Much love ❤️ 😍 kwa wanakwaya ila ambia hao madada zangu MUNGU ansema mapambo sio yangu ama unless kuna MUNGU mwingine munamuimbia bt not Jehovah GOD mwenye aliumba mbingu na nchi aliye toa aibu kwa Annah alipodharauliwa na penina aliye weka tabasamu kwa Sarah kwa kumpa mtoto kwa ile umri na kama ni the same GOD tell them to change ama kama mnadhani nadanganya waambie wasome kitabu cha 1 Timothy 2:9-10 ama 1 peter 3:3-5 mtapata jibu ama 1 corinthians 11 yote mtapata jibu Amen 🙏 muwe kama paulo alivyosema nisije nikahubiria watu nami nikabaki siku za mwisho sasa hao wanadada wanabariki watu nao wako na vitu za yezebeli surely 😢😢😢😢 please 🙏 people's of God let's change
@@ABANTUFIERCE soma izo vitabu nimepeana hapo ndo ujue kile MUNGU anachukia wacha kujibu kitu ujui wewe ndo unacomment negative acheni kupoteza injili Kusuka nywele na kuvaa earing na vitu kama izo nambie mahali pameandikwa kwa Bible ata kama wana wa Israel walikatazwa wazitoe ndo waingie kwa ile nchi ya ahadi so wewe ni nani unakosoa chenye MUNGU hataki
@@YESUNIBWANA84 Tunasoma maandiko lakini kuielewa kiroho ndio shida, acha kuelewa maandiko kimwili. Urembo wa mwanamke ni muhimu. Elewa maandiko kiroho na hautapata tatizo hata kidogo. Then a true christian does'nt correct someone in public. Mathayo 18:15-18 15 “Kama ndugu yako akikukosea, nenda ukamwambie kosa lake mkiwa ninyi wawili peke yenu. Akikusikiliza, utakuwa umempata tena ndugu yako. 16 Kama hatakusikiliza, nenda na mtu mwingine mmoja au wawili kusudi wawepo mashahidi wawili au watatu wa kuthi bitisha jambo hilo. 17 Akikataa kuwasikiliza, liambie kanisa. Kama akikataa kulisikiliza kanisa, basi mhesabu yeye kama ni mpa gani au mtoza ushuru. 18 “Nawaambieni kweli, lo lote mtakalokataza duniani lita kuwa limekatazwa mbinguni. Na lo lote mtakaloruhusu duniani litaruhusiwa mbinguni.
@@Minister_Silver ok nimekuelewa vile unasema bt bora mimi nimsema na ni amri kutoka kwa MUNGU yeye mwenyewe ndo alinituma niambie makanisa bora tu damu ya mtu haitakua kwenye mkono wangu kwa maana niliambiwa nisiposema nitadaiwa damu ya kola mtu mwenye nimeona na sijasema infuct ata mimi sio perfect bt I'm trying mapambo c ya BWANA WA MAJESHI alisema angetaka kukuumba ma nywele ndufu kama wazungu angetuumba lakini anasema nikama tunamwambia akuutumba vizuri ndo maana tunmuonyesha vile alifaa kutuumba na kama nimekwaza mtu kwa kusema ukweli I'm so sorry bora tu mimi nimefikisha ujumbe mapambo c ya MUNGU please 🙏 mnielewe
God bless you brother , I'm in USA and tonight you bless my night at work well you're singing I feel protected and safe under the power of my God 🙏🙏🙏
Wow....youre truly anointed
More grace in youre ministry
i have been blessed 🙏
My GOD coutinue liffting yuo up🙏🙏🙏🙏🙏 ilove your songs ....much blessings🙏
Mubarikiwe Sana watoto wa Mungu.❤
Asentisana bwana yesu
God bless you you're going far
Wau,baraka tele
Wow good job GOD blessed you servant of GOD🙏🙏🙏
Nice compilation💃💃🕺💃🕺🕺 halleluyah... God is great🙏
Sifa ndio hii Sasa mpaka unajisikia kutetemeka kazi yako ninjema sana MUNGU azidi kukufanikisha kwasababu tulikosa vitu kama ivi muda mrefu🙏🙏🙏🇮🇱🇮🇱🇮🇱
Much blessed,mungu awabariki sana team Danny, Jesus is mine indeed.
Jesus is mine all times team Danny bless may God continue to bless you ❤
Kazi poa mtumishi 👏👏👏👏may God keep you to continue blessing us with such wonderful voices
Hakika nimeona kwa macho.barkiwa sana .
God bless us
Much love ❤️ 😍 kwa wanakwaya ila ambia hao madada zangu MUNGU ansema mapambo sio yangu ama unless kuna MUNGU mwingine munamuimbia bt not Jehovah GOD mwenye aliumba mbingu na nchi aliye toa aibu kwa Annah alipodharauliwa na penina aliye weka tabasamu kwa Sarah kwa kumpa mtoto kwa ile umri na kama ni the same GOD tell them to change ama kama mnadhani nadanganya waambie wasome kitabu cha 1 Timothy 2:9-10 ama 1 peter 3:3-5 mtapata jibu ama 1 corinthians 11 yote mtapata jibu Amen 🙏 muwe kama paulo alivyosema nisije nikahubiria watu nami nikabaki siku za mwisho sasa hao wanadada wanabariki watu nao wako na vitu za yezebeli surely 😢😢😢😢 please 🙏 people's of God let's change
True sister
Wewe unajua mapambo kweli? Hapo hakuna mapambo. Anyway Dan kwa RUclips avoid negative comments
@@ABANTUFIERCE soma izo vitabu nimepeana hapo ndo ujue kile MUNGU anachukia wacha kujibu kitu ujui wewe ndo unacomment negative acheni kupoteza injili Kusuka nywele na kuvaa earing na vitu kama izo nambie mahali pameandikwa kwa Bible ata kama wana wa Israel walikatazwa wazitoe ndo waingie kwa ile nchi ya ahadi so wewe ni nani unakosoa chenye MUNGU hataki
@@YESUNIBWANA84 Tunasoma maandiko lakini kuielewa kiroho ndio shida, acha kuelewa maandiko kimwili. Urembo wa mwanamke ni muhimu. Elewa maandiko kiroho na hautapata tatizo hata kidogo. Then a true christian does'nt correct someone in public. Mathayo 18:15-18 15 “Kama ndugu yako akikukosea, nenda ukamwambie kosa lake mkiwa ninyi wawili peke yenu. Akikusikiliza, utakuwa umempata tena ndugu yako. 16 Kama hatakusikiliza, nenda na mtu mwingine mmoja au wawili kusudi wawepo mashahidi wawili au watatu wa kuthi bitisha jambo hilo. 17 Akikataa kuwasikiliza, liambie kanisa. Kama akikataa kulisikiliza kanisa, basi mhesabu yeye kama ni mpa gani au mtoza ushuru.
18 “Nawaambieni kweli, lo lote mtakalokataza duniani lita kuwa limekatazwa mbinguni. Na lo lote mtakaloruhusu duniani litaruhusiwa mbinguni.
@@Minister_Silver ok nimekuelewa vile unasema bt bora mimi nimsema na ni amri kutoka kwa MUNGU yeye mwenyewe ndo alinituma niambie makanisa bora tu damu ya mtu haitakua kwenye mkono wangu kwa maana niliambiwa nisiposema nitadaiwa damu ya kola mtu mwenye nimeona na sijasema infuct ata mimi sio perfect bt I'm trying mapambo c ya BWANA WA MAJESHI alisema angetaka kukuumba ma nywele ndufu kama wazungu angetuumba lakini anasema nikama tunamwambia akuutumba vizuri ndo maana tunmuonyesha vile alifaa kutuumba na kama nimekwaza mtu kwa kusema ukweli I'm so sorry bora tu mimi nimefikisha ujumbe mapambo c ya MUNGU please 🙏 mnielewe
Great Work let Gods name be lifted higher for Jesus is mine Amen
Na ona niko kanisani nasikia kubarikiwa
God bless you and your team
Be blessed minister of God.Great praise.
Wow hallelujah thank you
Nabarikiwa sana 🙏🙏🙏
More fireeeeeeeeee🔥🔥🔥🔥
💃💃💃💃💃💃💃 Amen
A powerful song❤
Amen
plz may i let me know where is this ministry found?
❤❤❤❤❤