Jamani watangazaji baadhi yenu muwe mnajitahidi mnapo hoji mtu mzima jarbuni kutoa salamu inayoendana na mtu unaemuhoji sio habar,wakati inatakiwa kusema shikamoo maoni tu ila wafiwa polen kwa msiba mzito Mungu akawafariji
@@shakilamasoud2983 mmmhhh,,ndo hapo shda inapoanzia salimia tu huwez pungukiwa tena hata yule mtu atahisi kuheshimiwa sio eti habar au heshima yako,,nenda dialect shikamoo.
Pole Sana mama na familia nilichokigundua Mimi tunaishi na wapenzi wenye maumivu na visasi vikubwa baada yakutoka uko walikoo umizwa ndio maana mauwaji ayaishi
Kuna watu wanapigwa,wanatukanwa,lakini hayaondoki.Jamani hiyo tabia ya kuridhiwa na shemeji mbaya sn,huenda shemeji alikuwa na mtu wake wa kumuoa,wazazi muwe na adabu pande zote, kuwafanya watoto wakavuliane chupi wakati ni mtu na shemeji.
Hiyo tabia ya kurithiwa mm siipendi na nitaipinga mpk siku ya kufa kwangu unakuta mwanamke anapigwa haondoki eti kwa madai anakaa kwa ajili ya watoto kwa staili hiyo tutaisha.
Mimi namchukua mwanaume wangu anaejiita ni mme wangu simpendi aneninyanyasa sana kwa kunipiga na kunitisha nikuenda nyumbani suluhu inapita narudi nakaa wiki 1 matatizixo ni yale nikaamua niondoke na bado anasema mi ni mke
Subuhanallah kulisiwatena na shemeji baba mmoja mama moja na alikua mumewe mtihani Hana Wana kinyama hawawatu haya Sasa Tena mwaname mmpeni mdogowa malehem waende Lee kulea watoto
Nimeskiliza kwa makini,nahic hiyo ni laana na itaendelea kutafuna vizazi vyao, kwan nn ukazae na shemeji yko,ata kama ndio mila zao ww ungeondoka uachane na iyo mbaka!mbaya sana iyo
Ujinga huo katika maishaa yanguuuuuu siwezi rithiwa abadani asilan,, family hamkumtendea haki Sarah kumrithisha kuolewaa na shemeji yake boraa nifee mjane na hapo napahama

Eti jamani, Mzee ambaye ni sawa na Baba Yako, eti habari mfyuu
@@shakilamasoud2983 mmmhhh,,ndo hapo shda inapoanzia salimia tu huwez pungukiwa tena hata yule mtu atahisi kuheshimiwa sio eti habar au heshima yako,,nenda dialect shikamoo.
@@listerlujiso6009 sindiyo, wanajikutaga wamemaliza maisha, shenzi hao
Kabisaaa
Eti kanasema baba habariii mfyuuuuuuu
Ndokizazi cha sasa jamni hata watt wetu wakuwazaa muda mwingine nihivyo tu
Pole Sana mama na familia nilichokigundua Mimi tunaishi na wapenzi wenye maumivu na visasi vikubwa baada yakutoka uko walikoo umizwa ndio maana mauwaji ayaishi
Hakika
Mungu atupiganie kwahili sote
Kabisa
Wavumilivu na ndoa zetu poleni sanaaaa Mimi yalinishinda nikasepa sasa maisha yangu muluaa
Masikini poleni wafiwa mungu awatiye nguvu
Mtu masikini ana zaa watoto watano daah
Lakini huyo marehemu Sara anaonekana ktk hiyo picha ana kidonda cha uso inaonesha alikuwa akipigwa anabakia tu .
Pole sanaa mama
Mmmmh! Jamani bado wanawake wanarithiwa jamani? 😭😭😭😭😭
Kuna watu wanapigwa,wanatukanwa,lakini hayaondoki.Jamani hiyo tabia ya kuridhiwa na shemeji mbaya sn,huenda shemeji alikuwa na mtu wake wa kumuoa,wazazi muwe na adabu pande zote, kuwafanya watoto wakavuliane chupi wakati ni mtu na shemeji.
Sasa kunafaida gani kuolewa n shemengy ...pole mom lkn wazazi muwe Makin n watt wenu
Hiyo tabia ya kurithiwa mm siipendi na nitaipinga mpk siku ya kufa kwangu unakuta mwanamke anapigwa haondoki eti kwa madai anakaa kwa ajili ya watoto kwa staili hiyo tutaisha.
Sasa hao watoto ni mabinamu
Mimi namchukua mwanaume wangu anaejiita ni mme wangu simpendi aneninyanyasa sana kwa kunipiga na kunitisha nikuenda nyumbani suluhu inapita narudi nakaa wiki 1 matatizixo ni yale nikaamua niondoke na bado anasema mi ni mke
We mtangazaji unapoenda kuhoji sehemu ya matatizo dresscode iwe inaendana
Ni kweli kabisa
Pole sana MAMAANGU 💔💔💔💔💔😭😭
Subuhanallah kulisiwatena na shemeji baba mmoja mama moja na alikua mumewe mtihani Hana Wana kinyama hawawatu haya Sasa Tena mwaname mmpeni mdogowa malehem waende Lee kulea watoto
Ndo nashangaa, serikali ilisha kataza haya mambo kipindi ukimwi ulipoanza, sijui Kwa nini hatusikii! Wanawake tujifunze hapa
Naimani ww muislam,uislam kama mwanamke mwenyewe ameridhia haina neno,nimecoment kwako kwakuwa ni muislm mwenzangu,wapo walioshangazwa lkn sikuweza kuchangia chochote kwakuwa imani zetu tofauti
Poleni sana aki inaumaa
Poleni sana wafiwa
Nimeskiliza kwa makini,nahic hiyo ni laana na itaendelea kutafuna vizazi vyao, kwan nn ukazae na shemeji yko,ata kama ndio mila zao ww ungeondoka uachane na iyo mbaka!mbaya sana iyo
Mbaka!!! Hii nimeilewa kabsa yan
Mbaka hahahaaaa na kweli ni mbaka
Mbaka
Kumbe alirithiwa 😓😓😓😓daaah ni mbaya sana kwakwel
Mwandishi wa mchongo unadhindwa kumwamkia huyo mama, huna nidhamu we.
RIP mama ( Tatizo ninalo liona ni shemeji kumridhi mke Wa kaka hizo mila zimepitwa na mda.
Tanzania kila siku kifo waaaaqh
Pole sana Mama
😢😢😢😢😢
Unyama sana maskin huruma sana
Pole wazazi inauma mno
Karne hii jaman Bado Kuna kurithiwa?????
Hv Ni kwann wanawake kl ck 😭😭
Utu umetoweka watu wanaishi kama wanyamapori Allah atustiri
Kulikuwa hakuna upendo hapo nahiyo mila ikome kumrithi mke.R.I.P
Kwani hizi mambo bado zipo??
Ujinga huo katika maishaa yanguuuuuu siwezi rithiwa abadani asilan,, family hamkumtendea haki Sarah kumrithisha kuolewaa na shemeji yake boraa nifee mjane na hapo napahama
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Looooh
😭😭
Magufur
Mwandishi huna adabu mzee kama huyo unamusalimia baba habari?? Shenzi kabisa
Mmmh jmn
Sasa mke ana lisiwa 🙄
Alisiwa kama nyumba vile,mtihan Kwa kwel
😭😭😭😭😭😭😭