PENZI LA KINYOZI [ 1 ] ❤️🌹 Love Story

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 80

  • @jobsimpamba71
    @jobsimpamba71 Год назад +4

    Asante sana kijana Tajiri wanawake wanatama mbaya sana

  • @chanyaboys4675
    @chanyaboys4675 Год назад +2

    Nely sharauty sana mdog wang big up

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 Год назад +4

    Tamaa zilikupoza kibonge😂😂😂😂😂😂

  • @maryd1538
    @maryd1538 Год назад +4

    Daah hii ni kali sis niwanawake kwel lakin hii 2 much❤❤❤

  • @Mariam-u6z6f
    @Mariam-u6z6f Год назад +1

    Atajutia sana na mwisho wa ubaya ni aibu

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад +1

    😅😅😅😅😅😅mchugaaa anakulaaa chumaaa na yeye mamae kaondokaa kwa kinyoziii sasa mwamba kakamuqq kachokaaa kamrudieee mmewakooo😅😅😅

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 месяца назад

    Dada utajuta Hyo mwanaume Anaye kuambia anasafir Cio kusafri ameshindwa Na majukumu daaaaah dada yamekukutal ulijiona umepat mume sasa Pata maumivu

  • @jeffykuria2853
    @jeffykuria2853 Год назад

    Tamaa mbaya bora ule na chumvi kuliko tamaa

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад

    Utaishii kqma mwanzo 😅😅kwelii wanawake wajingaqq sanaa

  • @mziguwaosman8539
    @mziguwaosman8539 Год назад +8

    Wewe mwanamke utajutia hata huyo unaye mfuata alianza maisha kama ya muke wako

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 Год назад +3

    Nimechelewa jameni lakini nmefika😂😂😂😂

  • @rukhaiyoden-yp8wo
    @rukhaiyoden-yp8wo Год назад

    Bonge la move pana chakujifunza hapa

  • @FarestinoManfredy-wi8zw
    @FarestinoManfredy-wi8zw Год назад

    Kumbe tamaa sio nzuri

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 Год назад

    😂😂😂😂😂 hayo maneno tu utajua hapo hamna kitu baadhi ya wanawake wanahadaiwa na maneno ya k8tapeli

  • @ndegesaire2580
    @ndegesaire2580 11 месяцев назад

    Njoo Arusha

  • @ShedrackKazubha-dc6xd
    @ShedrackKazubha-dc6xd 7 месяцев назад

    Sio mbaya

  • @sylvanjosam3402
    @sylvanjosam3402 Год назад +1

    Tamaa mbayaa san ukiliwa kwixha😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @SalumRawahy
    @SalumRawahy Год назад +6

    Wanawake wacheni tamaa shukruni unachopata hata mume awemasikini ikosiku itapata kuliko hicho

  • @saimonMatongo
    @saimonMatongo 11 месяцев назад

    Hii imeenda

  • @ndayisabaneema9514
    @ndayisabaneema9514 Год назад +2

    Jamani leo nimewahi kweli

  • @Yohana-f5b
    @Yohana-f5b 11 месяцев назад

    Badoo hauja semaa😂😅❤

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад

    Mwqmbaaa kazugaaaa😅😅😅😅 nyieee nikooo paleeeee

  • @saumJuma-q3e
    @saumJuma-q3e Год назад +1

    Huyu mdada hayuko.surius kwenye mouv yan kapewa maneno makali hana taharuki yuko kawaida uso.wake uko.kawaida.yan bado

  • @ayshanani
    @ayshanani Год назад +1

    Filamu Safi usiache mbachao kwa msala upitao dada punguza tamaa Ona sasa

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад

    Mchagaa tena kwenyee elaaa labda sioo mchugaaa😅😅😅😅😅😅

  • @FarajaMakala
    @FarajaMakala 11 месяцев назад

    ni movi lakini ni uhalisia yamenikuta hayo ilah wanawake mungu awatangulie😢

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki Год назад +3

    Wa nane nipewe links zangu donta TV naona hailali kwa kutuburudisha❤

  • @Don_abujay
    @Don_abujay Год назад +3

    Daaah sisi vinyozi tunakazi ila kuwala tunawala tyu ❤️✂️✂️

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 Год назад +1

    Hii series ni moto wa kuotea Mbali🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад

    We kengeee qchaaa ubwegeee yanazoelekaa mwambaaa😂

  • @joeboyjoel3150
    @joeboyjoel3150 Год назад +2

    Wanawake acheni tamaa kwa maneno ya kipumbavu tumieni akili mnafeli xana.

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад

    Nyieee ndooo mnae sababisha majambazii yanajaa kwasababu ya ushawishiii😅

  • @jacklinezawadi
    @jacklinezawadi Год назад +1

    Ndio kuingia sahii jaman

  • @MartinEmmanuel-eh7fu
    @MartinEmmanuel-eh7fu Год назад

    Pole sana bongee!

  • @NasraNyimbo
    @NasraNyimbo Год назад +3

    New comer from Dontas Family

  • @kadzojamesjameskadzo3950
    @kadzojamesjameskadzo3950 Год назад +1

    Tamaa mbaya ona sasa umeumbuka😢😢

  • @محمدالعطوي-ش5ه
    @محمدالعطوي-ش5ه Год назад

    😅😅😅😅uje kwetu kenya kufanya nn😅😅😅😅😅

  • @DE_AIRAM_DOLLAR_FILMS.
    @DE_AIRAM_DOLLAR_FILMS. Год назад

    Dah!! Madanga bana...

  • @ayshaaysha3489
    @ayshaaysha3489 10 месяцев назад

    Wanawake hapo ndo tunaferi tama yatakukuta huko nenda

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад

    😅😅😅mwamba kabadiliii gia anganii 😅😅😅

  • @kinyuakitaka2408
    @kinyuakitaka2408 10 месяцев назад

    Waenda nautarudi wamuacha mumeo na huyo unayemfata atakuacha pia

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад

    Muacheee akwendreeee😅😅

  • @MmKkk-c7o
    @MmKkk-c7o Год назад

    Kimekuramba wewe 😂😂

  • @IssaBiche-y1v
    @IssaBiche-y1v Год назад

    @ mwache aende 😂

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 Год назад +1

    Usiliye wa mwanamke uko na tamaa!

  • @JosephPaul-hd2qf
    @JosephPaul-hd2qf Год назад

    Dada uhalisia hauujui piga mazoezi uvae uhalisia

  • @Anuuuiioioioop
    @Anuuuiioioioop Год назад

    Nice move

  • @mziguwaosman8539
    @mziguwaosman8539 Год назад +1

    Wanaume unapo haribu nyumba ya mwenzio juwa yako itaharibika kushinda ya mwenzio na mwanamke ni sawa na mtomto ukimdanganya na pipi tu huwa anadanganyika

  • @haluwahavla9740
    @haluwahavla9740 Год назад +2

    Waaaau very interesting story ❤❤❤❤ tamaa mbaya kweli😂😂😂

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 месяца назад

    Kinypzi ucjali Hyo mkeo acjione amepata Hyo mume n mda mchache Atakukumbuka 2liza Moyo wko haikupangwa Bahati yko Kinypzi Bahati y ko ipo Yaja Mvumilivu hulambivu

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад

    Dada mbonaaa kagandaaa aende sasa😅😅😅ayaaa MTAZAMAJI WA ITV KULA CHUMA ICHOOO😂

  • @tualibobacar45
    @tualibobacar45 Год назад

    Malayaa uyooooo😅😅😅😅

  • @SelinaSelina-yh3zx
    @SelinaSelina-yh3zx Год назад +1

    Mmmmmmmmmhhhhhh

  • @Kulwa-c3t
    @Kulwa-c3t Год назад

    Mwache aende atarudi kwako tu

  • @ramaamofarah8967
    @ramaamofarah8967 10 месяцев назад

    That's hypocrisy of getting advantage of someone's status 😢😮

  • @FabriceMuzungu-x7w
    @FabriceMuzungu-x7w 3 месяца назад

    Ndio maana vijana tunafariki hovyo

  • @Eunicekasupuu
    @Eunicekasupuu Год назад

    Oh gosh😂😂,huku Kenya tunasema kimemramba😂😂😂

    • @aronpaul2331
      @aronpaul2331 Год назад

      😅😅😅tamaaa kibaoooo mamae.yaaan we acha tuuuu😊

  • @IssaBiche-y1v
    @IssaBiche-y1v Год назад

    @ mwache aende

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад

    Ayqaq sasa😅

  • @FarajaDaudi
    @FarajaDaudi Год назад +1

    Duuh

  • @dausonmethod618
    @dausonmethod618 Год назад

    Na likawe funzo hata kwawanawake wengi wenye tamaa kama yako

  • @robertlinuma6051
    @robertlinuma6051 Год назад

    Huyu ndo mwanamkewa kiafrica .hajui anaTaka nn /anqfanyq nn zaid ya tqmqq

  • @liliancherop5227
    @liliancherop5227 Год назад +1

    Kimekuramba wewe

  • @mattarhabib521
    @mattarhabib521 Год назад +2

    0:40

    • @KatunziKatunzi-yy2vq
      @KatunziKatunzi-yy2vq Год назад

      Nafikiri mwanamke amegawanyika sehemu mbili kuishi na raha au shida mn umalaya ni shida kulala na mwanaume bila kujua historia yake ujue hata kama kaolewa lazima upande wa maumbile utajulika tu kujua yupi mwanaume wa kutunza familia

  • @faridahally6314
    @faridahally6314 Год назад

    ❤❤❤

  • @dijeeygetkim
    @dijeeygetkim Год назад +2

    wapi likes zangu jamani

  • @liliancherop5227
    @liliancherop5227 Год назад

    Utakuja kulia wewe mwanadada

  • @ShariphaHamidu
    @ShariphaHamidu Год назад

    Nampenda Nelly mwenzenu jmn

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 Год назад +4

    Duh ama kweli radhi ya mume ina nĝuvu...sasa umeachwa solemba ndio ujuwe wanaume walivyo

    • @FrancoisNiyungeko-nv8xx
      @FrancoisNiyungeko-nv8xx Год назад

      N'n n'n n'n o en n'n non ki de n... Nij oooo. N'n

    • @DeodigardRwechy
      @DeodigardRwechy Год назад

      ​@@FrancoisNiyungeko-nv8xx❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤6

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад

    Kikowapi😅😅😅 leooo kikooo kuleee😅