GEOFF LEA: UNTOUCHABLE!! YANGA WABORESHE HAYA TU HAISHIKIKI NG'OOO!! KUHUSU USAJILI WA OSSETE, NI...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 16

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 18 дней назад +2

    Huyu jamaa atuachie msemo wetu, kama haumihusu aendelee na kilichomleta. Kila kocha ana mbinu zake na kasi ya mchezo ni kumbukimbu kwa mashabiki wa timu yetu!

  • @rachelbujuli4487
    @rachelbujuli4487 18 дней назад +2

    Huyu mnamuonea tu haipendagi Yanga nyau mkubwa

  • @Ambagaye
    @Ambagaye 18 дней назад +3

    Lea aliwahi,kusema kuwa angefurahi mayele akiondoka Yanga, na iwapo hataondoka basi atamdharau. Akili yake ilikuwa ni kwamba Mayele ndiye aliyesababisha Simba kufungwa. Leo hii Mayele amekuwa out kwa miaka miwili sasa na Yanga haijabadilika sana kasoro kile kipindi kifupi cha Gamond kilichoruhusu ulevi kwa wachezaji.

    • @mansooralaisri5200
      @mansooralaisri5200 18 дней назад

      Data sports acha kumuhoji huyo mbwa kolo mkubwa. Au sivo data sports hutakuwa tunaitazama. Roho mbaya huyo.

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 18 дней назад +1

    Wivu kolo wivu 😂wivu

  • @choggysly3541
    @choggysly3541 18 дней назад +1

    Jamaa kaifanya interview imekuwa mbovu sana

  • @usatoenglandvegas4046
    @usatoenglandvegas4046 18 дней назад +1

    Uyu simba kwanza ajuwi kuchambua mpira

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 18 дней назад +1

    Alicho zungumza hakieleweki.

  • @bonifacejohnstone4483
    @bonifacejohnstone4483 18 дней назад +1

    mzee baba,uwe unatafuta watu sahihi wa kufanya nao interview wengine kama hyu wanazinguaa

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 18 дней назад

    Huyu ndo wa kuimbiwa Tangazo Tangazo maana haelewi anachoulizwa

  • @GraceMarine-vo9hu
    @GraceMarine-vo9hu 18 дней назад

    Umeulizwa kuhusu yanga unaanza kuleta mambo ya akina molinyo tena mbengeles kabisa

  • @gsplundi1327
    @gsplundi1327 18 дней назад

    Mchambuzi kolo arf ROH kubwa

  • @tumainielmremi7912
    @tumainielmremi7912 18 дней назад

    Huwezi kushitaki Ngedere kwenye mahaka ya tumbili na ukashinda kesi. Hakuna mchambuzi hapo usimba mtupu.

  • @MonicaMbai
    @MonicaMbai 18 дней назад

    Mtasema tu

  • @vincentkatabalo286
    @vincentkatabalo286 18 дней назад

    Very poor interview