UMEINULIWA - BURTON KING (Official Video) Sms SKIZA 7636361 to 811 to get this song.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 322

  • @BurtonKingBK
    @BurtonKingBK  4 года назад +61

    Umeinuliwa By Burton King Lyrics
    Verse1
    Hakuna Mungu Mwingine Kama wewe
    Baba Hakuna
    Hakuna Mungu Mwingine Kama wewe
    Baba Hakuna
    Hakuna mwenye Nguvu Kama zako
    Baba Hakuna
    Unayefanya Mambo ya ajabu mimi sijawahi ona
    Baba Hakuna
    Unayetenda miujiza katikati ya dunia yote
    Baba Hakuna
    Tena umetukuka juu ya mataifa yote
    Baba Hakuna
    Wanadamu wote na malaika pia wanakuabudu wewe
    Baba Hakuna
    Wanainama wanainuka wakisema wewe Ni Mungu
    Baba Hakuna
    Sifa zako zimetandatanda dunia na mbingu yote
    Baba Hakuna
    Utukufu wako umetandatanda dunia na mbingu yote
    Baba Hakuna
    Ndio maana ninasema
    Chorus
    Umeinuliwa Hakuna Kama Wewe
    Umeinuliwa Hakuna Kama Wewe
    Umetukuka Hakuna Kama Wewe
    Verse2
    Ni Nani Mungu Mwingine Kama Wewe
    Baba Hakuna
    Unayeponya magonjwa madaktari hawawezi kuponya
    Baba Hakuna
    Unayefanya Mambo ya ajabu yanatisha dunia yote
    Baba Hakuna
    Unabadilisha maisha ya watu lakini unabaki yule yule
    Baba Hakuna
    Unayeinua wanyonge na tena unapanguza machozi yao
    Baba Hakuna
    Unawaketisha pamoja na wafalme unawapa heshima yao
    Baba Hakuna
    Nimetembea kote sikupata Mungu Kama Wewe
    Baba Hakuna
    Dunia yote inajua ukuu wako Baba
    Baba Hakuna
    Viongozi wote wa mataifa wanainama kwako
    Baba Hakuna
    Hata Rais wangu nimemuona akipiga magoti kwako Baba
    Baba Hakuna
    Ni Nani; Nani ajilinganishe na wewe Baba
    Baba hakuna
    Ni Nani; Nani anaweza pinga Nguvu zako baba
    Baba Hakuna
    Napenda kukuabudu
    Napenda kukuinua maana ndio .....
    Chorus
    Umeinuliwa Hakuna Kama Wewe
    Umeinuliwa Hakuna Kama Wewe
    Umetukuka Hakuna Kama Wewe
    Composed and Sang by Burton King
    BGVs - Sylvia Akoth
    Audio Producers - Esynet/Waitara
    Video Producer - Solomon K.
    Bassist - Augustine
    Solo Guitar - Benjamin Kabasike

  • @pastortumaini
    @pastortumaini 4 года назад +37

    AM PROUD OF YOU MY SON, WHAT A SONG HOOOO MY GOD, MORE GRACE.

  • @JoyNeema-l9s
    @JoyNeema-l9s 4 месяца назад +3

    Who's else is here this Aug

  • @perismwihakiofficialpage3930
    @perismwihakiofficialpage3930 4 года назад +1

    Woooooow .For sure hakuna Mungu Kama wewe

  • @beritawambani5748
    @beritawambani5748 2 года назад +1

    Ameeen🙏🙏🙏🙏🙏

  • @justusmyelloofficial2773
    @justusmyelloofficial2773 4 года назад

    Mziki umeenda group of schools. More Grace bro.

  • @viovioviolet2687
    @viovioviolet2687 4 года назад +1

    Kwa kweli Hakuna Mungu mwingine Kama yeye wow I loooooove

  • @salomegoogle7207
    @salomegoogle7207 4 года назад +1

    Ume inuliwa mungu hakuna kama wewe 🙏🙏

  • @irmuproduction
    @irmuproduction 3 года назад +1

    So blessed by your songs 26th Dec o Christmas 2021 at Radio maisha. God bless You

  • @hatiagk4447
    @hatiagk4447 Год назад

    Hakika yeye ni Mungu mkuu anayestahili kupewa sifa hakuna mwingine kama yeye

  • @jacklynemukeni4990
    @jacklynemukeni4990 4 года назад +1

    Hallelujah.Amen. Amen.. Amen 🙏🙏🙏

  • @GloBahati1923
    @GloBahati1923 4 года назад +3

    . Umeinuliwa 🔥🔥🔥🔥

  • @jacklinembindyo2847
    @jacklinembindyo2847 2 года назад

    Baba hakuna kama wewe,,,umeinuliwa hakuna kama wewe💃💃💃💃🎉🎉🎉🎉🎼🎼🎼🎻🎸🎻🎼🎼💃💃💃💃💃

  • @nicholasthiaine7708
    @nicholasthiaine7708 Год назад

    I'm praying this great song to reach 1M viewership in Jesus name

  • @elizabethmwende1003
    @elizabethmwende1003 4 года назад +1

    Kazi safi bro

  • @marywainaina2416
    @marywainaina2416 4 года назад +1

    Aaaa kweli Mungu wangu hakuna Kama wewe

  • @thelmasimuwelu1815
    @thelmasimuwelu1815 Год назад

    The ALMIGHTY JEHOVAH GOD will never share GLORY with anybody forever 🎉💯✨🙏🔥🔥🔥🙏🙏🙏🔥🙏🔥

  • @thelmasimuwelu1815
    @thelmasimuwelu1815 Год назад

    All the big battles , l have fought, big and staunch witches have tried to eliminate me but GOD is FAITHFUL, he has defended me, VICTORY is MINE, fear NOT no WEAPON forged against a TRUE child of GOD can PROSPER

  • @lindahamendiheyns
    @lindahamendiheyns 4 года назад +1

    Blessed Sana... Baraka mob sir Burton King

  • @geffkimeu6585
    @geffkimeu6585 4 года назад +1

    Wooooh this is my favourite good job bro

  • @fredlinda5557
    @fredlinda5557 2 года назад +2

    I can't get enough of this song.i looooove it.......

  • @mercysylivia1586
    @mercysylivia1586 2 года назад

    Imagine following u from tiktok to RUclips much love from Uganda 🇺🇬 i reall love ur songs

  • @linahanyango8800
    @linahanyango8800 3 года назад

    Hakuna Mungu mwengine kama Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo. He is my God.

  • @wessemmanuel9639
    @wessemmanuel9639 4 года назад +1

    Baba hakunaaaaaa

  • @kennedybenisters7760
    @kennedybenisters7760 4 года назад +1

    We bless the Lord 😊😊😊 I love the song

  • @evelynenthenya8088
    @evelynenthenya8088 4 года назад +1

    What a grt song ......God bless u

  • @Dorise_Zablon_Gospel_Minister
    @Dorise_Zablon_Gospel_Minister 2 года назад

    wimbo huu kwangu usiku Kwa ndoto Asante BABA umeinuliwa God 🙏

  • @isaacwangui
    @isaacwangui 4 года назад +10

    This song has a standard & will scale heights...i love it more..If it has blessed you pass with a like.More grace bro 👏

  • @hellenwambua3413
    @hellenwambua3413 4 года назад

    Hakuna kama wewe...nice very nice!

  • @sandrafaithkiilu4408
    @sandrafaithkiilu4408 4 года назад

    Wimbo mzuri kbsa Mr king

  • @reubenkwendo8776
    @reubenkwendo8776 Год назад

    Unanibariki sana King mungu azidi kukuhinua kwa huduma yake

  • @erickwambulwa2176
    @erickwambulwa2176 2 года назад

    Amen 🙏 hakuna kama wewe bwana

  • @salimuziq8994
    @salimuziq8994 4 года назад +1

    Powerful powerful bro...

  • @KwaleCountystudios
    @KwaleCountystudios 4 года назад +1

    Hii ni strong sana

  • @Claier-t4r
    @Claier-t4r Год назад

    Hi nime sha like all your songs amen🙏

  • @gazembaleackey5907
    @gazembaleackey5907 4 года назад +1

    Wacha mungu ainuliwe. Amen Amen

  • @lilianmwende7344
    @lilianmwende7344 2 года назад +1

    Nice song I like it

  • @aaronmuli3271
    @aaronmuli3271 4 года назад +1

    nice song sir...more grace

  • @GloriaMuliro
    @GloriaMuliro 4 года назад +2

    Powerful worship. Glory to God

    • @BurtonKingBK
      @BurtonKingBK  4 года назад

      Thank you so so much mumy. You have inspired me alot! 🙏🙏

  • @lucynkatha4454
    @lucynkatha4454 4 года назад +1

    Powerful song bro

  • @mobisadennis
    @mobisadennis 3 года назад +1

    This song is extra of praise its a nice song to me..

  • @njeryhcheghe9718
    @njeryhcheghe9718 4 года назад +14

    Speak of a good song and I will tell you of this Jam a praise song ametenda na ataendelea kutenda na ainuliwe milele ni Mungu mwenye Nguvu Daktari wa Mioyo yetu....thank you Man of God been waiting for this song finally its here barikiwa

  • @naomimutimba4406
    @naomimutimba4406 2 года назад

    You are really God sent...ubarikiwe na zaidi🥰🥰

  • @emilywasari170
    @emilywasari170 4 года назад +1

    Wow my brother ....huu wimbo umenibariki sana😭😭😭😭😭🙌

  • @carolinemboroki6351
    @carolinemboroki6351 3 года назад

    Amen Hakuna kama wewe bwana

  • @maureennechesa5242
    @maureennechesa5242 3 года назад +1

    King this one is a great blessing to me. Thank you bro

  • @suzankayo286
    @suzankayo286 4 года назад

    Waaaaaaoh !! Hakika hakuna Kama ww Mungu mku

  • @KwaleCountystudios
    @KwaleCountystudios 4 года назад +1

    I bless God for using you... Huu wimbo umekua wakati nakuhitaji... Mungu akuzidishie

  • @abbiefavour2793
    @abbiefavour2793 4 года назад

    Umeinuliwa hakuna kama wewe..naipenda

  • @lumadedem.imeldanyarengine3591
    @lumadedem.imeldanyarengine3591 2 года назад

    The energy is top notch,,,,,,,, wueehhhhh

  • @newtonndegwanetworks6494
    @newtonndegwanetworks6494 4 года назад

    Great song......none like Jehovah

  • @gracekiarie4259
    @gracekiarie4259 4 года назад +1

    Amen so powerfull

  • @moiben663
    @moiben663 4 года назад +1

    good job bro

  • @aspiredeemusick6765
    @aspiredeemusick6765 4 года назад +1

    Soo blessing song and touching

  • @wmr12
    @wmr12 Год назад

    🎉🎉🎉 Baba Hakuna

  • @jennifermakau7807
    @jennifermakau7807 2 года назад

    MOG may God continue using for more souls. Am blessed

  • @emmyemmyy4302
    @emmyemmyy4302 3 года назад

    Amen Mungu awabariki sana

  • @kimatuprecious8048
    @kimatuprecious8048 4 года назад +1

    Hakika Hakuna Mungu Mwingine Kama wewe!!!!!!! what a powerful song! be blessed servant of the lord

  • @maggiemwende4833
    @maggiemwende4833 4 года назад +1

    Umeinuliwa hakuna kama wewe!! I love it, great job

  • @carolinemboroki6351
    @carolinemboroki6351 3 года назад

    Amina umetukuka bwana

  • @geoffreyongaditv2546
    @geoffreyongaditv2546 4 года назад +11

    This song makes me worship God even more during pandemic times

  • @lilliannyabuto4197
    @lilliannyabuto4197 4 года назад

    Wow ..Nice song..Baba Hakuna,

  • @nelciemauko3698
    @nelciemauko3698 4 года назад +8

    Powerful Song.He is indeed lifted up over any principality there is non like Him.Thank you for the timely song .God bless you more. Piga like if you are blessed.

  • @estherwahomeofficial7198
    @estherwahomeofficial7198 4 года назад

    Beautiful work as always

  • @kimaribella3761
    @kimaribella3761 4 года назад

    Wow,wow, I celebrate you Burton. More,more grace...

  • @merclinemmbone2707
    @merclinemmbone2707 9 месяцев назад

    Kabisa hakuna mungu mwingine

  • @Sharlyne-iv9xu
    @Sharlyne-iv9xu Год назад

    Wooooow this song is powerful..may God uplift you more, also wish to praise like you

  • @ronniekamandawayesu37
    @ronniekamandawayesu37 4 года назад +2

    Powerful song servant of God be blessed

  • @ugbswebakenya_1_hqoffices472
    @ugbswebakenya_1_hqoffices472 4 года назад +1

    Halleluyah I love this song

  • @Mutheu_Faith
    @Mutheu_Faith 4 года назад +1

    Wow!! So so powerful

  • @metrinenafula3634
    @metrinenafula3634 4 года назад

    Oooh hallelujah!! What a worship song?

  • @mummyephy
    @mummyephy 3 года назад

    Listening to this song on citizen tv....imenibariki sana,love your songs.... GOD bless you 🙏

  • @dandjmusic2839
    @dandjmusic2839 4 года назад +1

    Umeinuliwa hakuna kama wewe. Great song. Keep up the good work.

  • @brendamonniofficial338
    @brendamonniofficial338 4 года назад +1

    Great great one Burton King.

  • @mercysalome616
    @mercysalome616 4 года назад +1

    The best song ever..

  • @everlynmumo6862
    @everlynmumo6862 Год назад

    I woke up with this song in my spirit, I had to come looking for it.... umeinuliwa hakuna kama wewe baba

  • @beckieblessed8058
    @beckieblessed8058 4 года назад

    Umeinuliwa hakuna kama wewe 🙌🙌🌟🌟🌟🌟 shine my brother your time has come aki this is one is 🔥 🔥

  • @mercylinemwangiri4130
    @mercylinemwangiri4130 Год назад

    Eeih!!! This is powerful!!!

  • @Sylviaakoth461
    @Sylviaakoth461 4 года назад +2

    Kweli ametukuka..... Im in love with this one bro.... May GOD KEEP pouring more of him in you....

    • @BurtonKingBK
      @BurtonKingBK  4 года назад

      And you did so well on the back ups!

  • @jacklineedith1531
    @jacklineedith1531 4 года назад +1

    Pongezi sana

  • @sophyakinyi6249
    @sophyakinyi6249 4 года назад

    Waooooh direct Worship very powerful

  • @RIL979
    @RIL979 4 года назад +1

    Repeatedly kubarikiwa ndio kwingi, God bless you my Brother Amen

  • @felistusngui3600
    @felistusngui3600 2 года назад

    Amen I love your ministry

  • @verahpraise5615
    @verahpraise5615 4 года назад +3

    A song of the season. Katika hali zote mungu umeinuliwa kwa maana hakuna kama wewe.

  • @newtonsimba7930
    @newtonsimba7930 Год назад

    Amen.. Awesome ❤️🇰🇪.

  • @ibrahimmuhonda4394
    @ibrahimmuhonda4394 4 года назад +1

    Very nice and powerful song, hakika hakuna MUNGU MWENGINE KAMA YAHWEH, ANASTAHILI SIFA, GOD BLESS YOU MAN OF GOD

  • @moseskeguro8223
    @moseskeguro8223 4 года назад +4

    Love the song.Very powerful. Truly Mungu ameinuliwa.

  • @jossyben5338
    @jossyben5338 4 года назад

    Thanks for allowing God to use you to bless us.

  • @vivianmunene4867
    @vivianmunene4867 2 года назад

    God bless you Bishop for this wonderful and moving song.. nimependa juu wimbo Sana..

  • @geoffreymmbukha8888
    @geoffreymmbukha8888 4 года назад

    Baba akuna what a powerful message

  • @johnwanjiku3502
    @johnwanjiku3502 Год назад

    I like these Burton be blessed

  • @lydiaivita3742
    @lydiaivita3742 4 года назад +1

    Eish great him....God bless you abundantly

  • @vaneosoro3512
    @vaneosoro3512 2 года назад

    Wonderful song more blessings

  • @abednegomusyokaofficial
    @abednegomusyokaofficial 4 года назад

    More Grace Burton...I like your ministry

  • @irmuproduction
    @irmuproduction 2 года назад

    Hakuna mungu mwingine kama wewe.... 🙏

  • @kevinmihona1538
    @kevinmihona1538 4 года назад

    your passion and energy is out of this world. keep on keepeping

  • @berylatemo4479
    @berylatemo4479 4 года назад

    Powerful song.. God keep you Min Burton King

  • @karreyimani
    @karreyimani 4 года назад

    Beautiful song Burton

  • @GloriaMuliro
    @GloriaMuliro 4 года назад +25

    Powerful worship. Glory to God

  • @yustamucangi9735
    @yustamucangi9735 4 года назад +1

    Wow! Beautiful vocals great song to God be the glory