Tafuta RUclips utaona alipokuwa anawaga na mkurugenzi wa times fm alikuwepo na akapewa baraka zote na wakasema yeye siyo wa kwanza kupitia hapo waliwataja wengi tu
WCB unaleta pigo za kiwaki za hamornaze apah we kuchaaa nn acha Shobo za Wasafiii huku kama hauwelewi mada dingiii utanyonywa huku wasafiiiii 🎤🎤🎤🎤 mondi babalaooooo simbaaaaaa
Safi sana dida, haya jamani karibuni kwenye chaneli yetu ,bonyeza picha , itakuleta kwenye chaneli yetu kupata habari zote za insta na zinazotrendi🤣🤣🤣🤣
dida kakae ufikirie mara mbil mbil unaajiriwa ñà mtu mwéńýë miaka 10 kwenye industry we una miaka 18 kwenye industry nilijua ukitoka tm fm unaji ajir akil kum kichwaa maana çò kum ubongoo ñďò hukoo
sasa mbona siku ya kutambulishwa ukaanza mafumbo eti upande wa pili nini maana ya upande wa pili nitawakera zaidi nini maana yake bas we neng'eneka kipindi sun kitakufa ichooo 😜😜😜
hakuna asiependa pesa katika kazi challenge zipo mtu unaacha ziwa la mama yako iweje kazi"" kazi sio kabila dida pambana achana nawavimba macho kazkaz#
Am very happy I swear!!!!wasafi tunasonga mbeleeee
mm nimefraaah didaaah htwar wasafiiiiii baba lao
MASHA ALLAH, nimefurahi sana ,mabrook kwa mond naona wasafi ina vigogo vya wana habari Masha ALLAH
Dida yuko fire.nampendaga❤alkua mc wa kitchen party yangu alinogesha hatar✔🤗WASAFI CHAMA LAO✔🙌
Sijutii kushabikia good bless my friend my brother mond platnumz
Dida ht ss wt WAchama la wasafi ww kuingia Chamani ukipata nafasi wasafi yn bonge la dili piga kz mama
Siimbaaaaa hongera sn diamond cozz unaleta watu ambao wNaitajika haswaa ktk jamiii god bless u
Nawakubal sanaaaa WASAFI media MUNGU wabark 🙏
Kwahyo sasa ivi kila kitu wasaf Yan 😇😇 full blessed ,
Love Didah piga kazi dadaake😚😚
Fanya kaz mamaaaaaa We love ú
dimond anaakili sana anajuwa kuitafuta pesa kwani nawanaomchukia ni wivu tyu wa maendeleo lakini badae wataelewa zaidi 🎤🎤
waooh welcom dida wasafi oyooooooo......
Diamond tusambazie Radio Tanzania nzima
Nakukubali sana dida❤️❤️
Hongera sana madam❤.
hongera sana wasafi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wow kwel habari njema
Dida nakupenda na nlikua na ww tangia mwanzo mpka munaliza show ya masham sham big up sana.
Kafanana na amber rutty
Kalibu dida DDD dida😍😍😍
Hahahhahahahah kwa mwendo huu mpaka December tutaelewana tu
Didah we mzuri sana nakupenda sanaaaaaa❤❤❤❤❤
Dida na💖💖💖💖
Ungewajibu asopenda pesa nani??watu wanafata naslahiii..sihurumaa au mazoweyaaa laa hashaaaa...pigakazi
Karibu sana Dida wasafi ndio baba lao
Leo mnasema katoka kwa baraka ila tunasubiri tutayaskia baadae
Tafuta RUclips utaona alipokuwa anawaga na mkurugenzi wa times fm alikuwepo na akapewa baraka zote na wakasema yeye siyo wa kwanza kupitia hapo waliwataja wengi tu
Napenda hizo zako 😍
Wasafi🔥🔥🔥
Safiii
Ahsante chibu
First viewer nipo Kenya kama unamkubali harmonize tia alama konde gang for life
WCB unaleta pigo za kiwaki za hamornaze apah we kuchaaa nn acha Shobo za Wasafiii huku kama hauwelewi mada dingiii utanyonywa huku wasafiiiii 🎤🎤🎤🎤 mondi babalaooooo simbaaaaaa
Hapa hapakufai utakereka zaid
watafuta nn uku kuma ww kamxhabikie huyo kundu boy kwenye paji yake uko
Kuma wew unaleta habari za harmonize hapa nenda kwenye akaunt yake mamae wew,
Kuma ww
safiiiii
Safi tupo pamoja dida
Duuh..mpaka wewe dida!!me nilitegemea sasa hivi ungekuwa level za Zamaradi..sio kuwa chini ya mtu tena!we legend dida miaka 18 kwenye game!!
Idriss kitaa usafini 💥💥
Ooohooooooooo
Good
Dadeki mambo ni motoooo washa washa dida tulisongeshe gurudum l wasafi wataelewa tuuuu.
Tulijuwa miaka 10 ya Diamond utatuletea Radio nyumbani Kigoma
Starford Alex shukruni kawajengeya miskiti
Penda sana😍😍😍😍❤❤❤❤ Nida
Duuh unaonekaanan haujafungiwaa line ndo maana unapendaa nida
Dida mama lao
Wasafi oyeeeeee
Oyeeeeeeeee
dida tams imekufa dada😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
bado lili omy
Wcb Chama la wana
Timembakiza LiliOmmy nae atakuja tu kwenye chama welcome bro LiliOmmy
Safi sana dida, haya jamani karibuni kwenye chaneli yetu ,bonyeza picha , itakuleta kwenye chaneli yetu kupata habari zote za insta na zinazotrendi🤣🤣🤣🤣
poaaa nakuelewaaaa
Nakubali
Uyu Mtoto wa tandale ana nia gani na izo media za zamani duuuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hiyo ni biashara baba
Wasafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii babalaooooooooooooooooooooooooooooooooooo simbaaaaaaaaaaaaaaa babalaooooo
Huko times kunani jmn mbona mapicha picha
Kwa matatizo ya ngozi, uzazi,michirizi,makovu,nyama uzembe,kuongeza shape,hips,n.k
Dawa zipo, karibu ofisini, sms/whatsap 0693_330284
Watakereka zaidi...
piga kazi dida
Hapa ndio kwenu haujapotea njia
Kama unapenda simulizi za kihistoria, karibu kwenye channel yetu
Yaani dogo anazidikuwakera kweli,kama anaplani yakuvunja redio zote
Wasaf ndio chama lao,
Aliyesikia neno hainishitui gonga like hapa
Nimekuelewa mwanangu say konde gang for life
🔥🔥🔥🔥🔥
Makibw
Duh embu like hapa
Dida tunakupenda
Karbuu nyumbn
Mkunaji kapewa jipu uchungu lisilo iva kazi kwako dida
Duh..sasa hzo kope mbona kama zinafumba macho
Kama umesikia Hainistui like hapa.
Mmeipania times fm
Nasema hiviii...nitakukera zaidiiiiiiiiiiiiii....hahahaaaaaaaa
Tatizo FM mbeya
wao nanusu
Mbona amefanana na Mo music wahuko bongo. Ama mimindio naona vibaya?
Simbaaa sambaza redioo tz nzimaaaa mkuuuu
Wasafi Media inazidi kukua kwa Kasi ya ajabu sana
Dada dida tume Kumisi
Tunahtaji wasaf FM mikoan jaman chonde chonde
WCB chama kubwa
Wasafi fm chama lao
Namuona issa apo😅😅😅
Sasa asiependa pesa nani?unatumika miaka nenda miaka rudi mushahara hakuna kuongezewa,maisha yenyewe magumu angefanya je, sio eti atakujarisi baadae
Kiniunga wcb tu au wasafi tayari umesha kua mtu maarufu
dida kakae ufikirie mara mbil mbil unaajiriwa ñà mtu mwéńýë miaka 10 kwenye industry we una miaka 18 kwenye industry nilijua ukitoka tm fm unaji ajir akil kum kichwaa maana çò kum ubongoo ñďò hukoo
Ubaya wasafi hawachukui vipaji vipya wanachomoa kwa wenziwao
Hii ni business lazima watu wapate faidaa...
Shida nikwamba Wasafii kuna mishahara mizuriiiii so hata wao hawana makosa
Anaua media nyinginee apo amna biasharaa tena
hii ni dunia ya ushindani so ukiogopa kushindana utaferiii huo ni usajiriiii kama team ya mpiraa
Hii mikorogo jamani wanawake WA Dar mnakaa Kama samaki wa kupaka
Hahahaha
😂😂😂😂
😃😃😃
😂😂😂😂
Duh! Jonijoo,dida wote kule.... Wakimchukua na lil ommy watauaaaa
😏😏
😂😂😂😂😂
Tatizo la kazi za private ukiacha kwao wao ndio wanaanzisha bifu nawewe, wewe ht km una nia njema kwako ya maslahi binafsi.
sasa mbona siku ya kutambulishwa ukaanza mafumbo eti upande wa pili nini maana ya upande wa pili nitawakera zaidi nini maana yake bas we neng'eneka kipindi sun kitakufa ichooo 😜😜😜
Kalbu usafini dada
Kiukweli nimefuhi sana dida kuja wasafi so am very angry...
kwani huyu dada alikuwa media gani wadau?
Times fm
Aliwah sema hata iweje hawez ondoka times FM what happened hahahahaha Doh wasafi hawa, heti usipo nawa utayaoga
Acha unafiki ww unataaa xn
Huyu didah alikuwa media gan vle
Juma Yasini times fm
Times fm jameni mimi mkenya ila tz ndo nyumbani 🤣🤣🤣🤣🤣
BBC
Safi sana
Mimi nikimjua kama Hadija.....ubungo n.h.c...maisha bana...l
hakuna asiependa pesa katika kazi challenge zipo mtu unaacha ziwa la mama yako iweje kazi"" kazi sio kabila dida pambana achana nawavimba macho kazkaz#
Rudisha mtaa kwa mtaa za kiswazi
Kuna jamaa alitaka abambie mwanzon ipa alachelewa
😂😂😂😂 du
Nisaidieni huyu mama ana rangi gani? Kijivu au bluu sijaelewa mwenzenu🤗🤗
@@naimayusuphu5864 kajichafua kinoma aisee
Hahahah
Hivi Huyu Dida Ni mzungu ??????
Mkorogo tu
@@saymarsaymar4654 😂😂
jumalolole hapendez kua ktk kipind lafudhi yake mbaya