KWA MARA YA KWANZA HAMISA MOBETTO ATETEWA NA JUMA LOKOLE BAADA YA WATU KUMNANGA KUIBA WAUME ZA WATU!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 10

  • @mayrose9772
    @mayrose9772 5 месяцев назад +6

    Wivu unawasumbua mana hamisa kila kitu kawazid❤

  • @elit3_furor517
    @elit3_furor517 5 месяцев назад +4

    Hamisa kuwa makini katumwa yule lokole usimuamini ❤

  • @LuluMalima-j1w
    @LuluMalima-j1w 4 месяца назад

    Asante, jamani you are not god.
    Women judging another woman really.
    Hamisa you rock girl.
    Juma wewe whst happened sasa wewe na kaka yako mumechoka kumgandamiza mdada wa watu, alhamdulilah ❤❤

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 5 месяцев назад +2

    Wana wivu tu hao watu wazima hovyo mbona awasemi kama Elizabeth na joket walimuaribia kwenye mausiano yake

  • @sweet16honey75
    @sweet16honey75 5 месяцев назад +1

    Mimi nashindwa kwani Hamisa yupo Na wazazi wangapi mbona mama Mobeto haya mkeri tafadhali Sisi Mama zetu ambao Ni Wanyamwezi tupo hatupendi mnayo ongea kuhusu Hamisa

  • @ArRahman-ih1pi
    @ArRahman-ih1pi 4 месяца назад

    Kwan hawa wasanii wana shida gani wasotafuta ndo wakastirika jmn hii dunia mapito😢

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 5 месяцев назад

    Vibgine vitupite jamani 😅😅😅

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 5 месяцев назад +1

    Wenye ndoa na pete zao wanaachana kila kukicha sembuse hamisa

  • @elit3_furor517
    @elit3_furor517 5 месяцев назад +1

    Ukiona ivo juma lokole kisha temwa kwa mama diamond na wasafi

    • @maryamm7765
      @maryamm7765 5 месяцев назад

      Naona juma aelewani na zuchu simuoni kupost ila daimond tu ndio ana mpost