Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Safi sana ndugu yangu Michael Kembaki,hongera sana mpiganaji.
Hapo unakosea,Hujui mkuu wako tunamdai 50m?Si alitudanganya
Hivi miundo mbinu, umeme vijijini umelitwa na pesa gani? Kwa maono yako mafinyu, ulijua unapewa milioni 50 cash? Hizo shule na elimu bure huoni kama pesa? Nenda shule ya watu wazima ili uweze kujua maana ya ahadi hizo.
huyu mgombea ubunge aliyeletwa na ccm,ni bure kabisa.hana mvuto,ushawishi wala kukubaliwa.cjui wamemtoa wp huyu!!!
Tena ww hapo huna chako.
Kembaki mbunge
Maskini watu 20 tu...
Huna dili
Huna Sera majizi nyinyi
Mbona weng ni watoto hapo