Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Good man of god come in tanzania
Upo sawa
Kanga anaweza kulalia mayai mangapi
Mwenye mayai ya kanga naitaji
Hongera umethubutu hujajaribu.
Wow mie nimemuwekea mayai 6 lkn hajatamia
Ongera sana dada yangu. Mungu upenda watu wa namna yako. All the best
Kwel mama ukifany kaz mungu anakubaliki... Amina
Upo wapi.unawauza Bei gani?
Hongera sana
paka raha
Umefungua channel hujibu maswali
Kanga unalea kama kuku ?
Hivi kanga mpka kutotolewa huwa mayai yake yanaatamiwa siku ngapi?
28
Kanga hutotolewa BAADA ya siku 28
Me leo kuku wangu katotoa kanga vifarang 7 na ndo niliwawekea mayai 7 ila nauliza matunzo yakoje il wasife
@@nellywizz9631 mm huwa nawapa starter kwa wiki tatu baadae nachanganya chakula cha kawaida.cku ya 7 nawapa new castle.ya 14 gumboro.ya 21 narudia new castle ya 28 narudia gumboro.