JESSICA KIIL FT WANNY S KING. WANGU MAMA
HTML-код
- Опубликовано: 17 янв 2025
- GOMA OSLO KONGO kinshasa mapendo wazazi swahili
wangu mama
Namupendaga sana
Nasinaga complex kubi eleza
Akanitiya kwa iyi safari twa itaga maisha
Every were i go people must know this thing
you are my mama Africa, i love i love i love, kule mbali bakupe amani.. Thank you Wanny S King
Wanangu siende mbali
Nmwe wafunza juhudi na mapendo
Yakuishi duniani
Nikafunza muepuke mabaya
Munaseme eti mimi siko kama mama wengine.
Eti wanangu pendeni mama zenu na wangali wazima
Usimu post kwenye social media yeye akisha kuacha
Nani kama mama, Love to al all mama around the world from your kids around the world. JMK