Wallyahi mi ntakupiga kama mwizi TATIZO KIREDIO WE MSENGE UJUI MTU KWENYE CM YAKE ANAWEKA MAMBO MANGAPI KAMA MIMI SIMU YANGU NDO KILA KITU AIJARISHI INA THAMANI GANI ILA VITU VILIVYOBEBWA NI HATARI NTAKUUA SITOKUELEWA
Huyu NI ujinga unao Fanya simu ndio kila kitu cha mtu kwa maisha haya yakuunga unga kisha upije kwasababu wataka kunipa simu kubwa jee vile nilivyo visevu navipata vipi na ikiwa sijasev kwa account ya email ama sina back up weeeh nakuacha flat hapo chini nasimu naenda nayo pole baaadae
.maskini kiredio😂😂😂🙌... Huyo jamaa alivyoskia i phone akapata amani ya moyo... Ila kiredio issue kama izo uwe na watu wa kukucover sio unaenda wewe na kichwa chako kama tofali... Ila kiredio ulivyojishushaaaa, kama piriton ikiyoexpire..eti oya leta simu hiyo chap chap...nakojoaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌ungekamuliwa mavi leo😂😂
Mm nakushauri bora ungechagua kazi ya kupatanisha watu,at least ungenivunia thawabu kwa mungu wako lakini hii kazi unayofanya na mwenzio mr uky aisee mnabeba dhimma kubwa mbele ya mungu, Fitna ilolala isiamshwe Wamsambaratisha,mtu na mtu wake,wakuta pengine wenyewe wana malengo ya,ndoa Wewe wawachonganisha alafu et samahan, Au wamchonganisha rafiki na rafiki alafu et samahan,sa ndo nini, Bora ungejikita,kwenyekupatanisha kutakusaidia hata ukitangulia mbele ya haki
Daaah yaani we kiradio una masihara sana ipo siku wataku vunja kiuno huwezi jua simu ya mtu ametunza vitu gani humo kwenye mafiri kua makini kwenye internew zingine
😂😂😂kiukweli kupasua simu amekosea, watu wanakumbukumbu zao wamezitunza ndomana ata tukinunua simu mpya hatutupi za zamani. Pole mwaya kipigo imepata na simu umempa
the guy was right kupanic, na ndio maana hata ulivompatia hiyo simu ambayo ni kubwa na ya gharama bado hakua na furaha tofauti na tukiona challenge hii kwa wenzetu. wao wana elimu kubwa sana juu ya hizi simu na namna wasave vipi taarifa au program zao ikiwemo kwenye emails zao n.k na ndio maana wao wakipata simu mpya na kuingiza credentials zake kila kitu kinarudi kama kilivokua. Sasa elimu hii watanzania wengi bado hatuna kwahiyo akiibiwa simu au kuharibikiwa lazima aumie sababu anakua kapoteza vitu vingi na kuweza kuvirudisha vyote kwa mala moja haiwezekani au hawezi kuvirudisha kabisa. hivyo basi ukitaka kufanya challenge ya namna hii angalia modality nzuri ya kuifanya. nimejitahidi kuandika kwa kirefu kidogo sababu sijapendwa wewe uumuzwe wala na yeye aumie kama navoiona sura yake hapo. Asante
Ata ingekua ni mm lazma ningepaniki cm kuvunjwa ghafla 2 ,ila uyo kaka ana moyo mzur san ona kiredio kaomba cm yy ndo alikua tayar kumpa ,nmempenda uyo kak
Kiredio achana na prank ya kupasua sm watakuumiza bora upasue wenye vitochi Ata ukimpa IPhone anafurahi hizi sm zinakujanga na mambo mengi zimetuza unaweza haribu vitu muhim zimetunzwa kwa sm pole kiredio jaman kaz ni kaz inabindi ukubar matokeo
😂 huyo dada wa mwisho kanifurahisha eti simu siachi 😂😂😂 yule mimi namweza
Daah jamani kiredio roho imeniuma jamani mkaka huyo ata siyo mgomvi😢😢
Wallyahi mi ntakupiga kama mwizi TATIZO KIREDIO WE MSENGE UJUI MTU KWENYE CM YAKE ANAWEKA MAMBO MANGAPI KAMA MIMI SIMU YANGU NDO KILA KITU AIJARISHI INA THAMANI GANI ILA VITU VILIVYOBEBWA NI HATARI NTAKUUA SITOKUELEWA
Ni Bora ukamuuliza mtu kwanza kuliko kuamua kuivunja tuuu ata kama ni Mimi sitakuelewa kwakweli
ni heri mtu umpige yeye au umuumize yeye anaweza akakufahamu, kuliko kuiharibu simu yake.
@@brayon7y af ety kirahisi rahisi tuu ni challenge
Huyu NI ujinga unao Fanya simu ndio kila kitu cha mtu kwa maisha haya yakuunga unga kisha upije kwasababu wataka kunipa simu kubwa jee vile nilivyo visevu navipata vipi na ikiwa sijasev kwa account ya email ama sina back up weeeh nakuacha flat hapo chini nasimu naenda nayo pole baaadae
@@abdulaisha4145 samahani wewe uko coast au?
Ww kiledio utakuja umizwa MTU mwenyewe nguvu huna bado tunakupenda ujue ❤❤❤❤
Tupo na wewe bega kwa bega hadi utolewe roho😂😂
😂😂😂😂maskini
😂😂😂😂😂😂😂😂 kiredio watakuja kukua jamani em tuache kiredio wetu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ajali kazini usiwaze wala nini 🔥 🔥
🎉Nkubal sana kazi nataman kujifunza kitu kupitia wewe siku moja niwe future kwa wengine
Pole sana😂😂😂😂 daah had huluma jamn
Kiredio nipo pamoja na ww mpaka wakuuwe😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂, masikn kiredio mpk uluma😂😂 utakuj uumizwe watu wana stress zao🤣🤣🤣🤣
.maskini kiredio😂😂😂🙌...
Huyo jamaa alivyoskia i phone akapata amani ya moyo...
Ila kiredio issue kama izo uwe na watu wa kukucover sio unaenda wewe na kichwa chako kama tofali...
Ila kiredio ulivyojishushaaaa, kama piriton ikiyoexpire..eti oya leta simu hiyo chap chap...nakojoaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌ungekamuliwa mavi leo😂😂
Nilishasem kiredio aekew ulinzi hatak
@@aminaabdalla-uo9zq watu wanamashida yao mjin hapa anaenda kuwazingua nyieeeeee😂😂😂🙌
@@Yassmulunga acha kimrambe
Pole man lakini una roho ngumu wasijewakakuua😂😂
Mm nakushauri bora ungechagua kazi ya kupatanisha watu,at least ungenivunia thawabu kwa mungu wako lakini hii kazi unayofanya na mwenzio mr uky aisee mnabeba dhimma kubwa mbele ya mungu,
Fitna ilolala isiamshwe
Wamsambaratisha,mtu na mtu wake,wakuta pengine wenyewe wana malengo ya,ndoa
Wewe wawachonganisha alafu et samahan,
Au wamchonganisha rafiki na rafiki alafu et samahan,sa ndo nini,
Bora ungejikita,kwenyekupatanisha kutakusaidia hata ukitangulia mbele ya haki
😂😂😂😂Malaya huyo mwanaume km mm cku hiyo hiyo naachana nae
Hujui kua watu wanahasira na ww...unavunja mahusiano Yao na simu zao unavunja 😂😂😂😂😂😂😂
Kwakweli
Just maigizo
Kiledio acha kazi iyo watu watakupasua😂😂
Mmh Leo sijafurahia😢nimehuzunika sana kwnn wampige kiredio Sasa na wanafaham Kaz yake
😂😂😂😂😂daaah wtz wako feet kweny kutembeza kipondo
Duuh pole dugu yangu uwe unatoa taarifa watakuja kukuua bwana tukose udaku kitaa
Haaaaaaaaaa😂😂😂😂😂 jamn mpak huruma Kwan nyie hamjuh kwamb kiredio anashuti kweli
Tutajuaje labda?
Maigizo
😂😂😂😂
Nampenda huyu kaka ila nimelia alivyopigwa😢😢
Ushanyegeka
Yan kiredio ayo yoote ni kutafuta ela ugali....wadada wenzangu wanaume wanatafuta pesa kwa tabu mweee😂😂😂😂😂
Hela uitafute kwa tabu ule kwa tabu.. teknolojia imerahisisha maisha
Pole mwaya ila uyo kaka alo kupiga nime mpenda 😂😂😂
Mpaka wakuvunje tuko pamoja na ww😂😂
Kiredio watakuua mbwa wewe.😂😂
Kiredio mwanangu fresh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤🎉
Daaah yaani we kiradio una masihara sana ipo siku wataku vunja kiuno huwezi jua simu ya mtu ametunza vitu gani humo kwenye mafiri kua makini kwenye internew zingine
🤣🤣🤣🤣ataa mm ngefanyaa hinyo mnamraum bure 2 alikuwa hajui
Tayariii ushapimwa sutiii ahaaaaaaa h
Kiredio utakuja kufa ww😂😂😂😂😂😂we endelea kujishaua ivyivy
Nimecheka 😅😅 ila kiredio utatutoa mbavu zetu jamani
😂😂 chaliangu angalia bn challenge zingine hazifai
Pole Sanaa kiredio❤❤ndio kazi
Jamani poleee aise kazi zinachangamotoa ka nin
Tupo pamoja na wewe mpaka wakuuwe😂
Ahahhahahahahah kiredio umekua kama mwanafunzi umeniacha hoi
Yani mm huyo wamwisho Yani ni mm mijanadume isohela ndio Ina misafura najichukulia cim huko na likileta mbogo tunaachana😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂we mtu hana simu aliipata kwa bahati afu we unaleta ugai gai lazima uchezee kichapo
Hahaha 😂 kwahiyo kumbe muoga hivi huyu jamaa haha 😂 nimecheka san ndo changa moto ya kz ulo chagua hahaha 😂😊
Hii tabia si nzuri na ina disappoint sana hujui mtu kaweka file ngapi kwenye simu na unakua umemrostisha vingi😢
awe anapasua za kitochi alafu anampa iphone
Hamna simu hapo....Hilo TANGAZO na simu iliyotupwa Chini ni BOMU la Machozi..... Usiweke userious Mtandaoni 😂😂😂😂
Tafuta bodyguard tasije tukakukosa maana kupgana hauwezi 😂😂
😂😂😂kiukweli kupasua simu amekosea, watu wanakumbukumbu zao wamezitunza ndomana ata tukinunua simu mpya hatutupi za zamani. Pole mwaya kipigo imepata na simu umempa
Ila Clavi duh🙌😏hili jina jmn hawajawai 2lia😏😮😢
😂😂😂kumb huw watak pigwa kusudi😂😂ata me nakurmbea mawe kiredii
First to comment.. piga like apa kama unamkubali kiredio
Ukisikia kazini Kuna kazi ndo Ivi 😅😅😅
Tuko pamoja na ww mpk wakuuwe kiredio 😂😂😂pole beib ndo kaz
the guy was right kupanic, na ndio maana hata ulivompatia hiyo simu ambayo ni kubwa na ya gharama bado hakua na furaha tofauti na tukiona challenge hii kwa wenzetu. wao wana elimu kubwa sana juu ya hizi simu na namna wasave vipi taarifa au program zao ikiwemo kwenye emails zao n.k na ndio maana wao wakipata simu mpya na kuingiza credentials zake kila kitu kinarudi kama kilivokua.
Sasa elimu hii watanzania wengi bado hatuna kwahiyo akiibiwa simu au kuharibikiwa lazima aumie sababu anakua kapoteza vitu vingi na kuweza kuvirudisha vyote kwa mala moja haiwezekani au hawezi kuvirudisha kabisa. hivyo basi ukitaka kufanya challenge ya namna hii angalia modality nzuri ya kuifanya.
nimejitahidi kuandika kwa kirefu kidogo sababu sijapendwa wewe uumuzwe wala na yeye aumie kama navoiona sura yake hapo. Asante
Hii kaz n ngumu sna aise 😂😂😂
😂😂😂😂😂 jmn uwiii nakufa mm
Uwe makini na aina za challenge unazo chagua.
Tunakupenda
challenga za hivi wafanyiage wadada utazalilishwa kama hiviii😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂yamemukuta mwenzenu
Kapigwa afu kapost mwenyewe😂
Kajua itabamba
Pameanza kuchangamka 😂😂😂😂😂😂😂
we kaka una roho mbaya 😢 Pole mwaya kiredio❤
Nimeweka mikeka yngu y Hela alfu unavunja simu hta Mimi nakupiga mitama...😅😅😅
Huo mtama kiredio mmepanga prank😅😅
Dada umetisha, simu tunachukkua na hamtufanyi ki2 dadeki😂
Tunashuti bhanaa😂😂
Dah! Sijapenda kabisa yan
Jaman kiledio pole 😢 ajari kazin😂
Kiredio alikuw Kam anataka kulia ivi😅😅😅
Ajali kazin😂😂😂😂😂izi ishu anazfany lazm kipig kimohus
Kiredio unapigwa ww anaumia mpnz wako😂
Pole jmn😂❤
Pole kiredio ila ww hukomi😂😂😂😂
Jamn Pole kiredio nimeumia sana Pole Sana😢😢😢
Watakuua mbwa wew 😂😂😂
Kiredio watakuuwa ndugu yangu sema usiwaze nakutafutia ticher kutoka japani
Pole kiredio mwaya utafutaji wa maokoto changamoto hazikosekan
😂😂😂😂..daah kiredio wapitia mengi
utakutana na mmoja ambaye ajui unachosema aki jiandae kuaribiwa sura .Tafuta kazi ya kufanya
Jinsi alivyo tupa sim 😂😂
Kiredio chunga utakuja kufa vibaya ww😂😂😂😂hya
Yaan huyo Dada jamani dah pole, mkaka hana adabu anatukana.
Aiseee sema kiredio unajitoa sana maana ulivo ivunja iyo cm uku unamsogelea nikajua uwakika unazichapa 😢
Umekosea kiredio cm inakuaga na fail nyingi sana
😂😂😂😂😂alivolambwa mtama
Dah ila hata mim ningekupiga 😂
Ila kiredio kuwa makini utakuja kuumia nakukubali sana
Kazini kwangu Kuna kazi ndio hii sasa
Ata ulaya wanafanyaga😂
Dah imeniuma kweli jamaa yule anazingua
Ila huyu mdada Hadi nimempenda Kwa confidence
Kazi hatari sanaaa
@kiredio watakuuwa wewe akiamung watakuuwa... Kiredio ×3nakuita mara tatu utakuja kuuliwa jamani na wewe nimpole kiredio jaman
Pole sana kaka ndo changa moto zakszi
H😅😅😅😅😅😅😅 eti wakina kevoo unawajua vzur ww
Pole sana kaka angu jamani duh
Ata ingekua ni mm lazma ningepaniki cm kuvunjwa ghafla 2 ,ila uyo kaka ana moyo mzur san ona kiredio kaomba cm yy ndo alikua tayar kumpa ,nmempenda uyo kak
Kiredio kwa kwel kwenye cm yangu hapana bora uniguse mm kuliko cm yangu
😢😢maskini mkaka wa watu 😅😅uwe unatoa taarifa we nae
ndy kazi hiyo kaka pambana
Namba za kiredio upatikana wap kinirambe😂
Kiredio achana na prank ya kupasua sm watakuumiza bora upasue wenye vitochi Ata ukimpa IPhone anafurahi hizi sm zinakujanga na mambo mengi zimetuza unaweza haribu vitu muhim zimetunzwa kwa sm pole kiredio jaman kaz ni kaz inabindi ukubar matokeo
Jamn kiredio pole ❤❤❤
Changamoto za kawaida hizo
Leo kazin kwa kiredio kuna kazi😅
😂tena kaz kubwa