NANDY aitwa BASATA kwa makosa haya, Akubali na kuamua kuomba msamaha kwa Watanzania na mashabiki

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 июл 2020

Комментарии • 65

  • @iammusic3404
    @iammusic3404 3 года назад +5

    Mwenzako Zuchu sauti ndoinambeba shauri yako ngoja machupi yako yachoke kukubeba mana vocally huon ndan kwazuchu
    Take care dogo👌

    • @esterkimario1126
      @esterkimario1126 3 года назад

      hilo nalo neno zuchu yuko vizur jaman anajistir huyo anaejiita mlokole huku anavaa utupu namuangaliaga tu

  • @salmamussa5672
    @salmamussa5672 3 года назад +4

    Nakupenda pia mamy

  • @emilymula645
    @emilymula645 3 года назад +1

    How can one not tell apart decent vs indecent stuff 🤔

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 3 года назад

    Pole mamii

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 3 года назад

    Ok.

  • @jumabackup807
    @jumabackup807 3 года назад +3

    mmh

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 3 года назад +2

    Kisha munasema nyinyi ni kio cha jamii. Under my dead body

  • @muska4real
    @muska4real 3 года назад +2

    Awanaga hata ahibu ya wazazi wao 😭😭😭

  • @jansansandiego4613
    @jansansandiego4613 3 года назад +1

    Nandy nichoko sana, kashazoea msamaha wake ni upuuzi mtupu ,basata nao wanavichwa vya bata mtu anafanya makosa zaidi ya mara mbili akiomba radhi wanamsamehe tu ,Sijui lini vichwa vyao vitakua vya watu

  • @chainbre275
    @chainbre275 3 года назад +1

    Hayo yko tz tu

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 3 года назад

    Hata mie nilihisi nandy kaanza kubadilika vitabia ila hakuna aliekamilika yamepita

  • @nassorsada213
    @nassorsada213 3 года назад

    Mmmm makubw hay
    Kos la kwanz si kos ila mrudia kos ndio mbay

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 3 года назад +2

    Hongera mamii,tumekusamehe

  • @silviapumzikenikwaamanidam8436
    @silviapumzikenikwaamanidam8436 3 года назад

    Hatar

  • @yunaisamir2099
    @yunaisamir2099 3 года назад +1

    Lakin nakumbuka kuna shabiki ali kuambia uka mtukana ukasema huja waomba wao ndo wame kutumia 🙄🙄

  • @amirybng4841
    @amirybng4841 3 года назад +1

    Nimsenge kira akivuwa chupi yake anakuja Ana tambua kuwa AR kuwa anapitiwa hauoni kama atareta usenge jaman

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 3 года назад

    🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @kelvin8324
    @kelvin8324 3 года назад +2

    Hao basata wako idle sana what's the difference between video clips nandy amekua aki post na singeli dancing moves??

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 3 года назад +2

    Mmmm Nandy unapendwa sana mimi mmojawapo usitudisapoint,halafu unaomba msamaha unacheka hauko serious any way tumekusamehe jiheshimu umekua sasa.😔

    • @irynmarie7281
      @irynmarie7281 3 года назад +1

      Hahaha yan nmechekaaa et unaomba msamah unacheka

  • @denismvula6713
    @denismvula6713 3 года назад

    Hamna kitu apoooo

  • @fatmafaki6163
    @fatmafaki6163 3 года назад

    Nyie basata mna mambo

  • @zakariamachibula488
    @zakariamachibula488 3 года назад

    Kwanza huo wimbo liache lizame mumeimba matusi Sana Mara inadidisha mulipaswa wamufungie kabisa huo wimbo wagekuwa wasanii wa wasafi mugewafugia, lakini hawa wasenge kwanini musiwafugie? Acheni upendeleo

  • @tmtwane9092
    @tmtwane9092 3 года назад +1

    MTANGAZAJI WA CLOUDS AFIKISHWA MAHAKAMANI gusa link kwa full story ruclips.net/video/2Bdl7yeCmAM/видео.html

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 года назад

    Yaani anaongea bila haya eti nilipost picha mbaya mbaya zisio na maadili??? Kumbe unatambuwa unachokifanya fyuuuuuuuuuuuuuu.

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 3 года назад +1

    Basata......🤣🤣🤣

  • @johnmgweno4254
    @johnmgweno4254 3 года назад

    Basata ndio nani

  • @agnessjackson3992
    @agnessjackson3992 3 года назад +1

    Bongo kaen naushamba wen mxxxxx kwan mtukivaa nguo fup kawa mhun em mtupishe uko. Asara kweli kuish na wabongo

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 3 года назад +4

    Basata huwa wanafeli sana, yaani msanii ametoa wimbo au amepost video mbaya mwezi uliopita we unakuja kumwambia aombe msamaha leo sasa kama kuna madhara kwa jamii si yameshatokea

    • @helenkambi3918
      @helenkambi3918 3 года назад

      Kweli kabisa hawa basata hawana jipya hawako serious hatua zao zaki toto

    • @hidayayussufu7080
      @hidayayussufu7080 3 года назад

      Hawajielewi maana kama wao wako makini na huo uadilifu walitakiwa waangalie nyimbo kbl haijaruhusiwa kusambaa kokote,wairekebishe ndipo waiachie itoke,kutiana short tu.

  • @magnificententertainment9328
    @magnificententertainment9328 3 года назад +1

    Hivi BASATA kazi yao ni udiscipline master au .....msanii ananufaika vipi na BASATA...yaani wao daily ni kuonya na kufungia....🤕😫🤣

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 3 года назад +4

    Munaomba musama tena munarudiya

  • @esterkimario1126
    @esterkimario1126 3 года назад

    et mlokole hata cmuelewag kanavaa vibaya mnooo

  • @albs1448
    @albs1448 3 года назад

    Nandi anajinenepea zake

  • @zubedaseif7749
    @zubedaseif7749 3 года назад +3

    Yale machupi aliomba msamaha na leo pia kaomba msamaha this is too much

  • @rahmaali4009
    @rahmaali4009 3 года назад +2

    Bila mecup wa baya

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 3 года назад

    Kiukweli zile vidio nilikua naona aibu kuziangalia bora ili nawengine wasiwe wanaweka

    • @aikamosha5644
      @aikamosha5644 3 года назад

      Haka nako kameambukizwa ujinga na gigimoney

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 3 года назад +1

    Tatizo nyinyi mnao jiita mastar wa kike mnatumia mili yenu vibaya,kwa mfano mkiwa ma video queen mnaacha maungo yote wazi wakati video king amevaa nguo zilizo mziba mwili wake wote!

  • @hjhj6230
    @hjhj6230 3 года назад +1

    Jamani hivi mtu unavyopost picha au vidio ww km ww huwa huoni hii niko uchi..ila wasanii bhana nishida sana kuonyesha mwili wao ni kitu cha kawaida kwao..Allah atunusuru cc na vizazi vyetu

  • @wilsonedward3976
    @wilsonedward3976 3 года назад

    Nandy wewe ni mzur sana katka wasanii wakike naweza kukwambia unaongoza kwa uzur lakini unashusha thamani yaki unavyo short ukiwa uchi utafikir una wazaz ivi wazaz wako wakiona nyimbo zako wanajiciaje alafu ni bibi harus mtarajiwa yan duuuuuuuu ata siwez kusema cha msingi jiheshim utaheshimika

    • @esterkimario1126
      @esterkimario1126 3 года назад

      kwel hata me nampendaga ila aisee me naona hata aibu kumuangalia anavaa vibaya mnoo halafu et anasemaga kaokoka huu ulokole wa maneno mungu simama

  • @salmamusa9085
    @salmamusa9085 3 года назад

    .

  • @anjunurdin2392
    @anjunurdin2392 3 года назад +1

    Usanii sio kuonesha uzuri au shepu.usanii ni maadili na kioo cha jamii.lkn wasanii wasikuhizi usanii wao sio kioo cha jamii ni kuonesha uzuri wao yaani mapaja mpaka matako na vichupi.asie na mapaja ni nani? Tangu walionesha mapaja hawaolewi.kweli mnajua kama viongozi wote wanawaangalia nyie wasanii wa miaka hii sio wasanii waenzi ya nyerere au mkapa na mwinyi.ambao alikua hawaangalii miziki na vidio kama nyie.mpaka Rais makufuli kasema akifungulia Tv wanaume wamezaa wanawake wako uchi.mnafahamu kama viongozi wote wanaangalia lkn unawezaje kumvalia Rais au kiongozi yyte nguo yakuonesha mapaja matako nje huoni kama baba yako? Unawezaje kumuangalia? Kweli Nandy na wengine mmeweza na hasa basata ndio wakulaumiwa.mnaitwa kimya kimya kwanini msifedheheahwe mbele za watu tujue kama basata hawalipendi mnapanda kwenye majukwaa mko uchi maana ni uchi kwa mtu kamazazi wako anakuangalia afadhali mngelikua wenyewe kwa wenyewe. Jiheshimuni jamani kila mtu ana paja na makalio pengine kushinda yenu

  • @manjuja993
    @manjuja993 3 года назад

    Tumekuchoka

  • @benjamininyambaso5041
    @benjamininyambaso5041 3 года назад

    basataaa😂😂

  • @Bayothomusic
    @Bayothomusic 3 года назад

    Nani ni mbaya? 👇
    ruclips.net/video/lbkoaTToIjk/видео.html
    Subscribe

  • @alekopetro3617
    @alekopetro3617 3 года назад +2

    Afadhali Zuchu wetu tu..

  • @georgedaniel4962
    @georgedaniel4962 3 года назад

    Hawa Malaya tu,kunann zaidi ya ukahaba. Mala chupi mala ruge mala bill nenga hao ndio tunaowajua we uza kuma tu.

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 3 года назад

    Tumwogope Mungu kwanza kisha BASATA