MPYAA❗️❗️ Jinsi ya kusuka na kuweka mawimbi kwenye NYWELE 📌 Hii video itakusaida sana Gusa link👆

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 окт 2024

Комментарии • 78

  • @aminashabani-jo2xm
    @aminashabani-jo2xm 2 месяца назад +1

    Mi nakupenda sana unakazi nzuri hongera sana❤🎉

  • @YasintaAbel-y5o
    @YasintaAbel-y5o 9 месяцев назад +2

    Dada. Nakupenda sala mungu akubaliki sana unamoyo wapekee

  • @RebbyMtui
    @RebbyMtui 27 дней назад

    Napenda sana darasa lako dada Mungu aibariki sana unatusaidia pia Sisi wadogo uku kijijini

  • @mil580
    @mil580 9 месяцев назад +2

    Watching from kenya❤❤ nimejifunza vitu vingi ssana kwenye hii channel yako be blessed my sister

  • @HonorinaMlelwa
    @HonorinaMlelwa 5 месяцев назад +1

    Ubarikiwe dada farida kazi nzuri sana

  • @BetyGlidius
    @BetyGlidius 2 месяца назад

    Dada Mungu akubarik tka nimeanza kukufatilia sna shoow mbvu

  • @SalhaMalya-td3cy
    @SalhaMalya-td3cy 7 месяцев назад +2

    Ukishaweka roraz unamuweka kwenye dray.?

  • @magangechiuna4751
    @magangechiuna4751 13 дней назад

    Nimepends sana dada farida uko vozuri

  • @RahmaSianga
    @RahmaSianga 3 месяца назад

    Asante Dada Farida nashare pia

  • @RosemaryNgaiza
    @RosemaryNgaiza 8 месяцев назад +1

    Nimeipenda sana

  • @AniphakisasaAniphakisasa
    @AniphakisasaAniphakisasa 3 месяца назад

    Inapendeza sana dada mimi nataka nijue jinsi ya kuweka sitaili ya notresi

  • @pendosospeter4807
    @pendosospeter4807 9 месяцев назад +1

    Nimependa kwenye kuweka mawimbii ❤❤

  • @leahkaneza1731
    @leahkaneza1731 8 месяцев назад

    Waouh ! Nzuri sana 🥰🥰🥰🥰

  • @WitnessMdule
    @WitnessMdule 5 месяцев назад

    Asante sana dada

  • @ashurahussein5479
    @ashurahussein5479 3 месяца назад

    farida mungu akuongezee

  • @christinamusyimi
    @christinamusyimi 5 месяцев назад +1

    Dada ukimalia kufunga hizo lola unaweka maji Moto ama kwa dray

  • @thereziajoseph6952
    @thereziajoseph6952 9 месяцев назад +1

    Love from this side

  • @ConfusedHockeyPlayer-zx2ff
    @ConfusedHockeyPlayer-zx2ff 8 месяцев назад +1

    Nice

  • @Rashida-p2u
    @Rashida-p2u 2 месяца назад

    Ukimaliza kubana rola unazichoma maji ya moto au inakatisha kwenye draya

  • @MilnahKareem
    @MilnahKareem 8 месяцев назад +1

    Unatumia rasta za kawaida au aina gn ya nywele ulotumia.?

  • @cocolys4599
    @cocolys4599 9 месяцев назад +1

    Good job❤
    Please do you put in hot water?

  • @DorceAndrew
    @DorceAndrew 7 месяцев назад

    Mungu akupe ujuz zaid penda san xxter

  • @MariaMdumi-xs2zx
    @MariaMdumi-xs2zx 6 месяцев назад

    Waoooh nimejifunza kitu

  • @IreneJames-h8u
    @IreneJames-h8u 8 месяцев назад +3

    Ahsant my ila ikimalix rolas unaweka kweny maji ama inakuaje

    • @TekraHairstyle
      @TekraHairstyle 6 месяцев назад

      Samahani Ili mawimbi yatoke unaweka nn

  • @ElizabethJengela
    @ElizabethJengela 9 месяцев назад +1

    Always love yaaa❤

  • @EvaTigiti
    @EvaTigiti 7 месяцев назад +1

    Ukiweka lola kisha unaweka maji moto au kwenye draya

  • @AtuganileObed
    @AtuganileObed Месяц назад

    Ukishaweka rora anakaa kwenyemaji au draya

  • @AshaKwembe
    @AshaKwembe 8 месяцев назад +1

    Ukiweka Lola unamuweka kwenye Drayer au ?

  • @JackChaly
    @JackChaly 9 месяцев назад +9

    Ukishaweka Lola unafanyaje anakaa kwenye draya au maji moto

  • @ShalomAloyce
    @ShalomAloyce 8 месяцев назад +1

    barikawa sana

  • @JanethMendrad
    @JanethMendrad 20 дней назад

    Sasa mbona hajibu uyo ddada farida kama ukishaweka Rora unafanyaje

  • @NadiaHamis-kl9ge
    @NadiaHamis-kl9ge 8 месяцев назад

    Ukishaweka rolaz unafanyaje anakaa kwenye dray au inakuwaje

  • @ZenaJuma-n1f
    @ZenaJuma-n1f 3 месяца назад

    Katumia bunda ngapi

  • @GraceJames-t2q
    @GraceJames-t2q 7 месяцев назад +1

    Ukisha lola unaweka kwenye dray au maji moto

  • @StaryoungBillionairegirl
    @StaryoungBillionairegirl 6 месяцев назад

    Kazi nzuri

  • @VeronicaPatrick-ed8tv
    @VeronicaPatrick-ed8tv 6 месяцев назад

    Hii ndo njia rahisi❤

  • @YorandaSamwel
    @YorandaSamwel 6 месяцев назад

    Dada ukishaweka rola anakaa kwenye draya au maji moto??

  • @BeatriceAthanazi
    @BeatriceAthanazi 6 месяцев назад

    Mambo Farida naomba unisaidie clouse yakutengenezea wigi naweza kuipataje

  • @DoroteaJohn-p4p
    @DoroteaJohn-p4p 9 месяцев назад

    Ukimaliza unaweka maji ya Moto au anakaa kwenye draya dada

  • @merrytemu7881
    @merrytemu7881 3 месяца назад

    I love you dada farida

  • @Christinerose-i5u
    @Christinerose-i5u 3 месяца назад

    Asete dada Mimi nataka kujifuza kupamba

  • @AshaNchia
    @AshaNchia 5 месяцев назад

    Ada ya kujifunza ni bei ngapi na inachukua muda gani!!?

  • @IreneJames-h8u
    @IreneJames-h8u 8 месяцев назад

    Jaman atakae pewa jibu kuhus ukiwek rolas atuleteee n sisi

  • @RehemaDavid-n4c
    @RehemaDavid-n4c 8 месяцев назад

    Najivunia wewe madam farida

  • @KelvinNemes
    @KelvinNemes 13 дней назад

    zinawekwa kwenje maji ya moto

  • @AnethMgaya-j2u
    @AnethMgaya-j2u Месяц назад

    Nahitaji kujifunza online mpendwa

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 2 месяца назад

    🎉🎉❤❤

  • @LainesLucas
    @LainesLucas 23 дня назад

    ❤❤

  • @MariamSanga-nr9rj
    @MariamSanga-nr9rj 4 месяца назад

    Dada apo umeweka maji ya moto au Nikola pekee

  • @SaraphinaKamenyande
    @SaraphinaKamenyande 9 месяцев назад +2

    Da Farida kwahyo hapo ukimaliza kuweza lola unachoma maji moto au anaingia kwa dray??

    • @mathacaristo4293
      @mathacaristo4293 6 месяцев назад

      Ila na nyie mnamakusudi Sasa bila kuweka kwenye maji ya Moto unahis itwkuwaje na mawimbi

  • @vailethEmmanuel-bh5jg
    @vailethEmmanuel-bh5jg 6 месяцев назад

    Umetumia rast gan

  • @BetyGlidius
    @BetyGlidius 2 месяца назад

    Nina salon lkn nilkua swez nimeweza kujua kupitia Dada Farida uishi miakaaaa

  • @rachelmchome7343
    @rachelmchome7343 5 месяцев назад

    Mnafundisha tu au hata kusuka mtu akija mnamsuka?

  • @IreneMatokeo-j8j
    @IreneMatokeo-j8j 9 месяцев назад

    Dada laki 6 ntajifunza ndani ya muda ganii!?

  • @IreneJames-h8u
    @IreneJames-h8u 8 месяцев назад

    Au anakaaa mda Gani ?

  • @RithaNestory-f2p
    @RithaNestory-f2p 6 месяцев назад

    Sasa apo umefanyaje nimeonba rora

  • @ashahizza3488
    @ashahizza3488 7 месяцев назад

    Haiwekw maj mot jmn sijaelewa

  • @sophychriss8261
    @sophychriss8261 9 месяцев назад

    tupe jibu dear ukiweka lola unaweka maji ya moto au

  • @mlasiApolina
    @mlasiApolina 8 месяцев назад +1

    Tujibu basi loraz unaweka kwenye maji moto?

  • @fatmamayunga6250
    @fatmamayunga6250 9 месяцев назад

    hapo ukishaweka Rolaz unaweka maj ya moto au

  • @SophiaEmanuely-c6q
    @SophiaEmanuely-c6q 9 месяцев назад

    ukisha funga rora unaweka kwenye maji moto au

  • @janeemmanuel3615
    @janeemmanuel3615 6 месяцев назад

    Ukijiunga kwenye madarasa ya online vyote hivyo utavifahamu wanamadarasa ya online pia

  • @AgnessAthumani
    @AgnessAthumani 9 месяцев назад

    Madam ukishaweka Lola unaweka maji moto au

  • @joycejoseph9099
    @joycejoseph9099 5 месяцев назад

    Hii rasta inaitwaje

  • @neyanjawe9202
    @neyanjawe9202 8 месяцев назад

    Hiyo laki sita ni pamoja na hostel au

  • @IreneMatokeo-j8j
    @IreneMatokeo-j8j 9 месяцев назад

    Dada izo rola tunachoka kwa maji moto au

  • @Azluu344
    @Azluu344 9 месяцев назад

    Hapo kwenye mawimbi unaweka maji moto au

  • @furahaSagoti
    @furahaSagoti 8 месяцев назад

    Unastaili dada wewe ni mwalim.

  • @DorisiastivenjohnStivenjohn
    @DorisiastivenjohnStivenjohn 4 месяца назад

    Naomba namba yako farida

  • @ZanuraMohamed
    @ZanuraMohamed 4 месяца назад

    Q ppl