.I am From kenya..,sauti sol hawaJawai kunianGusha..,I was attached to these Guys From their 1st sonG waliachia..,PURE TALENT...!!!.,much love @sautisol
The dopest guys from my nation and very well known they are super star. Simple, cool and no pride but talented. Proud of you @Sautisoul. Interview was lit
Seattle, Washington interview ilifika loud and clear::::: how vijana waoe, waache smash smash...ata Amberutti, tutawaletea maji ya barafu JKIA mkaoge kwanza!!!🏃♂️🏃♂️🇺🇸🇺🇸🇰🇪
.I am From kenya..,sauti sol hawaJawai kunianGusha..,I was attached to these Guys From their 1st sonG waliachia..,PURE TALENT...!!!.,much love @sautisol
Huyo dame amesema Ngai aki kikuyu iko hadi international
Hahaha
Jamaa wanavipaji sana after then wapo simple sanaa!
Sauti soul congrats mumetuwakilisha vilivyo
Huyu dem mweupe nikama amempenda savara yaani anamwangalia kweli daaah. Hope mumenotice
So uliwai kufanya interview ya kazi
Wa Kenya wa napenda Wana wake naturel
I like the way Bien is congratulating Diamond for his good work across Africa
Gonga like hapa kama hii njo best interview of the year
Oyoooo the best interview like this big up men mumetuwakilisha vizur #+254 tuko juuu
wapi like ya simple boy
Bien,achie wenzako fursa ya kuongea.Asante🇰🇪
Hii interview iko so real, media stations zinafaa zirespect hustle ya musicians
Hawa jamaa ni wanamuziki kweli kweli aisee wanajua mpaka wanaboa
Hii ni shoo Kali sana kwa block 89 kiukweli jamaa wanafunguka mambo mazurii saana !!! Good
Black girl napenda sana anavyoongea, 254baby
Eh bhana sana kuimba Live. Very sweet voice wht a feelin
The presenter in yellow is by far the best interviewer. Her questions are well researched depending on the person she's interviewing
True.. ana fanya research kali saana.. ata lilomytv ako sawa
Ivi jaguar kama unaona hii interview how do u feel watu wapo happy na ndugu zao
The dopest guys from my nation and very well known they are super star. Simple, cool and no pride but talented. Proud of you @Sautisoul. Interview was lit
Interview was lit....ladies kwa studio mko fiiire mko na details sana
Savara is the guy in this interview🤣🤣🤣man u killed it.
Hawa Jamaa napenda kiswahili yao, Yani iko na Swagg like mpaka unafeel sweetness kwa yenyewe
Inaitwa Sheng
Haki mkijua venye sisi pia hu admire Swahili yenu. .
Kenyans are the best
Sheng ilizaliwa Kenya manze
Tunawapeleka na rieng
+254 Damu i like the intelligence viongos wanajibu maswali nayo...
sautisol for life
Hapo kwa wanaija amesema ukweli, kuperform hawajui...
Ugandans iko wapi,come and comment in kiswahili... Chei!!!
The Best Interview Ever,, 💪💪💪👏👏👏👏
Hawa ni wasanii kweli.. acapella imeweza
We lv u sauti sol.U always make us proud.Interview zenu zinakuaga more fire🔥🔥🔥🔥
Aki Bien ni fisi zote tuh ni smash wapi likes za sauti soul 254
tukiachia mbali ufala tanzania nakenya ndonchi ambazo zinapenda Africa nzima
Sauti sol is the real deal...👏👏👏
wyclife mong'are fala ni sauti wa si saudi
ejidios kabiru hahaha I would have replied with a lot of bile but I’m pretty sure you don’t know what typo is, I rest my case.
Yep
Napendag kiswahili cha Kenya raha tupuuu wachangamuk san
Pia sisi huku tunakipenda sana kiswahili chenu.
@@gamalsankara1388 acha uwongo
Evelyne Engado niwache wewe burukenge
Mbogi ya mambleina wakasmash 😂. Kenya's colloquial Swahili is a whole language on its own. Vijazi, semi na vilaza tupu!
if u watching from South Africa.. like
uyu dem wa yellow anadharhau kenya hajui tunaeza mnunua akue ka pet wakenya atupendi umama
*show iko juu mbaya thanks wasafi tv*
Feeling represented. +254🔥🔥🔥🔥🙏
nawapataaa vizur sana like zangu mm wakwanza Leo
From Mombasa
Sasa mazeee amna vitii jama wana chokaaaa
Kytet Mackam
WatuWengi sana bro, even you, utafikiri walikuja club...????😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@RamazaniMulongeca nomaaaaaa😂😂
@Change Mindset 🤣🤣🤣🤣
My question too
Kundi lote hivyo viti umesikia wapo baa apo
Inteview ikopoa sana ila tatizo moja tu madada wamezidisha kelele
Combination ya Kiswahili cha Tz na Kenya ni mofayaaaaa😂😂😂😂😂
Lol!😂😂😂👊
Tanzania British English Kenya Jamaica English umenibamba
Sauti sol is a true defination of Kenya,, hakuna kujibana bana
😄
Hawa jamaa wakopositive minded sana
people spoke their hearts loud ❤🌸
Big up Sauti Soul. Na hamna viti mbona wageni wanasimama jamani
Seattle, Washington interview ilifika loud and clear::::: how vijana waoe, waache smash smash...ata Amberutti, tutawaletea maji ya barafu JKIA mkaoge kwanza!!!🏃♂️🏃♂️🇺🇸🇺🇸🇰🇪
Nigerians ni wengi, wako kwa ma ofisi makubwa
Wamlambez😂, this phrase will neva grow old!!!
Wamnyonyez😂
Show ya leo kali sana
Really enjoyed sana big up
Penda nyinyi sauti sol@quality music.
Nairobi
Eldoret represented
Sautisol also marketing other artistes oh my 🙋♂️🙋♂️
Sikuitolea comment
Interview mpaka mulivyo
Maliza kwel munajua kuimba live
Interview was lit en jovial...big up sauti sol
Awajamaa wanaishi kifamily zaid
Waooo very talented I love u saut Sol short and sweet
Representing 254
Joni joo..uwa yuko mbele sanaa
Yeah yeah , sauti soul big up guys , men with contents, I'm sharks world from Nairobi kahawa wendani. Ilove you guys
+254 in the house watching from Saudi Arabia pitieni hapa team notification
Nawapata live toka Bahrain 🇧🇭
Sauti solo ni respect
Acheni kingereza bhna mbona hao wanapenda kuongea kiswahil kwann kama mnawalazimisha hv waongee kingereza
Yan wa bongo mnaamua kujitafutiya soko mumeona wanawak wenu hawaolew polen sn
Sauti sik wanabonga kiswa ya Kenya kweli kweli💥
Yeah,,we Kenyans we are proud of our Swahili
Very lively interview
Wale ma bodyguards pale nyuma ata hawacheki au izi jokes zote hazichekeshi ?
Shabby theezaddy mwehu wewe😂😂
😁😁😁
To be called a bodyguard you must have unique qualities my friend
You guys dont try to assume ,hamkuskia singular? At 47:33 instead of single. Like kama umeskia
Bro yuo didn't go to school you don't what the mean of singular its mean single. Singular and plural
Yani interview imechangamka hadi raha
mko vzr mazee
Sauti soul🔥🔥💪💪
Nakubal
Savara ongea legit wacha kujifanya unaongea kama mtz
The black girl🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Good job wasafi. Love from Kenya
Jamaa nimewapenda saana hawa wako vizuli
Show ya kibabe
Savara and Bien you killed the talk smash
maasha.allah sauti so
Wahulize nani mu Congo apo
Wote ni wakenya
No one
Luos,hawana tofauti kubwa na wa Congo.
Infact wajaluo wamependa congo music miaka yote
my Gad ,Uhuru anacheki soko la bangi
It's lit🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wapo motoo
Kuna ukweli hapa umezungumzwa
Sema mtu imara hapana jaamaa ni chengaa
waache mihadarati
so sweet sana ours fast ❤️
Jonijoo hua napenda maswali yko na mm ni fan wako no 1 tangu enzi za NOW YOU KNOW
Nakushow kenya ndio kusema East Africa
Bien is the lady’s man
Sure this guy is hot😘
it's true aseeeeee...
Kwn savara alitaja konde boy wakachomoa betry
big one sauti soul ,,,nduru ya 254
Imeshika
Huyo wa kumulikwa ana?
🇰🇪 🇺🇸 represents
Jamani mondi anafanya makubwa mnooo jamani ila huwezi kuona kwa ukalibu ila baadae utajua nini namaanisha
Kwann broo
Bien ndio kusema✊
Bien ndo hukuwa spokesman wao
Anajua sana kujiexpress
Wamlambeeeeeeeeez
Jamaa wako vizuri
Show kal world-wide