Mkumbuke nao waarabu nao walikua nao wanataka point tatu. Inasikitisha kuona kila mtu ana walaumu wachezaji bhawajitumi hivi tulitaka nini dhidi ya pointi tatu?
Wasingemucha Chama haraka vile.. kwa aliyoyafanya Simba..! CCC ndiye angeweza wachezesha hawa watoto na kuwatuliza mchezoni.. papara zimezidi kwa hao watoto..!
Na pia Fadlu ni lazima awe na kikosi cha kwanza cha wachezaji wenye uchungu na SImba kama akina Mzamiru na sio hao maboya waliosajiliwa msimu huu peke yao..! WEngi wao hawajitambui.. masuper star madwanzi! Ateba acheze na Mukwala wakati mmoja ili kuwa na stricking force yenye nguvu! Sijui ni kwa nini Mavambo anawekwa bench?
Ubaya ubwelaa ❤ this is simbaaaa
Washa moto kaka🎉🎉🎉
Ubaya ubwela
Kuna wachezaji mitumba watolewe apo simba
Mkumbuke nao waarabu nao walikua nao wanataka point tatu.
Inasikitisha kuona kila mtu ana walaumu wachezaji bhawajitumi hivi tulitaka nini dhidi ya pointi tatu?
Mtale awe mchezaji wa kwanza kuondolewa
We nae unapewa mic hujui hata timu yako ina magoli mangapi!! Daaah
Upumbavu mtupu yani hamna timu hapa