TAZAMA MABEHEWA YA MIZIGO YAKILETWA DSM, MIZIGO ITAANZA MWAKANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 39

  • @jafarinauma6798
    @jafarinauma6798 Месяц назад +6

    Mh Rais Samia Suruhu Hassan Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu uishi miaka mingi inshaallah AMINA
    Unafanya kazi narudia tena unafanya kazi...tena unafanya kazi
    Tena hupendi kiki kimya kimya tupeleke mama kwenye inchi ya ahadi
    Nakupenda kwa ajili ya Allah❤

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Месяц назад +3

    Well done TZ uchumi utabadilika tukibadilika klkazi cc wenyewe

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Месяц назад +4

    Rais wetu Samia Suluhu Hasani tunakuombea kwa Mungu uchape kazi bila kukata tamaa

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 Месяц назад +5

    DAH TUIACHE TU CCM IENDELEE KUTAWALA TUSIJE KUCHANGANYA MAFAILI❤❤❤

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 Месяц назад +6

    WATAELEWA TU , KIMYA KIMYA MATENDO YANAONGEA, MSIACHE KUTUJUZA KAMA HIVI , ASANTENI SANA, SIFA KWA TIMU YA TAIFA YA MAENDELEO , IKIONGOZWA NA AMIR JESHI MKUU MAMA SAMIA

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 Месяц назад +4

    Mama Asante sana 🎉❤

  • @Papaa_Hillary_Mrema
    @Papaa_Hillary_Mrema Месяц назад +12

    Kwa Miradi hii ya Maendeleo katika Sekta ya Uwekezaji naomba Mwenyezi Mungu ambakize Mheshimiwa Rais Dokta Samia amalizie tu Awamu ya 2 ili ikifika 2030 angalau atuache Tanzania ikiwa katika Uchumi wa Viwanda na kujitegemea. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendeleee🇹🇿🇹🇿

    • @nth3512
      @nth3512 Месяц назад +2

      We wajuaje km atakaekuja hatokuwa na jitihada zaidi yake?

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 Месяц назад

      Chuki tu na raisi wa kizanzibar​@@nth3512

    • @omarybakunda2554
      @omarybakunda2554 Месяц назад

      Amini.

    • @stephenmsanzu9850
      @stephenmsanzu9850 Месяц назад

      Bro Wacha shaka,mh.samia yuko ndani

    • @Abounaumaan224
      @Abounaumaan224 Месяц назад

      ​@@stephenmsanzu9850Tuombe Uhai na Salama

  • @SelemanIsmail-c3z
    @SelemanIsmail-c3z Месяц назад +4

    Hao waliopita wasingekua wezi Leo tungekua mbal sana. Walikua bize na IPTL, EPA, ESCROW nk.

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 Месяц назад +1

    Kuna makampuni Kenya Yana uwezo wa kutengeneza mabehewa....# SECO NA COMACO

  • @joshuajustustz
    @joshuajustustz Месяц назад +2

    Taarifa njema.... Hongera serikali🎉🎉

  • @mosesjacksonkarashani2642
    @mosesjacksonkarashani2642 Месяц назад +4

    Afadhali malori yapungue barabarani

    • @mamlomamlo9064
      @mamlomamlo9064 Месяц назад +1

      Na mitaani mtaa wa amana dsm Kuna milori mikubwa kabisa na uharibifu wa mazingira na makelele

    • @HavanansiData
      @HavanansiData Месяц назад

      Na barabara zitapungua mashimo

  • @zanichanai6679
    @zanichanai6679 Месяц назад

    Mwanzo mzuri hatujui mwisho.

  • @barakajonas3209
    @barakajonas3209 Месяц назад +2

    Ongera san Tanzania

  • @fredyjunior6961
    @fredyjunior6961 Месяц назад +3

    Wasiemprnda kaja. VIVA Tz aluta continua

  • @georgekabaka377
    @georgekabaka377 Месяц назад +1

    Safi sana

  • @OnesmoSanga-j2f
    @OnesmoSanga-j2f Месяц назад

    Shida nchi za kiafrika watu hawazi maendeleo Kila siku wanawaza akitoka Fulani anakuja nani hiyo ndio shida

  • @fransicmushenyera9302
    @fransicmushenyera9302 Месяц назад

    R.I.P.JPM

  • @HansChuma
    @HansChuma Месяц назад

    Hua nasemaga kilasiku Tanzania itaendelea kama viongozi wake watakua busy kufanya maendeleo katika ardhi yao ila kama watakua wabinafs na kuiba sana mhhh hakutokua na kitu

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk Месяц назад +2

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💕

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 Месяц назад

    Sasa selekar inashindwa ata kutengeneza mabehewa ya mizigo duuu kalakana zote izo hapo tz mna shindwa kutengeneza mabehewa duu acha inyeshe 2one panapo vuja

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 Месяц назад +1

    HALAFU WANATOKEA VIBWENGO WANAMTUKANA MAMA HUKU WAKIPOTOSHA KWA MAKUSUDI KWA KUWADANGANYA WATANZANIA ETI MILADI YOTE IMESIMAMA NA MAMA HANA LOLOTE ANALOFANYA!! HAWA MAMBULULA SIJUI AKILI ZAO ZIPO WAPI?! SIJUI ZIMEHAMA JUU ZIMEHAMIA CHINI?! HONGERA MAMA MI5 TENAAAAAA...

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 Месяц назад

      Wao ndio vibaraka. Wamelipwa hela na wazungu ili kumchafulia Mama kama vile wanajeshi wa Burkina Faso. Yaani wamelipwa doll milioni 8 tu ili wamuue Raisi wao. Bahati nzuri walikuwa waaminifu. Sasa hawa wa Bongo kina Lisu ndio vituko na haya tupu.

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 Месяц назад

    mbona sijaona ya mafuta

  • @mazaramatucha
    @mazaramatucha Месяц назад

    Safi sana