Matangazo ya Dira ya Dunia TV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 12

  • @seifhamisa4596
    @seifhamisa4596 6 месяцев назад +7

    Hawa viongozi wetu wa Africa siyo watu wazuri hawatupendi wananchi wao

  • @ezekielezekiely8476
    @ezekielezekiely8476 6 месяцев назад +3

    Viva wakenya,watawala wa africa wanafiki mno.mafisadi wa mali na fadhira.pumbavu mno

  • @sirajimsuya6226
    @sirajimsuya6226 6 месяцев назад +1

    Safi sana wanaich wa kenya

  • @NoordiinIbrahim
    @NoordiinIbrahim 6 месяцев назад

    Hongera was kenya kwa kupingonga mswsda hiyo

  • @DicksonGeorge-ts8ce
    @DicksonGeorge-ts8ce 6 месяцев назад

    Mko sawa nikukiwasha2

  • @Artiukh
    @Artiukh 6 месяцев назад

    🇺🇦 nashukuru sana

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 6 месяцев назад +1

    Tusiwalaumu viongozi tu, hata wananchi wenyewe ni wizi,
    Kila mtu anadhulumu ma alipokuwa..
    Solution ni watu wote wajirekebishe viongozi n wananchi wote, tamaa ni mbaya.

  • @GadiEdiomwakanyamale
    @GadiEdiomwakanyamale 6 месяцев назад +1

    Vijana walio kuwa kisiasa na uelewa mkubwa

  • @ezekielezekiely8476
    @ezekielezekiely8476 6 месяцев назад +1

    Uongo mtupu,waziri mnafiki.ndo wahusika wa uchawi wa ccm

  • @DicksonGeorge-ts8ce
    @DicksonGeorge-ts8ce 6 месяцев назад

    Viuongonzi waafrica wanazarau San wanayo ungea kbra ya madaraka nitofaut nabadaa ya madaraka wanajar matumbo yao hawahui niwalonzi wawanannch nalasili Mali za nnch

  • @peternboss5561
    @peternboss5561 6 месяцев назад +2

    wabunge wetu ni walafi ,wa haidiwa, c,d,f 200m dio wa pitise mswada huu.

  • @MRHURUMAHuruma
    @MRHURUMAHuruma 6 месяцев назад

    Hizo ni kafara wala siyo joto