VIDEO IMEVUJA Usiku huu: MIPANGO imevujaaa!!!!!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 109

  • @princeimani8078
    @princeimani8078 14 дней назад +12

    Lissu you are a very very good leader you may live long we thanks to God for giving us you we know you every Tanzanian know you as a very good leader and this is the time that we want you full time we want you to take us to the next level lissu God bless your father

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 14 дней назад

      Tanzania will be the first time to get a leader Like Lisu, Lisu is a mineral thief, a broker of our assets to the whites, what Tanzanian has two citizens? where are his children and wife, it has been discovered that he was not beaten, but it was a strategy against our former beloved president Magufuli, but he lied to the police. His driver has hidden the vehicle from him because he was the one involved in the incident.

  • @AbdullahAhmed-t7p6l
    @AbdullahAhmed-t7p6l 14 дней назад +2

    Tundulisu explanation. My fraind vary brave has created point. To get out. Vary complicated if you will take him to court to win him the res big challenge

  • @mickieojijo2797
    @mickieojijo2797 14 дней назад

    Bwana Odemba, are you a trained journalist!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 14 дней назад +1

    Lakini Abdu hajawahi kukanusha. Tunakuhitaji sana mh. Lissu. Usijali matusi, ulijeruhiwa na risasi, Mungu akakuponya, matusi hayajeruhi. Mapenzi ya Mungu yatimizwe kwako.Msema kweil ni mpenzi wa Mungu.

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 14 дней назад

      Sema unamuhitaji wewe,umalaya unakusumbua

  • @elinihakimsuya1673
    @elinihakimsuya1673 14 дней назад +1

    Mwongo lisu mbona asimrekodi?

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 14 дней назад +2

    😂😂 Odemba Leo umeyakanyaga😂😂😂

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud 14 дней назад +3

    Tunahenda mbowe 5mitano ten . ❤❤❤

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 14 дней назад +2

    Mtangazaji ni hodari Sana Sana kwa maswali anayo muuliza huyu Babu, kwasababu ameshamjuwa kama ni muongo...huyu Kijana anoulizwa anababaika Sana siyo hodari kwa kujieleza ni mbabaifu. Anaulizwa hivi anajibu hivi...

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 14 дней назад +1

      Nyie ndio akili zenu ndogo. Huyu jamaa ni mwanasheria mkubwa na sifa yake kubwachashinwi kesi huyu. Sasa anapoongea hua anaweka akiba ya maneno maana hapo sio mahakamani. Ila abduli alitaka amuhonge na mama yake

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 14 дней назад +1

      ​@zawadimbwambo1091 hatujaambiwa anamuhonga kwa sababu ipi,au anahongwa ili afanye au asifanye nini?

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 13 дней назад

      @@walidmgonja3644 alienda kwake kufanya nini?

  • @zawadimbwambo1091
    @zawadimbwambo1091 14 дней назад +2

    Ccm wanamuogopa sana lissu. Mbowe akiendelea. Mimi chadema basi sitaki tena siasa.

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 14 дней назад +1

    Acha upumbavu Tundu Lissu acha kudanganya dunia .Unataka kuuza nchi yetu

  • @benjamachimo6424
    @benjamachimo6424 14 дней назад

    Mwendishi afifilo hana elim ya kuhoji

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 14 дней назад

      @@benjamachimo6424 Sababu anahoji vizuri ndio unamponda…

    • @KopiscoIsaya
      @KopiscoIsaya 14 дней назад

      @@benjamachimo6424 mmesha kua addicted na Tundu LISU hata akijibu pumba nyie mnaona nisawa,hapo kabanwa na Odemba maswali kibao Ameshindwa kujibu anarukarukatu,tatizo la huyu MWANASHERIA NGULI,nikwamba Hana hekima halafu hajishushi hata kidogo, yeye Anajiona kwamba Kila kitu anaelewa,kichwani kwake anajiona kua yeye ndo yupo juu ya Kila kitu hapa Tz,hii dhana alojenga kichwani kwake,nidhana mbaya sana, Tundu LISU anapaswa abadilike,Kwa sababu yeye hayupo ABOVE ALL THE TANZANIA PEOPLE,He is must change his character PERIOD.

  • @titonkwabi7430
    @titonkwabi7430 14 дней назад +2

    Kumpa uenyekiti huyu jamaa, ni sawa na kumpa chizi mke.

  • @riosingingandmore8224
    @riosingingandmore8224 14 дней назад +6

    Sipo tz lkn kwa yanayo endelea Bora mbowe kuliko hichi kibabu chenye meno mafupi na kibaguzi kinacho tumwa na wajerumani kije kuvuruga amani ya nchi chadema Bora mbowe kuliko huyu alie achia ushaidi ujerumani na yy yupo tz 🙌🙌🙌🙌

    • @festokivuyo7121
      @festokivuyo7121 14 дней назад

      Huyu ni mjinga sana

    • @gracekagoma3231
      @gracekagoma3231 14 дней назад

      Unasema ukweli.watu wa nje wanamfahamu lissu vizuri🎉ni mtu mbaya 😢

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 14 дней назад

      Uko sawa,huyu Lissu ni mtu Liberal mwenye nia ovu,wanaomshabikia hawamjui

    • @MerkiorMwakalindile-d8w
      @MerkiorMwakalindile-d8w 6 дней назад

      @@festokivuyo7121 wewe mwenye akili umefanya nini?

    • @festokivuyo7121
      @festokivuyo7121 6 дней назад

      @@MerkiorMwakalindile-d8w ilikua nikuoe ama nijenge nayo

  • @giztony2009
    @giztony2009 13 дней назад

    Huyu odemba hajui kuhoji halafu anajikuta bbc kumbe ni kwizera tuu

  • @jerome3143
    @jerome3143 14 дней назад +2

    Mm ni mchanga natamani mabadiliko ndani ya cdm.sana tuone

  • @T444zhairfood
    @T444zhairfood 14 дней назад +2

    Lisuu all the way.

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni 14 дней назад +1

    Lisu safi

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 14 дней назад

      @@JuliethNyoni Kwasababu kwenye Nchi yenu hamna wana Sheria wengi ndio maana mnasema hivyo.

  • @dazk7861
    @dazk7861 13 дней назад

    Mbona kama lissu wamemu edit hapo

  • @Fundi12345
    @Fundi12345 14 дней назад

    Hapo lisu ulipigwa na kitu kizito so kama huyo abduly han kitu ktk taifa hii ulimupa fom za madai jama nan je ? Huon kuwa anaweza kuwa alizitupa tu jararan ! Ikiwa wewe mwenyewe ubasem huyo siyo mutu sasa kabis unataka kunambia alikutaperi tena kutengeneza fom zingin na ukapa ndege unahatarish maisha yako kwenda kuchukua fom Daaaa !

  • @WillKilulya
    @WillKilulya 14 дней назад +2

    Mungo sana wewe lusu,mzushi.

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 14 дней назад +3

    Tundulisu ni Chawa wa Mabeberu wajumbe wa chadema ondoeni hichi kirusi kitawamaliza

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 14 дней назад

      Kivipi

    • @simonsadala2386
      @simonsadala2386 14 дней назад

      @eliajimmy95 Kiongozi gani ambaye mdomo wake hauna heshima Kwa viongozi wandamizi wa nchi yaani Rais wa nchi yako una mwita Kwa jina la mwanae hii inaonesha wazi ni jinsi gani hakupata malezi mazuri Kwa wazazi wake wajumbe mkataeni huyooo kichwa chake kina changamoto za akili

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 14 дней назад

      ​@@simonsadala2386 Wasifu wa mtu unabeba majina hayo yote. Ni mama, ni make wa Mtu ni Dr wa heshima, ni mkt wa CCM, ni Raisi. Amiri Jeshi Mkuu, ni Mkuu wa nchi ya Tz. Hivi ni vyeo vyake vyote. Kikitajwa chochote Kati ya hivi ni heshima kwa kulingana na ukaribu au mahali gani. Mengine tunajipandisha pressure tu. Hata mimi ningekuwa nakutana naye ni msalimia shikamoo mama. Nahisi angetabsamu kidogo marahaba mwanagu ujambo. Hiyo itakuwa tofauti kwa waziri, lakini nao pia walishamsoma Jina lipi Boss wao anapenda. Raisi Tz ni kiongozi tunayemweahimu sana, kuliko nyinyi wabeba hisia mnavyolazimisha mpendezwe nyinyi.

    • @AbdulyMajaliwa-v4r
      @AbdulyMajaliwa-v4r 14 дней назад

      ​@@simonsadala2386sisi tumeipenda hio changamoto ya akili

  • @stonebig12
    @stonebig12 14 дней назад

    Wanyarwanda niwatu wabaya sana😊

  • @HemedSud
    @HemedSud 13 дней назад

    Acha uongo.

  • @hamudseif
    @hamudseif 14 дней назад +2

    Odemba tatizo lake hampi mtu nafasi ya kujibu maswali kwa utulivu, anapndikiza maswali kabla ya majibu, na anaonekana km analazimisha mtu ajibu anavotaka yeye. Ni mapungufu yake

  • @HafidhMwinyi-fp2po
    @HafidhMwinyi-fp2po 13 дней назад

    Lissu kibaraka anawatumikia wasioitakia mema nchi yetu huyu hafai kuongoza na muongo porojo jingi

  • @elizabethcharlesdaniel
    @elizabethcharlesdaniel 14 дней назад

    😊⁰😊😊😊

  • @BarakaMalande
    @BarakaMalande 14 дней назад +1

    Mtu asiye faa kua Raisi wa nchi basi ni huyu lissu

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 14 дней назад

      Unafaa wewe basi gombea form tutakuchangia. Bora yeye kajitokeza wengine hata kuongoza nyumbani shida. Siasa ni za ushindani toa hoja yako.

  • @HemedSud
    @HemedSud 13 дней назад

    Kwa huo ushambenga wako. Kwa nini huku mrikodi.

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 14 дней назад +2

    Mtangazaji unamkatakata humwachii akajibu.

  • @mtanganyika-e2b
    @mtanganyika-e2b 14 дней назад

    Yaani mtangazaji mbea!

  • @charlesjoseph1081
    @charlesjoseph1081 14 дней назад

    Huyu shogamwongo mropokaji,una kipi cha mno uhongwe labda kutoa mkundu

  • @Kiyama-g8f
    @Kiyama-g8f 14 дней назад

    LISSU NI MTU MCHONGANISHI SANA NA KIGEUGEU KWELI KWELI;KIFUPI HAFAI;MARA ABDULI HAFAI;SASA ULIMPAJE DOCUMENT ZAKO YEYE? UNATUCHANGANYA SANA ;SIWEZI KUKUPA KURA YANGU WEWE

  • @hassanibakari9667
    @hassanibakari9667 14 дней назад

    Ni mtangazaji ambae haujui kuhoji hata kidogo yani unapenda khohoji ila haujui kuhoji. Anae hoji anahitaji kujuwa

  • @JuliasMsongole-c5k
    @JuliasMsongole-c5k 14 дней назад +2

    Afadhari ulikata hizo fedha zingekuumbua kama kipindi hlki,

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 14 дней назад

    huna ushahidi unazungumzia hisia mwanasheria mzima unaendeshwa na mihemko ya hisia, kama ulijua atakuja kukusaidia kwa nini ulikubali aje nyumbani mwako? uyu afai kuwa kiongozi, nawaambia wanachadema wenzangu, lissu kama akiwa mwenyekiti chama kinakufa,

  • @HemedSud
    @HemedSud 13 дней назад

    Wewe ni chizi kweli.

  • @edsontoto8253
    @edsontoto8253 14 дней назад

    Mwandishi unazingua sana, kwani hukuandaa maswali maana ni kama unalandalanda tu.

  • @DaudiMtiga-n5r
    @DaudiMtiga-n5r 14 дней назад

    This country wanahitajika watu wazalendo like Antipas wanao pressure lise mambo

  • @crecknerz5661
    @crecknerz5661 14 дней назад

    MIE SIO MWANA SIASA NA SIPENDI POLITICS ILA HUYU LISSU ANANIKONGA MOYO SAANA

  • @HemedSud
    @HemedSud 13 дней назад

    Huyo ni chizi.

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 14 дней назад

    Wanaomsema lisu muongo basi wamlete abdul akanushe hilo gongo la mavi mkakojoe mlale

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 14 дней назад +1

    uyu ni muongo sana ana roho ya uongo sana maneno yake tu aaminiki

  • @ShabaniHamis-fx8my
    @ShabaniHamis-fx8my 14 дней назад

    Mkweli huyu lissu kiwango kikubwa Cha watanzania wamezoea kudanganywa mtu mkweli hawamkubali

  • @mtanganyika-e2b
    @mtanganyika-e2b 14 дней назад

    Mtangazaji anafanya mahakama hapo!

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 14 дней назад

    Wewe hata usoni mwako unaonekana unadanganya

  • @songeza
    @songeza 14 дней назад

    Lissu we ni muongo sana ebu usipende uongo we ni mwanaume we acha uongo Kwa wewe ungempiga picha uliwaona wakati wanapewa?? Lissu tea nafasi Yako muongo wewe usingependa Hela usingegombea kiti Cha mwenzio na anajigonga maana anasema hakusema Hela amesema anamsaidia Kwa lipi?? Mama hawezi kuongea na huyo mwenye matusi mdomoni kweli lissu huna hekima aisee dah

    • @songeza
      @songeza 14 дней назад

      Apate wapi ushahidi wowote hata kama unaona na kusikia lakini Kwa jinsi ulivyo kwako Kuna kamera?? Muongo wewe mishavu mikubwa nilidhani ni ya kushona kumbe ya umbea mmmh mtaje shahidi. Huko ndiko unakotaka kwenda bandari uliijenga wewe Hadi ikuume sana kweli lissu bogas

  • @pillymohamed3100
    @pillymohamed3100 14 дней назад

    Majibu ya maswali hayajibu maswali yenyewe anakwepa maswali

  • @AberiChares
    @AberiChares 14 дней назад

    Kama ni mimi ndio lisu simujibu maana kila kitu anakijua

  • @pillymohamed3100
    @pillymohamed3100 14 дней назад

    Mfano ukitumiwa pesa kwenye simu auna sababu ya kupiga hesabu inakuletea jumla ya pesa zote yenyewe

  • @ellymartin9343
    @ellymartin9343 14 дней назад

    Maelezo Kama hayo ya nahitaji busara za mtu kama Mbowe.

  • @MetalcomTraders
    @MetalcomTraders 14 дней назад +1

    Tundu hufai kuwa kiongzi kabisa...unamatamshi ya kibaguzi...umetaja uzanzibar na umwanamke wa Rais...wewe ni wakuopwa kama covd...ndani ya Chadema wanawake hawatakiwi?na vipi Wazanzibari waikatae Cdm waikatae znz...huna hoja kabisa....Huna uwezo wa kuongoza TAIFA.

  • @knight6757
    @knight6757 14 дней назад

    Huyu mtangazaji anaishi Tanzania ..au?

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 14 дней назад

    Tundu lisu nyoosha maelezo ulipewa hela?, acha ujanja ujanja wakutumia taaluma yako ya sheria kukwepa kuwa hukuchukua hela kwa Abdul. M bona kwa maelezo yako unaonekana nawewe ulipewa hela na Abdul kwa maelezo.

  • @LawrenceAugustino-t4h
    @LawrenceAugustino-t4h 14 дней назад

    Banaee pesa haikataliw banana hataulipopatashid ulisaidiwa nanipesa ilitumika utasemaje hutak msada

  • @AbdullahAhmed-t7p6l
    @AbdullahAhmed-t7p6l 14 дней назад

    Tundulisu is the clean man you will strangle looking anything to destroy his capacity politics in Tanzania but rong mtatafuta. Kumpaka matope lakini you can't get it

  • @HemedSud
    @HemedSud 13 дней назад

    Jibu maswali unayo ulizwa

  • @JumaNdizu
    @JumaNdizu 14 дней назад

    Odemba achana na huyo mihuni asitufanye watanzania wote .ni wajinga kama anavyoojiona yeye ni msomi Dunia nzima huwezi kiongoza nchi kama mke wako. Huyo anataka naye ale Kodi zetu hana lolote Wala mabadiliko

  • @MwanduMachiya
    @MwanduMachiya 14 дней назад

    Mpe elimu

  • @GasperKapungu
    @GasperKapungu 14 дней назад

    Mmmh jamani bora mbowe tu aendelee tusifate mihemko ya muda mfupi tusije tukakiua chama chetu jamani

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 14 дней назад

      Akili unazo ila ndogo sana. Au hujui siasa. Au wewe ni ccm. Mbowe akiendelea. Chadema kwisha.!!!! Itakua ya nini sasa? Ila akisjika lissu ccm. Iko hatarini sana. Ndio maana, ccm qanamtaka mbowe.

    • @edgarmbegu1974
      @edgarmbegu1974 13 дней назад

      ​@@zawadimbwambo1091yaani unaamini kuwa Lissu anaweza kuiangusha ccm?

  • @aganolamotoeliya2027
    @aganolamotoeliya2027 14 дней назад +2

    Hufai kua kiongozi bado hujakomaa.

  • @ShabaniHamis-fx8my
    @ShabaniHamis-fx8my 14 дней назад

    Uzishi wa lissu ni nini lissu apendi propaganda anasema ilivyo

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 14 дней назад

    Koma we lifisiemu mama yako ndio anatumwa na wajerumani watanganyika tynamtaka lisu we mpigie huyo mwenye meno marefu

  • @Davivancee
    @Davivancee 14 дней назад

    tunamtaka lisu ,mbowe tumemchoka hakuna mabadiliko mambo ni yaleyale miaka 20 xaxa akiendelee sioni atakachobadilisha tunataka akili mpya na mabadiliko mapya

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 14 дней назад

    Huyu mropokaji kweli yani mtu km huyu afai kua balozi w nyumba 10

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 14 дней назад

      Maneno ya waovu hayo, unaficha nini mpaka ukimbie kuita wenzako waropokaji. Hiyo ni misemo ya waovu wa taifa hili. Wanao jidai wanamiliki hekima.

    • @festokivuyo7121
      @festokivuyo7121 14 дней назад

      @@GodfreyOsward akuna kitu kuna maneno ya mtu binafisi sio unaropoka kila kitu na kama huna siri ww ni mtu ovyo na ndio maana chadema wana muofia huyu si mtu mzuri ajanikosea lkn mm sasa nichague mtu kama huyu heri nikae bila kupiga kura huyu ndio mtu asie nakifua ya kuficha chochote ni mjinga bona yesu alikua akiponya mtu unasema usimwambie mtu huyu anaropoka kila kitu akiwa raisi nini atashindia kuropoka tu

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 14 дней назад

      @festokivuyo7121 Hajawai kua Raisi hofu ya nini? Kama Mungu awe atakua. Kama hakupanga hawezi. Ni mtazamo wetu tofauti juu ya mambo fulani. Neno hilo limetumika vibaya kuadaa umma. Ili kuzima wema wasijitokeze kuongoza. Hili si kwa chadema ni kote. Sema ukweli utengwe. Ustaarabu na funika funika ni kikwazo cha maendeleo yetu. Kwenye siasa lolote linaweza tokea

    • @festokivuyo7121
      @festokivuyo7121 14 дней назад

      @@GodfreyOsward si huyu lkn huyu awezi kua raisi milele kwa hili mdomo ya kuongea ovyo atakua ata afanye nn uja ona Julia's malema wa Africa kusini ni kwa sababu ya kuropoka kuongea sana haina matiki yyt

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 14 дней назад

      @@festokivuyo7121 Chama kikipata ushawishi wa kutosha kama wa CCM. Anaweza kupata. Na yeye ataongozwa kama wengine. Raisi naye anaongozwa. Tunasikia Uraisi ni taasisi.

  • @makusaro2289
    @makusaro2289 14 дней назад

    Onyeshalist

  • @venancemartin6734
    @venancemartin6734 14 дней назад

    Huyu mwandishi kwan vp??, leo capacity ya kuuliza maswali ni 0

  • @Mkopi-TZ
    @Mkopi-TZ 14 дней назад

    Lissu acha hizo siasa za kushambulia watoto wa watu
    Wakifanya hivyo kwa watoto wako utakubali?
    Ah nimesahau wako umewaficha kwa mabeberu

  • @BITOCHENGUX
    @BITOCHENGUX 14 дней назад

    Mbowe mtombe Lissu

  • @marymremi1051
    @marymremi1051 14 дней назад

    huwezi kuropoka mtandaoni kitu ambacho ni hisia .watu wanatafuta pesa wewe unaomba pesa inaonyesha wewe sio mchumi ukiona mtu mwenye pesa unafikiri rushwa tu. ktk taifa hili kuna fursa nyingi mfano wakina Boniface ni wafugaji wrwe ni mwanasheria huwezi kupata ml za kununua gari? we ni maskini wa roho

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 14 дней назад

      Rushwa huo inafikiriwa tu. Tuko wote Duniani mapato ya Rushwa na shughuli za mtu yanajulikana tu. Rushwa ni cancer hilo si la Kubishaniwa. Tunanuka Rushwa halina ubishi ndugu..

  • @uwesusinde9976
    @uwesusinde9976 14 дней назад

    We ni mtoto nini haijawahi tokea ktk historia wakati nyerere kaua watu mchana kweupe.

  • @marymremi1051
    @marymremi1051 14 дней назад

    mbona mlisema kuna dalali nani atakuamini kama ni kweli maana nikitu unachosimama nacho kuwa ni mtu msafi na kama ulijua abduli sio kiongozi mbona ulimueleza madai yako

  • @mbelyterry1584
    @mbelyterry1584 14 дней назад

    mbona kama unamtanguliziya maswali na wakati ahaja maliza ambalo ulimuhuliza nikama vile umetumwa na upande wapili au una muwahooo

  • @RukumanAbdul
    @RukumanAbdul 14 дней назад

    Tunamtaka LISSU

  • @huyu1993
    @huyu1993 14 дней назад

    Uyu ni dalali wa nchi yetu lazima tuwe makini nao

  • @KopiscoIsaya
    @KopiscoIsaya 14 дней назад +2

    Tundu LISU hunajipya,unatwangwa maswali unashindwa kujibu,unabwanwaka tu maneno,wewe kwangu mm nakuona mpotoshaji kama wapotoshaji wengine,haunchochote.

    • @joykapaya1970
      @joykapaya1970 14 дней назад

      Maswali anayajibu, tatizo muuliza maswali hana utulivu wa kuuliza

  • @huyu1993
    @huyu1993 14 дней назад

    Uyu tusipokuwa makini nae nchi ataitia shimoni,uyu ni dalali wa nchi yetu,jamani tuweni makini,mimi sifikiri kama watu wa aina hii kama hawana chembe chem be e za ukimbizi

  • @stonebig12
    @stonebig12 14 дней назад +1

    Hicho kibaba sikipendagi