Baibui la jadi la waswahili

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 сен 2024
  • Buibui ama Baibui ni vazi jeusi livaliwalo juu ya nguo nyengine. Ni vazi la kike linalovaliwa na waswahili kujistiri katika maeneo ya pwani ya Afrika Mashariki na kwengineko duniani.
    Baadhi ya kina mama kama Mwajabu Mohammad kutoka Jomvu kuu bado wanayaenzi mabuibui hayo kwa kuyavaa ili kuyatangaza na kuyaonyesha kwa vizazi vya sasa wapate kujua utamaduni wao.

Комментарии • 2