Wanawake wa herufi "H" hii ndio siri ya maisha yao.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии •

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 10 месяцев назад +5

    Allah ndiyo mjuzi wa yote na liziki anatoa.yeye subuhanahuwa taallah. Binaadam hawexi kujua ghaibu.

    • @NachaKing-nj7cp
      @NachaKing-nj7cp 6 месяцев назад

      Acha ubishi Aya jakukuta

    • @NachaKing-nj7cp
      @NachaKing-nj7cp 6 месяцев назад

      Mungu siulikuta stoli zake au uli mwona kwann upinge na hy pitakule

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 6 месяцев назад

      @@NachaKing-nj7cp unaakili ww mshilikina. Kwahiyo ww chochote ukiambiwa unaaminitu.. .inalillahi.wainailahi rajuun. Kamani muislam basimusome. Uislam kwanza na ndiyo ulopoke.hayo

  • @Happynesibarongo
    @Happynesibarongo 2 месяца назад +1

    Asante. kwa. ushauri. wako. ubalikiwe

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Год назад +2

    😢😢 hata sielewi ananiongelea mimi kabisa wema wangu huishia kuwa.mbaya ila ibada alhamdullillah zimeanza kunisaidia

  • @AuntfudeHatounwajay
    @AuntfudeHatounwajay 15 дней назад

    Huyo ni mimi kbs!😂😂😂 Allah anistili na baadhi yanayotabiliwa hapo InshaAllah 🙏

  • @SNMSHABU
    @SNMSHABU 4 месяца назад +1

    😂😂😂😂nyie wa H mtatuwa mwenzeno 😂😂 tutakufa mapema

  • @HidayaDika-sg6zv
    @HidayaDika-sg6zv 10 месяцев назад +2

    Sio KWA uongo huo w baba ww utakua kuni siku ya kiama😢😢😢

    • @PrettyKind-ui6zi
      @PrettyKind-ui6zi 10 месяцев назад

      😂😂😂😂

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 6 месяцев назад +2

      Yani badala ufikiriee njia gani ya kutoka unasema niungo haya tuambie yako ya kweli 😂😂😂😂

  • @QueenHanana
    @QueenHanana 3 месяца назад

    Mmmh sio kweli bwanaa me naamini yote mipango ya mungu

  • @HabinaAli-s9v
    @HabinaAli-s9v 20 часов назад

    da nikweli kabisaa maana ninamchumba wangu yy inaazia na elufi S ila napata shada sana kwenye kumshaauli mpaka ananipa mawazo makubw natamani nimuache ila tushafika hatuwa kubwa yakuowana nakuomba ushauliwako wako kaka

  • @HappyKimario-st6nk
    @HappyKimario-st6nk 8 месяцев назад +2

    Jaman mbona kama yote nimeyapitia na bado yanaendelea kunitokea nashindwa lakufanya

  • @Happynesibarongo
    @Happynesibarongo 2 месяца назад

    Asante. ubalikiwe

  • @YgScandal
    @YgScandal 2 месяца назад +1

    aroo jaman mimi nilikua najua narogwa kumbe ndivo tulivo nyota izi mh😮😮

  • @AbdulHamid-yi2hp
    @AbdulHamid-yi2hp Год назад

    Da mungu akuweke upo sahihi

  • @Adijatz
    @Adijatz 4 месяца назад +2

    Jamani mbona yote unayasema nikweli

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 26 дней назад

    Eee Mungu nakuomba Utusaidie sisi Watoto wako

  • @BrayanHellen
    @BrayanHellen 15 дней назад

    Nikweli kabisa

  • @HalimaOmar-rz8cu
    @HalimaOmar-rz8cu 5 месяцев назад +1

    Jaman mbona na mm yananipitia hayo mambo anayoyasemaa huyu mbaba tufanye nn ili yatuepukee??

  • @HabinaAli-s9v
    @HabinaAli-s9v 21 час назад

    Cjui ata nikupe nn kaka kiukweli uliyo yasema yote ninayo

  • @KhadijaAli-zk6pv
    @KhadijaAli-zk6pv 19 дней назад

    Nikweli jaman

  • @Halimahassan-x5j
    @Halimahassan-x5j 4 месяца назад

    Mmmm jamani nikama yote anayoo sema uyu baba upo sasa

  • @Happynesibarongo
    @Happynesibarongo Месяц назад

    mungu. atusaidie jamani

  • @HabibaOmary-z8o
    @HabibaOmary-z8o 3 месяца назад

    Yes Niko hvyo ni m'babe,,, na mume Wang wa sasa ni b yaan ni udongo mungu atuongoze zaidi

  • @HabibaOmary-z8o
    @HabibaOmary-z8o 3 месяца назад

    Ahsante ntaacha kulipuka hiyo tabia ninayo,,,

  • @HalimaHamid-e3r
    @HalimaHamid-e3r Месяц назад

    Ndo tufanyeje Kwa ayo mabaya maana kula kitu naona lipo kwangu

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Год назад +1

    😢😢we Kaka nimepitia magum Mimi lakin ibada zinanisaidia

  • @CuttyZerish
    @CuttyZerish 8 месяцев назад +1

    Dah we kaka Yani hata sjui nisemeje Yani unachosema ni ukweli mtupu

  • @HabinaAli-s9v
    @HabinaAli-s9v 20 часов назад

    naita namba zako nitazipata vp

  • @HalimaJamali-db6te
    @HalimaJamali-db6te 6 месяцев назад +2

    Ni kweli

  • @HabidaAhmadi
    @HabidaAhmadi 4 месяца назад +1

    Asee naambiwa nindharau na nikikasirika nakua moto mkali

  • @KhadijakassimMwaipaya
    @KhadijakassimMwaipaya 5 месяцев назад +2

    Mh kweli

  • @Costa-u2i
    @Costa-u2i 7 месяцев назад

    Upo sawa na nimesibitisha kwenye herufi h upande wa mwanamke

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Год назад

    😢😢 natamani kubadilisha jina mbona hivi lakini

  • @hanamakamba373
    @hanamakamba373 Год назад

    kama mimi sina bahati ya kupendwa n wanawake kbc ila napendwa sn n wanaume sometimes wngn wanaweza kuhisi tofauti kumbe mm siko

  • @HabibaOmary-z8o
    @HabibaOmary-z8o 3 месяца назад

    Yaan ni mim hapa nilipo Nina ndoa zaid ya 2 alaf uzaz pia washida Nina mtt Mmoja tu na umri Wang umeenda 39 now na pia ibada napenda Sana tena Sana,,,, na pia tuliachana na mume Wang nilimuekea kinyongo nikasema huyu atoendelea yaan alikuja mpka kuniomba msamaha nimsameh,,, na kupuuzia majambo ninao napuuzia Sana,,,, yaan ni Kweli majin nilitupiwa mpka Leo nateseka Kweli na haya majin,,,,

  • @Happynesibarongo
    @Happynesibarongo Месяц назад

    Asila. na. majini. Ina tofauti. gani

  • @MursalimuAbdulikarimhassanMurs
    @MursalimuAbdulikarimhassanMurs 2 месяца назад

    Jamani

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Год назад

    👿👿umeniongelea yote sema sikuwa na mzazi wa kunisaidia nitibiwe mume wangu ni s lakin tunagombana sana na natamani kuachana nae yeye hataki

  • @Happynesibarongo
    @Happynesibarongo Месяц назад

    Unayosema. yote. nikweli. nilishaona watu wengi wansumbuliwa. majini. mzongi. kuna. wengine. wanakataa.

  • @halimamusini
    @halimamusini 7 месяцев назад

    Ww niatr sana

  • @hildpaul7823
    @hildpaul7823 Год назад

    yaani huyo i mimi kabisa

  • @HappyBoxer-un8sw
    @HappyBoxer-un8sw 4 месяца назад +1

    ❤❤❤❤❤

  • @issamelly2295
    @issamelly2295 Год назад

    Samahani kaka naomba kuuliza vipi kuhusu mimi ni H na mwanamke wa H?

  • @LilianMgelwa-v6v
    @LilianMgelwa-v6v 5 месяцев назад +1

    Hayo ndio tunapitia hakuna ulicho kiacha kunakipindi najuta kwanini nilizaliwa Sasa nimeelewa kumbe tatizo ni herufi H

  • @KhadijaSuleiman-o7q
    @KhadijaSuleiman-o7q 3 месяца назад

    Muongo ww mzee usidanganye wayu bana mbona sis h tunatoboa tuuuu wako niuwongo

  • @thanithney-ke3hm
    @thanithney-ke3hm 3 месяца назад

    habari mimi herufi yangu T nataka kufunga ndowa na herufi H sitatizo

  • @MachonjoNnekee
    @MachonjoNnekee 8 месяцев назад +1

    Je tufanyeje Ili itusaidie

  • @hadijakukanda2643
    @hadijakukanda2643 4 месяца назад

    Umegonga ndipo ila sipendi kufatilia jmbo moja kla wakati bila mafanikio kwangu n kma kero

  • @JansonMmbaga
    @JansonMmbaga 3 месяца назад

    💪💪💪💪

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 7 месяцев назад

    Sasa Mimi wachumba ninaowapata Ni A

  • @beatrice3263
    @beatrice3263 8 месяцев назад

    Aise hujaongopa nimeshuhudia ayo

  • @HalimaMohamed-m7x
    @HalimaMohamed-m7x 4 месяца назад

    Mambo Yako ya naniuma kama kidonda

  • @FatmaAli-i5h
    @FatmaAli-i5h 2 месяца назад

    Nibazi nikweli ilasio yote

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 7 месяцев назад +1

    Sifa zote ninazo

  • @starlight8794
    @starlight8794 Год назад

    Jina la Ahmed pia ni H kwabi

  • @PillyJuma-y5p
    @PillyJuma-y5p 2 месяца назад

    H h zinaendana

  • @happyhayola6672
    @happyhayola6672 3 месяца назад

    Nimimi kabisa jaman MUNGU anisaidie san

  • @livesports1260
    @livesports1260 Год назад

    Tunahitaji na wanaume herufi H siri ya maisha yetu

  • @hanamakamba373
    @hanamakamba373 Год назад

    najiona mimi