MHE FREEMAN MBOWE AONYESHA KUKASIRISHWA NA SHERIA ILIYOPITISHWA YA WANZA WA VIONGOZI KULIPWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 мар 2024

Комментарии • 26

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 2 месяца назад +2

    MUNGU atulindie wewe kiongozi wetu tuna kupenda mno...hichi ndicho chama cha kujenga taifa letu tuuu...

  • @jovankishamba9424
    @jovankishamba9424 Месяц назад

    Asante sana mheshimiwa Mbowe

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 2 месяца назад +1

    Hawa masramia wa CCM mbona wana sumbuwa sana nchi yetu? mbona wenzao ZANUPF Zimbabwe, Frelimo Mozambique na hao wa Angola mbona hawana usumbufu kwa wananchi wao???

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 2 месяца назад

    Ni Bora kutokawnda kwenye uchaguzi Dunia ielewe kuwa hakuna ukweli ktk uchaguzi wetu kuliko kwenda ktk uchaguzi mkaonekana vituko ktk Dunia na wananchi wakawazarau sio watu wenye msimamo

  • @danielamosi6871
    @danielamosi6871 2 месяца назад +5

    Mbowe hana njaa anatutetea sisi wanyonge

    • @JackKanyigo
      @JackKanyigo 2 месяца назад

      Sahihi

    • @hamzakhamis1575
      @hamzakhamis1575 Месяц назад

      Mbowe ni mroho wa madaraka na njaa inamsumbuwa ili kuthibitisha ilo chama amekifanya km chake kila siku anajiona yeye tu ndie anaefaa kuwa mwenyekiti

  • @AlphaBarageti-ru5xj
    @AlphaBarageti-ru5xj 2 месяца назад +1

    Wananchi wa Tanzania tumelogwa KUMBUKUMBU za mema.
    Tunaambiwa ukweli wote. Tunaoneshwa njia. Kesho akija CCM na ujinga wake na uongo wake, hatukumbuki meme tuliyoambiwa, badala yake tunakubali ujinga wa mwisho unaoletwa na CCM. Hata mambo mema yaletayo Haki na usawa tunayapuuza kwa kisingizio dhaifu kwamba wanasiasa wote ni walewale. Mara o, wapinzani hawana uzoefu wa kuongoza nchi, upuuzi mtupu ! Sasa make mume na watoto wanadai mafao. Kesho ukoo wao pia utadai pongezi na takrima kwa kumlea ndugu yao.

  • @danielamosi6871
    @danielamosi6871 2 месяца назад +1

    Wanafanya vibaya sana kumbukeni kuna watu wanakufa njaa

  • @alphoncejmrema7912
    @alphoncejmrema7912 2 месяца назад

    Duh mbona hela nyingi

  • @user-mm6fe9vz2p
    @user-mm6fe9vz2p 2 месяца назад

    You are doing well job mbowe

  • @user-sc9ll5no3f
    @user-sc9ll5no3f 2 месяца назад

    Tueleweshe mh Mbowe

  • @user-mm6fe9vz2p
    @user-mm6fe9vz2p 2 месяца назад +1

    Wachache wanaelewa lakini kwanini hao wachache wasielewe

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 2 месяца назад +1

    MUNGU atukindie wewe kiongozi wetu tuna kupenda mno...

  • @EdwardMasalu-fk5se
    @EdwardMasalu-fk5se Месяц назад

    Ukweli utabaki ukweli,tunakuunga mkono,tupige kelele mpaka,watuelewe

  • @faustinebahenobi3412
    @faustinebahenobi3412 2 месяца назад

    Jamani Mungu umejifichawap uwachukue awa viongozi hii nchi wameigeuza ya kwao kumb ndomaana hayataki katiba mpya ili yabaki madarakani kujinufaisha yenyewe

  • @HOSEAHALLAN-tt3gx
    @HOSEAHALLAN-tt3gx 2 месяца назад

    Maicha jetu magumu jamani

  • @johnkitoka9632
    @johnkitoka9632 2 месяца назад

    Usiwaite viongozi waite watawala,mwenyekiti.

  • @JosiaWmela
    @JosiaWmela 2 месяца назад

    Waliokuelewa wamekuelewa

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 Месяц назад

    Hii ndio pepo yao, moto unawasubiri kwa dhuluma wanazozifanya

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 2 месяца назад

    KAMANDA TUNASUBIRI 22 APRIL TUTAZUNGUMUZA KWA VITENDO

  • @faustinebahenobi3412
    @faustinebahenobi3412 2 месяца назад

    Zaman mlikuwa atupagi huu ubuyu twambie tujue

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 2 месяца назад

    👇🏿
    #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 2 месяца назад

    Watanzania this is too much we have to fight for or self no one will fight us