Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Vizuri!!! Nisaidie mvunjo wa nota do ikivunjwa itaitwaje au itaimbwaje
Nimekubali uko vizuriii dada
jamani dada naomba unifundishe kuimba vzur Mungu atakubariki me nipo Mbande magengeni❤❤❤
Mungu akubariki sana dada endelea kutupa vitu vingine tena ili tuendelee kujifunza
Upo vizuri mtafute Masta kiki mubadilishane ujuzi
👍👍👍madame iko vzr 🙌🙌pamoja mwl wetyu
Asanteee
Naenda kuimba naitwa bosco nipo morogoro
Waoooh 🎶🎸 NC . Upo vyema
Uko vizuri naomba namba yako nahihitaji kujifunza
Hongera Mwalimu ila zoezi la pili sijalielewa
Nice lessons,,,though apo kwa kuimba kutoka doh ' ti ,lah soh fah, mh, ray, doh. From soh to fah is a tone umeipiga semitone.very keen but the lessons are nice
Barikiwa sann😊
nami napenda sana kuimba jenakupataj
So good am learning from you thanks
Jamani me Niko Dodoma nataka kujifuza kuimba jaman
Nabalikiwa mno na weyeeeh Bibiyeeeh
Amina sana God bless you
Naomba nitumi hiyo video kwangu madam❤
Nimependa...sana
Nice lesson 😘
Hili darasa lipo wapi tuje jamani tunataka kujifunza toeni direction
Tuwe na group la whatpps bas m NAPENDA sana niwe mtaalam wa haya mambo ya mziki
Heloo..nahitaji kujifunza kuimba nifanyaje
Thank you my teacher
Dada samahan happy just nimeona vibaya au mbona imeandikwa Dore wewe unasema dale
Uko vizur teacher
Hongera
Saju Diamond apa nakupa heshima upo gud
Kazi nzur but hapo unapoanza kuimba kurudi nyuma jitahid kuimba note kwa mlio wake coz umebadili milio ya note ni hay tu......
Suzana your namba jaman
Suzy mdogo wangu hongera Sana mama ,kazi yako njema 🙌🏽🙌🏽
Ila mdg wangu jaman una kasaut Alf me dada akoo sinaaa
usijali .. unawezaaaa dada angu uko vizuri piaaaa
@@Mazoezi-x3v tupelo hata namba bac utufundishe
Mm nataka uwe mwalimu wangu unifundishe kupangilia saut sijui
Nataka uwe mwalimu wangu unisaidie kupanga sauti
Napenda sana
Vizuri
Asante sana dada❤
Habari ili kutengeneza koo ni lazima upige kelele kwnguv...???
Safi uko vzuli
UK good
Hizo nota mbona ni za mchongo mh...😮
Asante san❤❤
Msukumu wangu
Nami piya furahi sana napenda kujuwa kuimba tufunze ili tupate kujuwa
Please madame naomba kujuah saut ya pili coz napata shida sana
Suzy naomba namba nahitaj kujifunza zaid
Hey nataka unifunze sauti inyoloke plz ata kama ni live nitashukuru
Nambaa ako ya whasapuu
Hello my sister
Dada Suzi nataman nijue kuimba kama wew
Amen. Barikiwa Sana
Kaz nzul
Naomba unisaidie No zko za tsupp niendelee kujifunza
Amen
Mama unajua nmekubal
Kweli nilaisi sana na ubalikiwe
Apo nimekuelewa mrembo
Dada naomba namba yako nikuchek sap plz
Nice kabisa
Simsim official💥💥
😢😢😢ongera Dada anguh
ahsant dada
Nimependa vipind vyako ila nimechelewa kukufahamu
Unasauti tamu😄
Asnte
Karebo
KwemaNapenda
❤
We ukila k2 kwangu.
Vizuli sana
Ubarikiwe Sana mwalimu wetu Yani Mimi napenda Sana nijuwe
Naomba unisahidiye namba yako ili tuwe nawasiliana,usikilivu mwema
Naomaba jamani kujifunza kuimba
Nice
Natamani unifundishe na mie sijuw ntakupataje.
Nahitaji kujua uimbaji dada jilala
Mana natamani kuelewa uimbaji
unaimba visuri
Mambo vp
D,r,m,f,s,l,t,d.....do,re,might,fa,so,la ti,do...mwalimu tofautisha re na la.
ok
dada wewe umerekod wimbo wowote?
Waooooooooow
Waao
Mambo
jamani natamani niwemwimbaji Kama wewe lakini nashindwa nifanyeje
Wahoooo
Mwalimu hongera kwa kazi nzuri ya kuelekeza sauti,wewe ni binti wa mchungaji Jilala wa Kahama?
Ndiooo
Mh! kaz nzul kwa mwendo huu na me nitajua kuimba
Dada mm napenda kuimba ila sijui nifanyaje ili nijue
Mbona unaaga chap kanamba vipi
Mimi ni mwanafanzi wako nimejifunza Muzik kupitia wewe
Mim niko mafia natak kujifunza kuimba
Msaada email yako kwa mafunzo zaid
suzanacute@gmail.com
Vp nahitaji kujifunza nakupataje nipo dodoma
Nawezaje Kukufikia kwa kunifundisha Live ili Ujue Madhaifu yangu ni Yapi hapo na Gharama zake
Oooh karibu tuma ujumbe wako kwa Email address: suzanacute8@gmail.com
Tumia Email: suzanacute8@gmail.com
@@Mazoezi-x3v Mommy naomb namb yako
@@damalismagawa2997 naomba namba yako nikutafute
@@Mazoezi-x3v naomba no zako pliz nami nko kahama nataman tuonane ana kwa ana plz
Naomba contact zako nahtaji ushauri
suzan nimependa nataman kujua

Kwema
Napenda

@@Mazoezi-x3v
Mommy naomb namb yako