Hao wakristo wanapiga makelele tu wanadhani wanaongea kanisani na hao mambumbumbu wao, wanabutua maandiko wanavyotaka wao, hawana elimu yakuijua Quran lakini naomba mashekh wetu msichoke kwa sababu hutumia staili hio kuwapoteza waislam walio na ufahamu mdogo. Allah akupeni afya njema mutangaze daawa na naomba kwake akupeni pepo ya FIRDAUS. Aamiin
Barikiweni sana sana kwa mafundisho yenye utaratibu yani mawaidha ya Koran mwenyezi Mungu amulide ampe afya dawa iendelee Allahamdhullah
Allah awepe wepesi katika kutangaza dini yake, Allah awajalie Janatul Firdaus kesho akhera ❤
Kazi kubwa sana kuhubir dini khasa ikiwa unawahubiria walio na misimamo yao
Assalam aleikum,subra InshaAllah
Sawt ipo chini
Quran 47:34 Kwa Makafiri.
Quran 47:35 Allah Awahifadhi na Malipo yenu ni kwake Allah.
Barakallahu Feekum
Allah ampe afya elimu na hekma Ili watu waone haki nakufuata