Usikate Tamaa Na Rehma Ya Allah | Shk. Muhammad Bahero

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024
  • Daima usikate matumaini ya msamaha wa Mola wako kwani Allah mwenyewe kakuahidi kukusamehe.

Комментарии • 7

  • @yisufaboubakar8349
    @yisufaboubakar8349 2 года назад +2

    Napenda darsa Zako mwalim

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 3 года назад +2

    Sheikh nakupenda kwa ajili ya ALLAH yaani now nafatilia sana darsa zako

  • @AsmaaMohamed-q2o
    @AsmaaMohamed-q2o Год назад +1

    Maasha allah allah azid kukup umri mref na elmu yeny manufaa na khery kwak azid kukuhifadh amiin yaa rabby tunakupend saan

  • @rehemaothuman3764
    @rehemaothuman3764 2 года назад +1

    Allah atusamehee sote

  • @alisaid6838
    @alisaid6838 3 года назад +2

    Aa ustadh unapatikana msikiti gani napenda darsa zako

  • @bugystar8659
    @bugystar8659 3 года назад

    Aslm alkm
    Sheikh naomba kuuliza
    katika kitabu cha sh fauzan katika mlango wa ndoa utakuta mtiririko wa mawalii miongoni mwao ni mtoto wakuzaliwa nahuyo mama swali langu je mtoto wa nje ya ndoa anaweza kumuozesha mama yake?