujudii mungu...bblia imesema kanisani kuna kiti cha enzi cha shetan. Ninyi munaenda huko kwashetan. .ikasema tena waliolala kwenye ukiristo wamepotea. Ikasema tena yesu Alikua Akienda misikiti Akiabudu mungu wake. . Kazi yashetan nikuwamiminia maji yake machafu kwamikundu yenu musio msujudia Kila siku uciku munapo lala. .tena Anawabaka wanaume nawanawake nyote musio msujudia mungu. . Jee ww uko tayari kumiminiwa maji machafu yashetan kwamkundu wako Kila ciku uciku? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? Kma huko tayari Acha ukafiri uje kwa yesu msikitini. . Yesu mwana wamaria Alikua nimuislsm. Yasu Hakuleta Dini yaukirsto. ..
Yesu mtu hna uwezo wakumsaidia mtu . yeye mwenyewe Alimuomba mungu Amuokoe na kifo wayahudi waliotaka kumuua Alisema Eloi Eloi lamasabaktanii???kwann ninyi watu hamutii Akilini maneno yamtume yesu??kwann hamujifunzi kwa yesu .yesu Alikua Akienda katika miskiti kumsujudia munguwake...kwann ninyi hamutaki kusmujudia mungu??? .kwann ninyi munamfuata shetan kanisani????bibilia ishasema kanisani kuna kiti cha enzi chashetan. Kwann ninyi badala kumfuata mungu munamfuata shetan?????? ..biblia ishasema imeandikwa umsujudie mungu wako...ni kwanini ninyi munacheza Rumba makanisani pamoja namashetan????...ni kwann ninyi yesu Akienda kulia ninyi munaenda kushoto??????. .kazi yashetan nikukataza watu wasimusujidie mungu...yeye Alikataa kumsujudia mungu Akalaaniwa ndio Anawapoteza ninyi kanisnai musimsujudie mungu. .ili Apate company yakuenda nawatu katika jahannam yamilele mukachomwe pamoja namashetan. ......kzi yapili yashetan Anawamiminia maji yake machafu kwamikundu yenu musio msujudia mungu. .Kila siku uciku mashetan wanawabaka wanawake nawanaume wasio msujudia mungu. ...Je ww uko tayari kumiminiwa maji machafu yashetan kwamkundu wako? ? ? ? ? ? ? Kama huko tayari bc msujudie mungu . ili uokoke nashetan navitendo vake vibaya. ..
Ewe ee kafiri ulie laaniwa namungu kwakutaa kumsujudia mungu mmoja tu. ..masihi yesu mwana wamaria Alikua Akienda katika miskiti Akimsujudia mungu wake Kila siku. .kwanini ninyi munaenda kanisani kwashetan mukicheza Rumba namshetan?????masihi yesu mtu . Hakutangaza ukirsto ndini yamungu..masihi yasu mtu Hana uwezo wowote yeye Alikua nimtumishi wamungu tu bali Alikua Akimuomba mungu wake .uwezo uko kwamungu....mayahudi walipo taka kumuua masihi yesu Alimlilia mungu wake Eloi Eloi lamasabaktanii? ? ? Bc hapo tushapoa kua kumbe masihi Hakua nauwezo wakufanya lolote ila mpka Amuombe mungu.Namtu yoyote Akiwa Yuko Karibu namungu. bc Anapomuomba mungu mungu Anamsaidia mtu huyo..
Inna Lillahi wanna ilahi rrajiuun tuwa makin na iz triki mungu awasasamehe na awape elimu sahii na awatoe kwenye kiza aaamin laa ilaha illa anta subhaanaka inni kuntu mina dhwaalimiin astakhfiru llahi
HIZI NI SIKU ZA MWISHO UTAJUTA UTALIA NA KUSAGA MENO HIVI UNAJUWA MPAKA SAIZI MTUME MUHAMMAD HADI LEO KALALA KABURINI?NA AANASUBIRI UJIO WA YESU KRISTO NA ANASUBIRI HUKUMU KAMA WENGINE WANAVYOSUBIRI HATA QURUAN YENU IMEELEZA UJIO WA YESU QURUAN IMELITAJA JINA LA YESU MARA 25 MTUME MUHAMMAD KATAJWA MARA 4 PEKE YAKE EWE MWANADAMU EPUKA MOTO WA JEHANNAM
KUNI UTAKUWA WEWE HUYO ADAM KASHINDA DHAMBI ZA ULIMWENGU NA MUNGU ANAZIDI KUTENDA MUUJIZA MSOMALI ORIGINAL ISLAMI NA KATOKEWA NA MUUJIZA WA YESU NA SAIZI ANAHUBIRI INJILI
Ooh Jesus hata nakosa la kusema mbele za Mungu, Jehovah Utusaidie kukujua wewe zaidi, Mbariki Mtumishi wako Adam Haji Muinue na umtumie kwa Viwango vya juu, Ameen.
LOVE HAS NO MEANING WITHOUT JESUS CHRIST WHO SHED TEARS, BLOOD AND DIED, BURRIED, FOR OUR SINS ON THE CROSS AND THE THIRD DAY RAISED FROM THE DEATH! OOOH LORD GOD HEAR OUR PRAYERS. THIS TESTIMONY IS VERY TERRIFYING AND HAS NAILED AND LANDED IN MY HEART. THX MAN OF GOD.
britney hussein Amen ndugu yangu hilo ni wazo njema,utarudia haya maneno nyuma yangu sema,Bwana Yesu,ninaja kwako Leo,Mimi ni mtenda dhambi sistahili machoni mwako,lakini kupitia damu ya Yesu ninaomba msamaha,unitakase na kunisafisha na damu ya,mwanao Yesu Kristo na unijaze na Roho Mtakatifu na unifanye kiumbe kipya,na hivi Leo nimeokoka na hata Ku a mini.Amen contact me on 0703696121.Thank you
britney hussein Hallelujah, uamuzi bora ni kumfuata YESU....... I say to you that likewise there will be more joy in heaven over one sinner who repents than over ninety-nine just person who need no repentance.... Luke 15:7
Ushuhuda huu umeniliza,mimi ni nani Yesu kanipa furaha bure,nakula nakaa kwa amani,na wokovu wa bure kabisa,Ili hali wengine wamepitia mateso makubwa namna hii,Yesu nahitaji kukaa vizuri na wewe naomba nisaidie nikutumikie na kizazi na ukoo wangu
Philippians 3:7-10 [7]But what things were gain to me, these I have counted loss for Christ. [8]Yet indeed I also count all things loss for the excellence of the knowledge of Christ Jesus my Lord, for whom I have suffered the loss of all things, and count them as rubbish, that I may gain Christ [9]and be found in Him, not having my own righteousness, which is from the law, but that which is through faith in Christ, the righteousness which is from God by faith; [10]that I may know Him and the power of His resurrection, and the fellowship of His sufferings, being conformed to His death, It is not in vain to serve the Lord
Very touching, hallelujah nani mwingine is watching with me for the first time after seven years. God bless you man of God. May God use you in a mighty way.
Mimi
Me
Very touching preaching 👏 ❤❤❤ Mungu nitie nguvu ya kuishi na kufuata njia zako.niendako kinyume na maadili yako kaweze na kunisamehe na kunirudisha njiani mwako. Amina🙏🙏🙏🙏
Rev.Adam , you have really made me think twice about my life with Jesus Christ.Powerful testimony...
Yesu nitie nguvu ya kukutumikia ,Mimi na familia yangu.amen.
When I listen this testimony I always end up in crying! I feel as if I'm not saved.Mungu nisaidie kwa sababu sijampenda Yesu kabisa,sijawa na Suffering love.
Acha Mungu aitwe Mungu Amina Sana MUNGU akikutaka Huna ujanja barikiwa Sana Baba 🙏❤
100% true faridah
Wamama naomba acheni kusuka nywele na KUVAA MAWIGI acheni mapambo acheni KUJICHUBUA na tuache dhambI zote YUMULUDIE MUNGU Asante mchungaji kutufundisha haya maneno
Point snaaa
Hata mkewe inabidi Sasa aache kuweka dawa nywele maana BwanaYesuKristo akija atachukua Adam Hajj yy abaki
@@queenesther2639 usichume dhambi unazoweza kuepuka mpendwa
Haleluia, nimebarikiwa sana na ibada,kibinafsi ushuhuda wa Mtumishi,hadi Mvua ya mbingu ikaninyeshea,hadi machozi yakadondoka,nimewapenda sana wapendwa,Salamu kutoka kwa Kanisa la The Evangelical Covenant Church of Rwanda 🇷🇼 "ECCR "
Yesu ndiye anayeokoa si watu! POWERFUL SERMON.
Ubarikiwe Saana Mwana Wa MUNGU Kwa Kuzidi Kuhubiri Injili Endelea Bila Kuchoka
0nn00óóponokokjkjojjkkkjjnknk0ķķk0k0ķo0k0ķknoon0ok0ok0kķ0nj0noj0k00oookno00ko0okk00k0o0o00k0k0ķ00ķjb0 hibo sana n.a. hobo Milo
Upendo na imani imezidi sana moyoni mwangu, Adamu Haji usoni pako naona unamaanisha, Mungu akuzidishie akufute machozi siku ya ufufuo
Sijawahi ona imani kali km ya huyu mtu,Hongera sanaa
Mungu akutie nguvu.
My wife showed me this wonderful teacher and follower of Jesus Christ and I am loving all his teachings and testimonies. God is so good. I wish all Muslims can come to Jesus Before it is too late.
Amen
Amen
Hapana kwenye madhabahu kuimba kaswuda angalieni sana kuwapa watu madhabahu
Mungu anisaidie ninasikia uchungu mungu anisamehe mchungaji umeniongeza hatua
My prayer life and faith has really been challenged by this servant of Jesus
Asante sana Adam Hajji... MTUMISHI WA MUNGU....MUNGU AKUBARIKI SANA
Jesus loves everyone both believers and non believers, Muslims and Christians
Amen mtumishi wa Mungu UBARIKIWE sana
Nimebalikiwa sana hakika naokoka na mm j.pili naingia kanisani
Ameeni hata Mimi nimeokoka
Tumai uliokoka Adam my brother Jesus Christ is great just believe in Him
Amina, Natumai unaendelea vyema na wokovu
Yesu akiingia kwa mtu hana mpizani
For sure this Testimony, have listened to it many many times, in a lot of interviews, Rev. Adam Haji, is just inspiration to maaany many people!
Yesu akutunze sana Adam Haji. This testimony inanifanya nianze leo kumtumikia Yesu kwa nguvu zangu zotee
nyingine kali ruclips.net/video/XmUBOtGoFx4/видео.html
Yesu Hana uwezo wakumsadia mtu .yeye nimtu kama watu.....Achen kumfanya nabii yesu nimungu ...mfano wayesu nikama wabaya etu Adam ..tena baba etu Adam mfano wake ningumu kuliko yesu...Eee nyi wakirsto Shetan Amewapotwza Rudini kwa mungu .muache kusma manno mabaya juu yamungu...bibilia imesema imeandikwa umsujudie mungu wako. Ninyi wakirsto hamumsujudii mungu...bblia imesema kanisani kuna kiti cha enzi cha shetan. Ninyi munaenda huko kwashetan. .ikasema tena waliolala kwenye ukiristo wamepotea. Ikasema tena yesu Alikua Akienda misikiti Akiabudu mungu wake. .
Kazi yashetan nikuwamiminia maji yake machafu kwamikundu yenu musio msujudia Kila siku uciku munapo lala. .tena Anawabaka wanaume nawanawake nyote musio msujudia mungu. . Jee ww uko tayari kumiminiwa maji machafu yashetan kwamkundu wako Kila ciku uciku? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? Kma huko tayari Acha ukafiri uje kwa yesu msikitini. .
Yesu mwana wamaria Alikua nimuislsm. Yasu Hakuleta Dini yaukirsto. ..
Yesu anakupendaa okokaa
Yesu mtu hna uwezo wakumsaidia mtu . yeye mwenyewe Alimuomba mungu Amuokoe na kifo wayahudi waliotaka kumuua Alisema Eloi Eloi lamasabaktanii???kwann ninyi watu hamutii Akilini maneno yamtume yesu??kwann hamujifunzi kwa yesu .yesu Alikua Akienda katika miskiti kumsujudia munguwake...kwann ninyi hamutaki kusmujudia mungu??? .kwann ninyi munamfuata shetan kanisani????bibilia ishasema kanisani kuna kiti cha enzi chashetan. Kwann ninyi badala kumfuata mungu munamfuata shetan?????? ..biblia ishasema imeandikwa umsujudie mungu wako...ni kwanini ninyi munacheza Rumba makanisani pamoja namashetan????...ni kwann ninyi yesu Akienda kulia ninyi munaenda kushoto??????.
.kazi yashetan nikukataza watu wasimusujidie mungu...yeye Alikataa kumsujudia mungu Akalaaniwa ndio Anawapoteza ninyi kanisnai musimsujudie mungu. .ili Apate company yakuenda nawatu katika jahannam yamilele mukachomwe pamoja namashetan. ......kzi yapili yashetan Anawamiminia maji yake machafu kwamikundu yenu musio msujudia mungu. .Kila siku uciku mashetan wanawabaka wanawake nawanaume wasio msujudia mungu. ...Je ww uko tayari kumiminiwa maji machafu yashetan kwamkundu wako? ? ? ? ? ? ? Kama huko tayari bc msujudie mungu . ili uokoke nashetan navitendo vake vibaya. ..
Ewe ee kafiri ulie laaniwa namungu kwakutaa kumsujudia mungu mmoja tu. ..masihi yesu mwana wamaria Alikua Akienda katika miskiti Akimsujudia mungu wake Kila siku. .kwanini ninyi munaenda kanisani kwashetan mukicheza Rumba namshetan?????masihi yesu mtu . Hakutangaza ukirsto ndini yamungu..masihi yasu mtu Hana uwezo wowote yeye Alikua nimtumishi wamungu tu bali Alikua Akimuomba mungu wake .uwezo uko kwamungu....mayahudi walipo taka kumuua masihi yesu Alimlilia mungu wake Eloi Eloi lamasabaktanii? ? ? Bc hapo tushapoa kua kumbe masihi Hakua nauwezo wakufanya lolote ila mpka Amuombe mungu.Namtu yoyote Akiwa Yuko Karibu namungu. bc Anapomuomba mungu mungu Anamsaidia mtu huyo..
Hakika mtumishi wa Mungu Haji Mungu Akuinue zaidi umeniinjilisha mno leo
Ubarikiwe kwa kuacha vyote na kumfuata Yesu
God bless all sevant of jesus
Inna Lillahi wanna ilahi rrajiuun tuwa makin na iz triki mungu awasasamehe na awape elimu sahii na awatoe kwenye kiza aaamin laa ilaha illa anta subhaanaka inni kuntu mina dhwaalimiin astakhfiru llahi
HIZI NI SIKU ZA MWISHO UTAJUTA UTALIA NA KUSAGA MENO HIVI UNAJUWA MPAKA SAIZI MTUME MUHAMMAD HADI LEO KALALA KABURINI?NA AANASUBIRI UJIO WA YESU KRISTO NA ANASUBIRI HUKUMU KAMA WENGINE WANAVYOSUBIRI HATA QURUAN YENU IMEELEZA UJIO WA YESU QURUAN IMELITAJA JINA LA YESU MARA 25 MTUME MUHAMMAD KATAJWA MARA 4 PEKE YAKE EWE MWANADAMU EPUKA MOTO WA JEHANNAM
Mh Asanteee yesu upendo wako ni mkuu mnooo hao wenzet cjui mbingu ipi wataingia
sifa na shukrani zimrudie mungu
muongo uyu na kesho kwa allah atakuwa kuni
KUNI UTAKUWA WEWE HUYO ADAM KASHINDA DHAMBI ZA ULIMWENGU NA MUNGU ANAZIDI KUTENDA MUUJIZA MSOMALI ORIGINAL ISLAMI NA KATOKEWA NA MUUJIZA WA YESU NA SAIZI ANAHUBIRI INJILI
Ooh Jesus hata nakosa la kusema mbele za Mungu, Jehovah Utusaidie kukujua wewe zaidi, Mbariki Mtumishi wako Adam Haji Muinue na umtumie kwa Viwango vya juu, Ameen.
Sisi watu was Rwanda tunakupenda sana Mungu wa Israel akuongezee nguvu ninakuombea ili umalize mwendo salaam
Glory be to God ubarikiwe kwa Hilo neno la kutia mtu moyo katika safari ya wokovu Mungu anipatie nguvu ya kutii ten commandments
Thank u Jesus for this wonderful testimony 🙏🙏🙏🙏
Hakika Mungu anatupenda,na akutunze sana Adam Haji.
LOVE HAS NO MEANING WITHOUT JESUS CHRIST WHO SHED TEARS, BLOOD AND DIED, BURRIED, FOR OUR SINS ON THE CROSS AND THE THIRD DAY RAISED FROM THE DEATH! OOOH LORD GOD HEAR OUR PRAYERS. THIS TESTIMONY IS VERY TERRIFYING AND HAS NAILED AND LANDED IN MY HEART. THX MAN OF GOD.
Mungu wa Israel Ako na nguvu yingi. Rev. Adam Mwokozi Yesu Asifiwe Kwa ju ya uokovu aliekupa. Uokovu ni Baraka.
Kweli Mimi pia ni mwana wa Issa.bin Mariam.Jesus Christ.
Amen 🙏 be strong my sister you're blessed
God bless you ma'am ❤
Great testimony of Jesus redeeming power. Glory be to God , Halleluyah!!!
Subhanallah huyu sio msomali. Wala kabilayoyote Astaqfurullah nandomana hii video haijaenda Vero Subhanallah ww natamani ninge kuona wallahi ninge kuuwa
Woooi God I give my life to you God
@@queenfatushyusuf3846 kuuwa watu ndio unajua? Ivi katik maisha Yako ulishawahi umba hata mbu ndipo upate kibali Cha kuuwa mtu?
Nimebarikiwa sana, Mungu azidi kukutimia mtumishi wa Mungu.
Bwana yesu asifiwe ashubui
My God may you have mercy on us strengthen us in your salvation.may you also be with your chosen servant mr Adam Haji I pray in Jesus name amen 🙏.
Thank you God for this great servant.......I'm so touched...God forgive me..I'm a great sinner 😢
Amina bro Adam haji Yesu ni mwokozi
Amen barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa mafunzo yakutia moyo Mungu atupe neema ya kumtumikia yeye na kumwabudu Kila wakati
God bless you so much rev haji.uinuliwe zaidi na zaidi
Amen mtumishi wa mungu ushuhuda wenye nguvu
Encountered this story today through a great friend I just met, God is really faithful, God is a good God. Wooow! Message of revival
Sometimes God use foolish things to save us ,glory to Jesus!!! What shall I render to Jesus for all He has done for me !
You are chosen by God
Huyu NI muongo uislamu NI Aman NI wepesi Sana kujifunza anapaswa kuhurumiwa Sana
@@aminamuhammed8839 Wakristu wanauawa Somalia? Kuna uhuru wa kuabudu huko Somalia? Jibu hoja zake
Yesu Kristo ni Bwana Mungu!
Hakika ubarikiwe Sana mtumishi na Mungu aendelee kukupa roho ya ujasili katika kumtumikia Mungu
Ameni
Ameen Mungu akubariki mchungaji nabarikiwa Sana na mafundisho yako ....am watching this channel at Saudi Arabia..am be blessed.
Be blessed Ramu na uombe.. nko Ula
Mungu akubariki sana kwa njia Yesu alizokupitishia ubarikiwe sana
Amen
Ameen napokea neno
Yani ilikuwa nilie 😢❤..thank u our Everlasting Father Jesus Christ 🙏
Yaani nimelia Sana huu ushuhuda unauliza Sana. Praise the Lord.
Ameni
Thank you Adam for coming out to the light of the lord. Twaambie ukweli. God be with you as you serve God.
Tafadhali ningependa kuokoka
Am Britney Hussein
britney hussein Amen ndugu yangu hilo ni wazo njema,utarudia haya maneno nyuma yangu sema,Bwana Yesu,ninaja kwako Leo,Mimi ni mtenda dhambi sistahili machoni mwako,lakini kupitia damu ya Yesu ninaomba msamaha,unitakase na kunisafisha na damu ya,mwanao Yesu Kristo na unijaze na Roho Mtakatifu na unifanye kiumbe kipya,na hivi Leo nimeokoka na hata Ku a mini.Amen contact me on 0703696121.Thank you
did u receive Jesus Christ?
britney hussein Hallelujah, uamuzi bora ni kumfuata YESU.......
I say to you that likewise there will be more joy in heaven over one sinner who repents than over ninety-nine just person who need no repentance.... Luke 15:7
accept lord Jesus Christ in your heart
Mungu aweke kiu ndani yako
I have been renewed again from the testimonies of the man of God
Thanx for this message be blessed
Asante Yesu kwa kuokowa wa Islam !!
Amen Amen yesu ni bwana aki u really son of god ur really know ur king Jesus Amen
Ushuhuda huu umeniliza,mimi ni nani Yesu kanipa furaha bure,nakula nakaa kwa amani,na wokovu wa bure kabisa,Ili hali wengine wamepitia mateso makubwa namna hii,Yesu nahitaji kukaa vizuri na wewe naomba nisaidie nikutumikie na kizazi na ukoo wangu
Ameen ..🥲
Unanibariki hustazi bere Mungu Mungu atusa
Mehe
@@kephermwangura2199 😊
Yesu ndiye njia kweli na uzima.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu nakupenda from Rwanda ❤️🥰🥰🥰😭😭
Very edifying testimony. God bless you Hajj Adam. Mtumishi wa Mungu
Hakika MUNGU Kuna watu anajivunia .Nimepona mahali🙏
Mungu nisaidie niweze kuwa imara ktk maisha ya kuiendea mbingu 🙏🙏
Yesu akusidishiye needs yake hallelujah Jesus is the Lord May his be upon u mam of God Amen Amen
Lord may save and protect you Adam haji
Would love to meet this blessed man of GOD tupeleke ijiri nyeri..
Thank mutumishi umesema kweli walio na masikio wasikie
Philippians 3:7-10
[7]But what things were gain to me, these I have counted loss for Christ.
[8]Yet indeed I also count all things loss for the excellence of the knowledge of Christ Jesus my Lord, for whom I have suffered the loss of all things, and count them as rubbish, that I may gain Christ
[9]and be found in Him, not having my own righteousness, which is from the law, but that which is through faith in Christ, the righteousness which is from God by faith;
[10]that I may know Him and the power of His resurrection, and the fellowship of His sufferings, being conformed to His death,
It is not in vain to serve the Lord
Ur testimony always leads me to repeand
Ahimidiwe yesu kristo maana hivyo ndo ulimteuwa Paulo aliyekua anahangaisha watumishi wa MUNGU
Mungu akubariki sana mafundisho yako yanafundisha kumshika sana YESU
Imani yangu imeongezeka GoD bless you
Heaven is the only thing worth dying for. Jesus You are Lord.
Ee nyi mkfiri njooni Katika uislsm..hawo mapasta wenu wanawadanganya tu.huyu pasta adam nimwendazimu hna Akili kbsa..
@@sulehassanshall6140 Ndo keshashuhudia kafiri anatoka wapi tena
Mwenyezi mungu akubariki sana tena sana
Mungu akusaidie kupata wafuasi sahihi kutoka kwa Mungu mwenyewe.
Nasujudu kwa mungu aliekuokoa hakuna ni mungu wakwel nampenda sana aniwezeshe kumtumikia Amen
Amina mtumishi ubarikiwe Sana
Glory be to GOD☝
Asante sana kwa neno hili
Bwana Yesu kama ulivyomwokowa Ali hauji katika mikono ya wadioamini jina lako nami niokoe kwani niko katikati yao
What a wonderful testimony Waw may God bless you sana
I love your teaching pastor MAY GOD BLESS YOU
Ameeni mtumishi wa mungu
Barikiwa sana mtu waMungu nipo 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮👈
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
Hongera sana
Kweli Yesu ndiye njia
Sifa n utukufu ni kwa mungu ❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Inafurahisha Ushuhuda Mzuri sana Barikiwa mtumishi kokote ulipo
😢Baba na Mungu wangu mapenzi yako yatimie amin
Pasta ubarikiwe sana ahsante kwa ushuhuda huu
I give my life to you Lord
Eee Yesu nitie nguvu nimtumikie Mungu nikiwa na muda🙏🙏
Mungu anatukuzwa ktk Adam Haji
Amena sana kwaushunda wakomungu akutiyenguvu
yesu yesu yesu nakuita tena YESU unajuwa hitaji yaaa moyo wangu
Mungu akupe amani,Mtumishi wa Mungu.
Mtumishi ubarikiwe sana.
Wow kuna nguvu katika jina la yesu
Be blessed... God is faithful
Mungu ni jembe anabadilisha bwana❤
Be blessed man of Gd