Semaji letu la kafu, semaji letu la makombe, semaji letu la krabu bingwa,semaji letu la Zanzibar, semaji letu la ubaya ubwela, semaji letu la Kilimanjaro, semaji letu la mikumi mbuga za wanyama, semaji letu la kimataifa, semaji letu la mashabiki bora, MUNGU awasaidie wote wachezaji wetu wote tukapate point 3 dhidi ya mashujaa, ushindi mnono, semaji lisilokuwa na kigugumizi maneno yamenyooka 🤗 sio hatu hatu hatu 🤔
wewe unaumia nini?Kwa MSEMAJI wa Simba huwezi kumlinganisha na mesmaji WA utopolo, ukiwa makini kuwasikikliza wasemaji hao utapata majibu sahihi nani nimsemaji wa mpira na yupi ni mlopokaji
Simba nguvu moja Mungu naomba uibariki Simba Sports Club 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Simba nguvu moja naipenda Simba mpaka naipenda tena Simba ubaya ubwela 🔥🔥🔥
All the best Simba viva Simba.Alutha continue mapambano yanaendelea.
Kweli simba ni timu kubwa na ina mashabiki bora sana nchi hii
Mungu ibariki mashujaa ishinde hapo kesho ili tuendelee kustarehe mjini
Umeon eeeeh Unakua happy ukiwa wapi jaman🤣🤣
Semaji letu la kafu, semaji letu la makombe, semaji letu la krabu bingwa,semaji letu la Zanzibar, semaji letu la ubaya ubwela, semaji letu la Kilimanjaro, semaji letu la mikumi mbuga za wanyama, semaji letu la kimataifa, semaji letu la mashabiki bora, MUNGU awasaidie wote wachezaji wetu wote tukapate point 3 dhidi ya mashujaa, ushindi mnono, semaji lisilokuwa na kigugumizi maneno yamenyooka 🤗 sio hatu hatu hatu 🤔
Kinacho kushangaza nini gongo wazi endelea tu utaisoma namba na mbeleko zenu 😜
Naipend Simba milele
Kila laheri wapambanaji wetu kuelekea mchezo wakesho
Mwisho wa nchi jinga kweli hili
wewe unaumia nini?Kwa MSEMAJI wa Simba huwezi kumlinganisha na mesmaji WA utopolo, ukiwa makini kuwasikikliza wasemaji hao utapata majibu sahihi nani nimsemaji wa mpira na yupi ni mlopokaji
Huyu ndo msemaji au muimba taarabu alafu unamfananisha na Ally kamwe? Kamwe ni level za juu huwezi kumfananisha na huyu
Mjinga huwa haelewi,kwahiyo wewe kama huelewi waulize wengine wanaoelewa.
M
Mimi huwa nawashangaa watu wanaomwita huyu Semaji la CAF. Kwa lipi hasa?
Kwasababu habadilishi nywele kwa kupaka bleach kama lile bwabwa lenu.
Kwa uwezo wake wa kukera mpaka vinakereketa watu kama wewe
Tukuite wewe?
Wewe unaumia nini
Endelea kushangaa tu gongo wazi 🐸🦩🐸