Bwana bin Seif , Sheikh Mohamed amekosea kutueleza taarikh ya mitaa. Ali Nathoo alikuwa Khoja Ithnashiri na Mawji Nathoo alikuwa Baniyani, vipi watakuwa ndugu ?? Tajiri mkubwa DAR zamani alikuwa Poonja Nathoo Khoja Ismailia. 9:26
BAJA ,(KWAHANI) TO BOMANI (KWAHANI) ,TO KWA ALI NATU TO HADI MIEMBENI MUEMBE NNJUGU NGAMBO STESHEN KIJANGWANI KARIYAKO KWA ALIMSHA DUU ZAMANI SANA TUKIPUYANGA
kipind kizur sana Bin seif jitahid kutuekee na zengine zijazo inshaallah.. p1 na kile kipind cha tiff doctor kutok tiff 📺 shukran
daaaah kwahani ndio home kabisa babu, well done kwa kunifahamisha
shukran..nimeelewa
hiyo makadara ndio nilisoma mpk nikamaliza LA saba. Unakumbusha mbali sana Mzee, let's vitu ss tunavisubiri
Bwana bin Seif , Sheikh Mohamed amekosea kutueleza taarikh ya mitaa.
Ali Nathoo alikuwa Khoja Ithnashiri na Mawji Nathoo alikuwa Baniyani, vipi watakuwa ndugu ??
Tajiri mkubwa DAR zamani alikuwa Poonja Nathoo Khoja Ismailia.
9:26
mashallah
Kijangwani ndio home kabisa
Kijangwan no home kabisa
BAJA ,(KWAHANI) TO BOMANI (KWAHANI) ,TO KWA ALI NATU TO HADI MIEMBENI
MUEMBE NNJUGU
NGAMBO STESHEN
KIJANGWANI
KARIYAKO
KWA ALIMSHA
DUU ZAMANI SANA TUKIPUYANGA
Kama Gulio maana yake ni hiyo. Basi Market na Soko kiswahili chake ni Gulio
kwa hani baja
Anatoa historia lkn anapanga uhalisia na ukweli ni mdogo
Sasa ww tupe uhalisia mkubwa ,Yy katupa mdogo
Huyu mzee hajui maana ya jangwani 😅😅😅😅
Tupeww unojuwa sasa